Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani amekuambia kwamba hatujitoshelezi? Hii ni agreement ya kununua umeme ya ziada kutoka Ethiopia pale tutakapohitaji. Kwa mfano wakati wa kiangazi hydroelectric power stations huwa hazizalishi umeme wa kutosha. Kwa habari yako Kenya tuna surplus electricity, yaani tunajitosheleza. Hii ya Ethiopia ni kwa ajili ya kujipanga wakati itakapohitajika. Pia tunapanga kuondoa thermal power (diesel) from our grid kwa sababu ni expensive. Sasa hii ya Ethiopia itasaidia kuziba gap hio baada ya thermal power kuondolewa kwa grid.
Kwanini Ethiopia ndio isinunue umeme toka Kenya kwasababu Ethiopia ndiyo inayotegemea umeme wa maji ambao ndio unaopungua kipindi cha kiangazi lakini Geothermal haitetereki?.

Ukisoma hiyo "article", imesema wazi kwamba Kenya imesaini ununuzi wa "cheap" electricity from Ethiopia, the key factor hear is the cost, your Geothermal electricity is not economical.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Vipi mnaenda kuzalisha umeme kwa jirani wakati kwako bado huna umeme wa kutosha?, then unarudi kwa jirani huyo huyo kununua umeme huohuo uliomjengea wewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tuna umeme wa kutosha. Wacha kulazimisha uongo wako hapa. Tuna surplus electricity. Hata ukidanganya hio haitobadilisha ukweli huo.
 
Kwahiyo tumekubaliana East Africa nzima footbridge yenye elevator ipo moja tu, dahh kweli Africa bado sana
Wewe soja wacha ushamba. Elevator kwa footbridge ni kitu ya kutupigia kelele. GTC ikonayo na sio ya vilema kama hio yenu kwa hospitali.
 
Kwanini Ethiopia ndio isinunue umeme toka Kenya kwasababu Ethiopia ndiyo inayotegemea umeme wa maji ambao ndio unaopungua kipindi cha kiangazi lakini Geothermal haitetereki?.

Ukisoma hiyo "article", imesema wazi kwamba Kenya imesaini ununua wa "cheap" electricity from Ethiopia, the key factor hear is the cost, your Geothermal electricity is not economical.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Geothermal inasupply 40-50% of Kenya's electricity. Kenya bado tunategemea hydro kwa sana. Kwa hivyo Kiangazi lazima ituaffect. By the way kiangazi pia huwa inaaffect Ethiopia na hata Tanzania kwenye uzalishaji wa umeme sio Kenya tu. Nyie miezi michache iliyopita mlisumbuka kuzalisha umeme wa kutosha kwa sababu ya kiangazi. Ethiopia pia last year walikuwa na shida hio.
 
Hydro ni 4 US cents per kwh. Geothermal ni 8 US cents per kwh. Sasa sijui unaropokwa ropokwa nini hapa. Linganisha na Thermal (diesel) ambayo ni around 25 US cents per kwh. Hujui unachozungumzia wewe.

Wewe na Geza Ulole huwa mnasema kwamba geothermal ni expensive. Hamjui mnachozungumzia.
 
Tuna umeme wa kutosha. Wacha kulazimisha uongo wako hapa. Tuna surplus electricity. Hata ukidanganya hio haitobadilisha ukweli huo.
Ukweli ni kwamba umeme wa Kenya ni Bei juu ukilinganisha na Ethiopia na Tanzania, huo wa Geothermal mtaachana nao na kununua toka Ethiopia na Tanzania, otherwise your manufacturing sector will collapse.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hydro ni 4 US cents per kwh. Geothermal ni 8 US cents per kwh. Sasa sijui unaropokwa ropokwa nini hapa. Linganisha na Thermal (diesel) ambayo ni around 25 US cents per kwh. Hujui unachozungumzia wewe.

Wewe na Geza Ulole huwa mnasema kwamba geothermal ni expensive. Hamjui mnachozungumzia.
Which one is the cheapest?, Hakuna mtu atakubal kulipa $8 wakati Kuna alternative ya kulipia $4.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Geothermal inasupply 40-50% of Kenya's electricity. Kenya bado tunategemea hydro kwa sana. Kwa hivyo Kiangazi lazima ituaffect. By the way kiangazi pia huwa inaaffect Ethiopia na hata Tanzania kwenye uzalishaji wa umeme sio Kenya tu. Nyie miezi michache iliyopita mlisumbuka kuzalisha umeme wa kutosha kwa sababu ya kiangazi. Ethiopia pia last year walikuwa na shida hio.
Hizi dams za Ethiopia na Tanzania zikianza kazi, hakutokuwepo tena Hilo tatizo la kupungua kwa umeme kipindi cha kiangazi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Which one is the cheapest?, Hakuna mtu atakubal kulipa $8 wakati Kuna alternative ya kulipia $4.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna tofauti kubwa kati ya 4 US cents na 8 US cents. Kinachofanya umeme wa Kenya kuwa expensive sio geothermal bali ni thermal power (diesel) ambayo ni around 25 US cents per kwh ambayo tunataka kuiondoa kwa grid yetu ili bei ya umeme irudi chini. Wewe endelea kuropokwa kuhusu geothermal. Geothermal is the second cheapest energy source in Kenya.

Cc Geza Ulole
 
Hizi dams za Ethiopia na Tanzania zikianza kazi, hakutokuwepo tena Hilo tatizo la kupungua kwa umeme kipindi cha kiangazi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sisi tukipata tatizo la kupungua kwa umeme wakati wa kiangazi tutanunua kutoka Ethiopia sio Tanzania. Tayari tumeshatia saini mpango huo wa kununua umeme kutoka Ethiopia.
 
Hakuna tofauti kubwa kati ya 4 US cents na 8 US cents. Kinachofanya umeme wa Kenya kuwa expensive sio geothermal bali ni thermal power (diesel) ambayo ni around 25 US cents per kwh ambayo tunataka kuiondoa kwa grid yetu ili bei ya umeme irudi chini. Wewe endelea kuropokwa kuhusu geothermal. Geothermal is the second cheapest energy source in Kenya.

Cc Geza Ulole
Wewe mwenyewe imesema kwamba gharama ya umeme wa Geothermal ni $8 wakati ule wa maji ni $4, Sasa huo wa Diesel unaingiaje tena?.

Hii maana yake ni kwamba ukichukulia gharama za umeme pekee, viwanda vya Kenya vitatumia mara mbili ya gharama kuliko viwanda vya Tanzania/Ethiopia, hii ni 100% tofauti ya gharama bado unasema tofauti sio kubwa, are you serious?

Back
Top Bottom