Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpe shule kilaza wa maabara huyu.
Umeshindwa ukaamua kutafuta usaidizi from somewhere else. This is not the first time you have tried to gang up against me in this forum about Microbiology and in all cases I have shown you a middle finger.
 
Inakuwaje wale waliopata corona na kupona (natural immunity) huwa hawapati tena hata kama kirusi kina mutate?
Mkuu mbona unauliza vitu ambavyo huna uhakika navyo?, Ugonjwa huu haujafikisha hata miaka mitatu, wewe unasema aliyepata Corona hawapati tena, wewe umejuaje wakati hata hao waliopata Corana wengi hawajafikisha hata miaka 2 tangu kupona? au ulitegemea kila mwaka au miezi SITA lazima waugue tena?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haya Dom iko mbele sasa kwenye international. 3-2 so far Tony254 unasemaje hapa, tuendelee ama tusiendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣 Bado hajajibu tu, nilitoka kwenda kula kidogo, vipi jamaa amesemaje.? 🤣🤣 Tony254
 
Cardiac diseases almost weaken heart muscles, heart becames weak to pump blood hence "tidal volume" decreases, The lower the tidal volume, the lower the pressure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Have you ever heard of a condition known as heart arrhythmia? It's a cardiac disease which alters the rhythm at which the heart pumps the blood which can be faster or low. This condition can result to HBP/LBP
 
Kuna hii study ya juzi juzi tuu inaonesha chembe chembe za hizi chanjo zinaenda kubadilisha DNA ya seli za mwanadamu. Utahamasishaje watu wachanje wakati hatuna uhakika na madhara ya kubadilika kwa DNA zetu?

View attachment 2305643
Mechanism of action ya messenger RNA (mRNA) vaccine ni kuwa hii ni short strand ya mRNA from virus husika ambayo inakuwa introduced kama vaccine kwenye mwili wa mtu. Once inside the blood when it comes into contact na virus mwenyewe kwanza the virus ana detect a mRNA kama yake aliyokuwa nayo hivyo huyu virus ana shut down genes zake ambazo zina fanana na hiyo mRNA na kumfanya huyo virus kuwa ineffective kwenye ku cause infection. Secondly the immune cells zitakuwa directed to the coded proteins hivyo unaweza attack the virus on multiple fronts. Lakini bado kuna wasiwasi kuwa hii mRNA vaccine inaweza pia ku shut down a part of an essential human genome with similar sequence na ikaleta matatizo kwa binadamu na pia kuna uwezekano ikawa integrated kwenye human genome.

RNA viruses use human genome to replicate and cause infection once inside the body they excise the human DNA na kuinsert their copy along the human DNA as the human DNA replicates it also churns out viral particles from the inserted virus DNA (Pro viral DNA)
 
Mkuu mbona unauliza vitu ambavyo huna uhakika navyo?, Ugonjwa huu haujafikisha hata miaka mitatu, wewe unasema aliyepata Corona hawapati tena, wewe umejuaje wakati hata hao waliopata Corana wengi hawajafukisha hata miaka 2 tangu kupona? au ulitegemea kila mwaka au miezi SITA lazima waugue tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Naongelea relative number ya wanaopata corona, kati ya waliochanjwa na wale wenye natural immunity. Kwa nini wengi waliopata chanjo katika kipindi cha mwaka mmoja ndiyo wanaougua corona kuliko wenye natural immunity wakati tuliambiwa natural immunity inapotea haraka?
 
Dah, naokoteza tena, wakati nimekupa na link ya journal ilikochapishwa, hivi hata umeisoma? Huu utafiti ulifanyika Lund University ya Sweden.
Mkuu, hizo research bado hazijafikia hatua ya kuzofanyia kazi na kuzithibitisha, lengo la kuchapishwa katika hizo medical Journals ni kutoa nafasi kwa wasomi na wabia wengine kuzidi kuzofanyia kazi ili kuthibitisha ukweli wake kabla ya kifanyiwa kazi na makampuni au maabara yenye kushughilika na utengenezaji wa dawa na WHO kubadilisha tiba za magonjwa mbalimbali, ukiona WHO bado haijasema lolote kuhusu hizo research, ujue bado inafanyiwa kazi, au bado haijakubalika, wewe isitumie Kama ndio matokeo ya mwisho, subiri maelekezo toka WHO

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
How do you manage hypertension in Kenya?, Go and read in BNF, drugs of hypertension ate clearly listed there, stop your stupidity.

