Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taratibu kaka watakusikia, tuchart tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁 Wanajua kiwango cha mikopo ya masharti nafuu (ya covid) na misaada ya pesa na vivaa kutokana na covid waliochokua ilivyo mingi kuliko idadi ya vaccinated people ndio maana wanaamua kupika data 😁😁😁
 
We kilaza sana kumbe kwani mimi nimeongelea nini hapo juu diastolic na systolic readings ambazo zina determine hypertension zinapatikana kwenye korodani?
How does diastolic and systolic readings relate to cardiovascular dysfunction? You are just flat in this area my friend. The readings ni kitu rahisi that even a class two pupil can read once you tell him/her that 120/80 signifies meter reading. Any number above 120 is considered HBP and any number below 80 is LBP.
 
Mzee wacha mchezo. Just because shule ni private haimaanishi kwamba ni international. Hii St. Claver catholic school sio international school. It is just a private school. Soma hapa.

Mechi bado ni 2-2.
🤣🤣🤣 Leta basi shule yenye viwango kama hiyo kutoka huko village
 
The problem with you is that you think you know everything but you know nothing.

View attachment 2305307View attachment 2305311
Hahahaha, wacha kuokoteza vijarida ambavyo hata huelewi vinazungumzia nini, jinga kabisa wewe.

Kwanza lazima ujue maana ya "Hypertension ni nini, wacha ujinga kutaka kunipotezea muda wangu, nenda kwanza ukasome
1)Primary hypertension
2) Secondary hypertension
Jielimishe causes and how to manage these type of hypertensions.

Ukishamaliza kujua hizo aina mbili ndio utajua kwamba Kuna sababu zingine nyingi ambazo husababisha kupanda na kushuka kwa blood pressure(temporarily)
1)Pregnancy
2)Hyperthyroidism
3) Stress
4)Renal diseases
5) Infections
6)Endocrine diseases
High blood pressure caused by the above causes is just transit and is cured when the underlined cause has been treated and removed, in fact in clinical term it is not called "Hypertension" rather than increased in blood pressure [emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Wanajua kiwango cha mikopo ya masharti nafuu (ya covid) na misaada ya pesa na vivaa kutokana na covid waliochokua ilivyo mingi kuliko idadi ya vaccinated people ndio maana wanaamua kupika data [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ni bora haya mambo tunavyokwenda nayo kwa kunyata nyata mzee kitaeleweka huko mbeleni.
 
Kiasi cha watu wanaopata corona huku wakiwa wamechanja ni kikubwa, hapo utazitetea vipi hizo chanjo?

Mbona zile chanjo za polio za utotoni ukichanja hauugui tena, wala hauhitaji booster?
Polio is a DNA virus while COVID is a RNA virus. RNA virus has higher mutation rate than DNA virus so controlling COVID is very difficult.
 
Tony uliulizia shule yenye swimming pool, haya sasa umeipata [emoji115][emoji115][emoji115]
Wabongo wacheni mchezo. Unawezaje kulinganisha swimming pool ya watoto wadogo wa shule ya chekechea ambayo hata mtu mzima hatoshei ndani na hii mega swimming pool ya Crawford school?

Martin Luther school fish pond 👇👇👇
Screenshot_20220727-113345.jpeg

Huwezi kulinganisha hio fish pond hapo juu ambayo hata haina deep end na hii mega swimming pool ambayo ina mpaka zile kamba za olympic swimming pools. Hii hapa chini ni swimming pool ya Crawford international school iliyo Tatu city. Sio hio ndoo ya kuogea hapo juu.
images (8).jpeg
images (11).jpeg
 
The difference between me and you all is that I'm arguing using facts and evidences, nyinyi ni midomo tu. So tell me, who is stupid between a person who supports his/her points with evidences and that person who only talk with nothing to show?
Tuambia, how hypertension is treated in Kenya, do you include "antibiotics or antiviral?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo wacheni mchezo. Unawezaje kulinganisha swimming pool ya watoto wadogo wa shule ya chekechea ambayo hata mtu mzima hatoshei ndani na hii mega swimming pool ya Crawford school?

Martin Luther school fish pond [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2305623
Huwezi kulinganisha hio fish pond hapo juu ambayo hata haina deep end na hii mega swimming pool ambayo ina mpaka zile kamba za olympic swimming pools. Hii hapa chini ni swimming pool ya Crawford international school iliyo Tatu city. Sio hio ndoo ya kuogea hapo juu.
View attachment 2305626View attachment 2305627
Hapo kweli zimetofautiana.
 
Hahahaha, wacha kuokoteza vijarida ambavyo hata huelewi vinazungumzia nini, jinga kabisa wewe.

