Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Unaweza kutueleza inakuwaje watu waliochanja wanapata corona?Sasa hivi husikii Sana habari za maambukizi mapya duniani, hiyo ni dalili kwamba chanjo imeanza kufanya kazi, sio bahati nasibu kwa ugonjwa ambao kwa siku Moja ulikua unaua mamilioni ya watu kwa mwezi, ghafla imeanza kutoweka duniani.
Tuendeleeni kuchanja ili huu ugonjwa utoweke kabisa duniani, ili tuendelee kushughulika na ugonjwa wetu wa starehe![]()
![]()
![]()
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app