Hypertension is a non communicable disease like diabetes and Renal diseases, there is no single antibacterial or antiviral is included in management of hypertension or diabetic, wacha ujinga.

Wewe ni lab technician, hujui lolote wacha kujidhalilisha.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyu kilaza mimi nishaacha kumjibu namwacha ajifurahishe tuu.
 
Inakuwaje wale waliopata corona na kupona (natural immunity) huwa hawapati tena hata kama kirusi kina mutate?
I told you COVID Vaccine contain live corona virus though in inactive state. With time these particles may be activated leading to reinfection. For the people who heal naturally, their immune system kills off all the virus leaving no survival which may cause disease later on.
 
Hypertension ni symptom tuu ya underlying conditions, inaweza kuwa heart diseases, stress, kidneys, diabetes, liver, endocrine issues n.k
Thanks for putting some sense into his mind. The guy is static and can't think outside the box.
 
Mechanism of action ya messenger RNA (mRNA) vaccine ni kuwa hii ni short strand ya mRNA from virus husika ambayo inakuwa introduced kama vaccine kwenye mwili wa mtu. Once inside the blood when it comes into contact na virus mwenyewe kwanza the virus ana detect a mRNA kama yake aliyokuwa nayo hivyo huyu virus ana shut down genes zake ambazo zina fanana na hiyo mRNA na kumfanya huyo virus kuwa ineffective kwenye ku cause infection. Secondly the immune cells zitakuwa directed to the coded proteins hivyo unaweza attack the virus on multiple fronts. Lakini bado kuna wasiwasi kuwa hii mRNA vaccine inaweza pia ku shut down a part of an essential human genome with similar sequence na ikaleta matatizo kwa binadamu na pia kuna uwezekano ikawa integrated kwenye human genome.

RNA viruses use human genome to replicate and cause infection once inside the body they excise the human DNA na kuinsert their copy along the human DNA as the human DNA replicates it also churns out viral particles from the inserted virus DNA (Pro viral DNA)
Nashukuru kwa maelezo yako kuwa kunaweza kuwa na matatizo yanayoweza kusababishwa na mRNA vaccines badala ya kukubali kichwa kichwa maelekezo ya WHO.
 
Naongelea relative number ya wanaopata corona, kati ya waliochanjwa na wale wenye natural immunity. Kwa nini wengi waliopata chanjo katika kipindi cha mwaka mmoja ndiyo wanaougua corona kuliko wenye natural immunity wakati tuliambiwa natural immunity inapotea haraka?
Unao ushahidi kwamba waliochanjwa ndio wanapata kuliko ambao hawajapata?, Juzi waziri wa Afya alisema kwamba kulikua na wagonjwa 9 nchi nzima, Kati ya hao 7 hawajapata chanjo na 2 walikua wamepata chanjo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mnaogopa nn sasa, c mlitaka battle ya Dom vs Tatu village, mmeanza kumbwela? Sasa nasema hivi hapa hatuhami battle mpk mseme poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Economic value ya Dom??? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., unataka kubwabwaja povu ama? niko tayari siku zote., even with numbers mjukuu.., hapa nimewanyonga, vijisifa uchwara peleka vijiweni, eti mnataja Dom na Arusha, ndoto za alinacha😂😂😂😂😂😂😂
 
I told you COVID Vaccine contain live corona virus though in inactive state. With time these particles may be activated leading to reinfection. For the people who heal naturally, their immune system kills off all the virus leaving no survival which may cause disease later on.
Which vaccines are you talking about, that contain live virus?
 
Back
Top Bottom