Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chongchung wewe tulia, nani alikuambia kwamba Tatu city haina mashule? Hii hapa Nova Pioneer School ambayo ipo Tatu city na tayari wanafunzi wanasoma. Nimekuwekea mpaka website yao. Shule zenu ni hovyo hata hazina website. Hii Nova Pioneer by the way ni international school na kuna Nova Pioneeer South Africa. Soma kwenye website yao. Kuna shule nyingine pia international ambayo ipo Tatu city inaitwa Crawford school lakini hio nitapost picha yake baadaye nikipata muda. Hii Nova Pioneer ni shule ya chekechea, msingi na sekondari kwa pamoja. Usilete mchezo hapa.

download (2).jpeg
*

download (3).jpeg

download (4).jpeg

download (5).jpeg

download (6).jpeg

O
download (7).jpeg

download (8).jpeg

download (9).jpeg

download (10).jpeg

download (11).jpeg

download (12).jpeg

Website ya Nova Pioneer 👇 👇 👇

Sama boy 255 punguza matusi dhidi ya Wakenya ili battle iendelee. Matusi uliyomrushia Don YF sio nzuri. Itafanya battle isambaratike.
 
Attachments

  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    9.8 KB · Views: 21
chongchung wewe tulia, nani alikuambia kwamba Tatu city haina shule? Hii hapa Nova Pioneer School ambyo ipo Tatu city na tayari wanafunzi wanasoma. Nimekuwekea mpaka website yao. Shule zenu ni hovyo hata hazina website. Hii Nova Pioneer by the way ni international school na kuna Nova Pioneeer South Africa. Soma kwenye website yao. Kuna shule nyingine pia international ambayo ipo Tatu city inaitwa Crawford school lakini hio nitapost picha yake baadaye nikipata muda.

View attachment 2305447*

View attachment 2305449
View attachment 2305450
View attachment 2305451

View attachment 2305452

OView attachment 2305453

View attachment 2305459
View attachment 2305460
View attachment 2305461
View attachment 2305462

View attachment 2305465

Sama boy 255 punguza matusi dhidi ya Wakenya ili battle iendelee. Matusi uliyomrushia Don YF sio nzuri. Itafanya battle isambaratike.
Nova Pioneer ni shule international na hata ipo South Africa. Kwa wale wanaofikiri natania tazameni hapa.
Screenshot_20220727-101615.jpg

Cc chongchung ulitaka battle ya mashule za msingi kati ya Tatu city na Dodoma? Tatu city ina mashule international mzee. Leta battle kwenye mambo mengine. Kuna shule nyingine ya pili ambayo ni international inaitwa Crawford school ipo Tatu city naweza leta kama Nova Pioneer haijakutosha. Utalinganishaje shule ya uchwara hapo Dodoma na international school hapa Tatu city?
 
chongchung naona umetoroka battle ya shule za msingi kati ya Dodoma na Tatu city. Tunazingatia quality sio idadi. Nakungoja. Leo utachezea kichapo kizito mzee. Jaribu kupinga nilete shule ya pili international iliyo Tatu city.
 
Shida ya hawa watanzania ni kuwa wanajifanya wanajua kila kitu. Tony254 hakuna siku utawainipata nikiargue na mtu about IT stuff juu sijui much huko.
Wachana nao. Some of them are pretending to be experts in everything. Mara mtu ni engineer, saa hii tena amekuwa medical doctor.
 
Under construction DODOMA View attachment 2305298View attachment 2305300View attachment 2305301
Ukiachana na hii center mpya ☝️ ambayo kwasasa inapokea construction boom bado DOM Iko na old Center yake 👇ambayo nayo pia kwasasa inapokea ujenzi mkubwa wa high rise buildings 👇

View attachment 2305303and this is the reason huwa nasema Dodoma ikimaliza ujenzi wake itakua na three CBDs Don YF. Hizi centers mbili zote hapo juu ni kando na DODOMA new government City

Yani hapa 👇. Hii miradi yote mingine;-

1.chinangali recreational park
2😀om outer ring road
3😀om international airport
4: Indoor Arena
5:NHC 1000 HOUSES
6:TBA 3500 HOUSES
7:KONGANI YA VIWANDA NALA
8😀OM BUS TERMINAL
9: DOM market
N.k ..