Kwanza lazima ujue maana ya "Hypertension ni nini, wacha ujinga kutaka kunipotezea muda wangu, nenda kwanza ukasome
1)Primary hypertension
2) Secondary hypertension
Jielimishe causes and how to manage these type of hypertensions.

Ukishamaliza kujua hizo aina mbili ndio utajua kwamba Kuna sababu zingine nyingi ambazo husababisha kupata na kushuka kwa blood pressure(temporarily)
1)Pregnancy
2)Hyperthyroidism
3) Stress
4)Renal diseases
5) Infections
6)Endocrine diseases
High blood pressure caused by the above causes is just transit and is cured when the underlined cause has been treated and removed, in fact in clinical term it is not called "Hypertension" rather than increased in blood pressure [emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You are just telling me what I know. Kitu nataka ujue ni kwamba hypertension can be caused by microorganisms and that was the base of argument here, sio hizo obvious things you have listed. Kwa akili yako unadhani naezakosa kujua hypertension ni nini?😂 Wewe huna mwelekeo hata kidogo😂😂
 
President Uhuru Kenyatta has officially opened the 1000-acre Naivasha Special Economic Zone (SEZ) and laid the foundation stone for the construction of the Turkish Industrial Holding Complex in the zone.

The expansive Complex, to be called Turkish Industry Zone (TIZ), will cover a 400-acre area and consist of 6 factories involved in production of construction, forestry, furniture and cleaning products.

The USD 760 million investment will start production in 2024 and is estimated to inject 530 million US dollars into the Kenyan economy and create 2,860 direct jobs.
View attachment 2304748
View attachment 2304749
View attachment 2304750

A bonafide investment.
Should receive a lot more attention.
 
Tuambia, how hypertension is treated in Kenya, do you include "antibiotics or antiviral?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
For your information Hypertension can't be treated but managed depending on it's cause. If it was caused by microorganisms then antimicrobial have to be used. But if was caused by lifestyle then it's the lifestyle that is reviewed. If it was caused by kidney problem, then diuretics are used.
 
Wabongo wacheni mchezo. Unawezaje kulinganisha swimming pool ya watoto wadogo wa shule ya chekechea ambayo hata mtu mzima hatoshei ndani na hii mega swimming pool ya Crawford school?

Martin Luther school fish pond 👇👇👇
View attachment 2305623
Huwezi kulinganisha hio fish pond hapo juu ambayo hata haina deep end na hii mega swimming pool ambayo ina mpaka zile kamba za olympic swimming pools. Hii hapa chini ni swimming pool ya Crawford international school iliyo Tatu city. Sio hio ndoo ya kuogea hapo juu.
View attachment 2305626View attachment 2305627
🤣🤣🤣 Tony kwa visingizio bhana okay, Martin Luther king school iko na pools mbili buana, hako ka pond chenye unaita it's for kids only. Pitia hapa 👇
Screenshot_20220727-123936_1.jpg
Screenshot_20220727-123608_1.jpg
 
Wabongo wacheni mchezo. Unawezaje kulinganisha swimming pool ya watoto wadogo wa shule ya chekechea ambayo hata mtu mzima hatoshei ndani na hii mega swimming pool ya Crawford school?

Martin Luther school fish pond [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2305623
Huwezi kulinganisha hio fish pond hapo juu ambayo hata haina deep end na hii mega swimming pool ambayo ina mpaka zile kamba za olympic swimming pools. Hii hapa chini ni swimming pool ya Crawford international school iliyo Tatu city. Sio hio ndoo ya kuogea hapo juu.
View attachment 2305626View attachment 2305627
Hakuna shule kama Crawford na Nova pioneer dodoma. Dodoma ni zaidi ya county nzima obvious itakua na facilities nyingi kama shule kuliko tatu. But kwa quality na impact tatu city ni world class hakuna mfano Tanzania nzima
 
Polio is a DNA virus while COVID is a RNA virus. RNA virus has higher mutation rate than DNA virus so controlling COVID is very difficult.
How about hepatitis B or C (RNA virus)? After immunization children don't need boosters. How do you explain that?
 
Wabongo wacheni mchezo. Unawezaje kulinganisha swimming pool ya watoto wadogo wa shule ya chekechea ambayo hata mtu mzima hatoshei ndani na hii mega swimming pool ya Crawford school?

Martin Luther school fish pond 👇👇👇
View attachment 2305623
Huwezi kulinganisha hio fish pond hapo juu ambayo hata haina deep end na hii mega swimming pool ambayo ina mpaka zile kamba za olympic swimming pools. Hii hapa chini ni swimming pool ya Crawford international school iliyo Tatu city. Sio hio ndoo ya kuogea hapo juu.
View attachment 2305626View attachment 2305627
so what's so spacial na vijengo vitatu mnaita international school?
 
Back
Top Bottom