Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza kutueleza inakuwaje watu waliochanja wanapata corona?
Hiyo ni mada ndefu sana kuweza kuishare hapa inahusisha epidemiology of disease, pathogenesis, vaccination na immunology. There is no short story to sum it up.
 
So google is your evidence? [emoji848] Even a mad person can publish anything and still appear on google.

I am educating you from a professional perspective using evidence based realities that have been tried and tested over and over again. Kama huelewi wewe utakuwa ni kichwa ngumu.
What I have shared is a research journal, it was written by approved scientists and people refer to it when an argument arises. Wewe hakuna evidence hata moja umeleta that support your claims. Your knowledge is below average to educate me.
 
Sama boy 255 na chongchung mechi sasa ni 2-2. Yaani draw. Kama mna international school nyingine ya Dodoma basi post ili mshinde mechi. Lakini nashuku hamna international school nyingine Dodoma. Hii Martin Luther school sipo sure kama ni international kwa sababu sioni sister schools zake katika nchi zingine mtandaoni. Lakini shule yenyewe ni kali na ndio maana nimeihesabu. Nova Pioneer ina sister school South Africa, Crawford ina sister school South Africa, One planet ambayo the best amepost ina sister school Ethiopia.
 
Kumbe I'm engaging a cow na sijui. Cardiovascular dysfunction is not hypertension but it's one of the causes of hypertension. When blood vessels become constricted, the lumen will become narrow making the blood to force itself through. For heart to overcome this struggle, it will increase the force and speed of pumping hence high pressure. That's how hypertension comes about.
How long will I spend here to educate you? [emoji848] I marvel at your ignorance regarding this subject na ninaanza kuwa na wasiwasi na lab results utakazokua unafanya huko.
 
St Peter clever international school DODOMA 👇
dscn2018.jpg
4ba63871bc2268cc271cce1235ec583c.jpg
121803376.jpg
slide5.JPG
SPORTS-3.jpg
vipi bwana Tony254 upo.? Bado unataka battle na DODOMA .. hayo matawi ya abroad unayoizungumzia, utaleta shule ngapi kutoka hiyo village yenu bhana .? 🤣🤣🤣 Heb usinichekeshe
 
Hiyo ni mada ndefu sana kuweza kuishare hapa inahusisha epidemiology of disease, pathogenesis, vaccination na immunity of an individual. There is no short story to sum ii up.
Kiasi cha watu wanaopata corona huku wakiwa wamechanja ni kikubwa, hapo utazitetea vipi hizo chanjo?
Mutation.
Mbona zile chanjo za polio za utotoni ukichanja hauugui tena, wala hauhitaji booster?
 
St Peter clever international school DODOMA 👇View attachment 2305608View attachment 2305609View attachment 2305610View attachment 2305611View attachment 2305612vipi bwana Tony254 upo.? Bado unataka battle na DODOMA .. hayo matawi ya abroad unayoizungumzia, utaleta shule ngapi kutoka hiyo village yenu bhana .? 🤣🤣🤣 Heb usinichekeshe
Oyaa hio Martin Luther school ni international kweli? Mbona sioni sister schools zake mtandaoni? Kama kweli ni international basi inastahili kuwa na sister school. Lakini nimeihesabu kwa sababu shule yenyewe ni kali.
 
Vile nakuona it seems hata hujui maana cardiovascular. If I can break it down for you then cardiovascular is the heart plus blood vessels, so when someone talk about cardiovascular dysfunction what should ring into your mind is improper function of the heart and blood vessels. If the heart is not functioning properly then there will be changes in blood pressure, same to blood vessels.
We kilaza sana kumbe kwani mimi nimeongelea nini hapo juu diastolic na systolic readings ambazo zina determine hypertension zinapatikana kwenye korodani?
 
Kwenye hii battle ya international schools na wala usibabaike. Tutawakaranga pole pole kwa mafuta yenu wenyewe hadi mtoroke wenyewe. Hii hapa Crawford International school ambayo ipo Tatu city na pia ipo South Africa. Hii sasa ni kali hata kushinda Nova Pioneer. Hii ni shule matata kabisa. Inafanana kama university na kumbe ni shule ya msingi.

View attachment 2305551View attachment 2305552View attachment 2305553
Nionyeshe tu shule moja ya msingi Tanzania ambayo ina swimming pool.
View attachment 2305556View attachment 2305557
Aerial view ya bonge la shule kwa jina Crawford international school, Tatu city.
View attachment 2305558
View attachment 2305559
View attachment 2305561
Shule za watoto wa maboss
 
How long will I spend here to educate you? [emoji848] I marvel at your ignorance regarding this subject na ninaanza kuwa na wasiwasi na lab results utakazokua unafanya huko.
You don't know anything. Kama hata huezitofaitisha between hypertension and cardiovascular dysfunction and how they relate, how can you then educate someone on that subject?
 
St Peter clever international school DODOMA 👇View attachment 2305608View attachment 2305609View attachment 2305610View attachment 2305611View attachment 2305612vipi bwana Tony254 upo.? Bado unataka battle na DODOMA .. hayo matawi ya abroad unayoizungumzia, utaleta shule ngapi kutoka hiyo village yenu bhana .? 🤣🤣🤣 Heb usinichekeshe
Mzee wacha mchezo. Just because shule ni private haimaanishi kwamba ni international. Hii St. Claver catholic school sio international school. It is just a private school. Soma hapa.

Mechi bado ni 2-2.
 
Back
Top Bottom