Hii miradi ikikamilika yote sioni comparison ya Dom na mji wowote hapa Tz kando ya DAR hapo kwenu ni Nairobi tu yenye itaweza tajika juu ya DODOMA otherwise hakuna .. ndio nishangazwe na wewe unaetaka kuilinganisha DODOMA na mradi wa nyumba kadhaa kwenye empty field kwa jina la tatu City, hii inaudhi sana

Keep on dreaming dogo, inakubalika.
 
chongchung wewe tulia, nani alikuambia kwamba Tatu city haina shule? Hii hapa Nova Pioneer School ambyo ipo Tatu city na tayari wanafunzi wanasoma. Nimekuwekea mpaka website yao. Shule zenu ni hovyo hata hazina website. Hii Nova Pioneer by the way ni international school na kuna Nova Pioneeer South Africa. Soma kwenye website yao. Kuna shule nyingine pia international ambayo ipo Tatu city inaitwa Crawford school lakini hio nitapost picha yake baadaye nikipata muda.

View attachment 2305447*

View attachment 2305449
View attachment 2305450
View attachment 2305451

View attachment 2305452

OView attachment 2305453

View attachment 2305459
View attachment 2305460
View attachment 2305461
View attachment 2305462

View attachment 2305465

Sama boy 255 punguza matusi dhidi ya Wakenya ili battle iendelee. Matusi uliyomrushia Don YF sio nzuri. Itafanya battle isambaratike.
Yani eneo kubwa ni empty, alafu Tony usijaribu kabisa kulingisha Tatu village na Dodoma city interms of schools kwa level zote iwe primary, secondary, or university.
 
Huyu ni "lab technician" tena ni ngazi ya Cheti, hajui lolote zaidi ya kukoroga vinyesi vya binadamu na kuangalia mayai ya amoeba[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa sijaiona hii [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miradi sio uchumi wa mojakwa moja usisahau ilo....UnaWeza jenga ring roads Dodoma kwa billions kadhaa wakati wa mradi kweli pesa itaonekana ila mradi ukiisha mambo yanarudi kama zamani,
ARUSHA kuna potential nyingi za kibiashara tena zinazozalisha $$kibao..Real estate, hotels,maduka ya biashara ni likely kuwekezwa kwa wingi ARUSHA kuliko dodoma sababu uchumi wake ni strong tayari,

Advantage itakayopatikana dodoma ni mji utakua na infrastructure za kisasa,well planned na pop ya wastani. Ni rahisi entrepreneur kupelekea pesa kujenga hotel ARUSHA kuliko dodoma for no of reasons,
Kwasababu hiyo serikali italazimika kuendeleza Arusha Kwasababu wanaokota kodi kubwa, dodoma haitawahi zidi ARUSHA
Case closed, anyone arguing against this must be stupidly ignorant.,
 
chongchung naona umetoroka battle ya shule za msingi kati ya Dodoma na Tatu city. Tunazingatia quality sio idadi. Nakungoja. Leo utachezea kichapo kizito mzee. Jaribu kupinga nilete shule ya pili international iliyo Tatu city.
Twende kazi, One planet international school, Dodoma [emoji116][emoji116]
image_downloader_1658908689393.jpg
image_downloader_1658908713781.jpg
image_downloader_1658908708226.jpg
image_downloader_1658908653941.jpg
image_downloader_1658908602750.jpg
 
Yani eneo kubwa ni empty, alafu Tony usijaribu kabisa kulingisha Tatu village na Dodoma city interms of schools kwa level zote iwe primary, secondary, or university.
Kwenye quality tumewashinda ila mumetushinda kwa idadi ya mashule. Mna mashule mengi mabovu huko Dodoma. Kwenye idadi nakubali mumetushinda ila kwenye quality nakataa. Hio Nova Pioneer ni international school na ilianzishwa South Africa. Usilete mchezo hapa.
 
chongchung wewe tulia, nani alikuambia kwamba Tatu city haina mashule? Hii hapa Nova Pioneer School ambayo ipo Tatu city na tayari wanafunzi wanasoma. Nimekuwekea mpaka website yao. Shule zenu ni hovyo hata hazina website. Hii Nova Pioneer by the way ni international school na kuna Nova Pioneeer South Africa. Soma kwenye website yao. Kuna shule nyingine pia international ambayo ipo Tatu city inaitwa Crawford school lakini hio nitapost picha yake baadaye nikipata muda. Hii Nova Pioneer ni shule ya chekechea, msingi na sekondari kwa pamoja. Usilete mchezo hapa.

View attachment 2305447*

View attachment 2305449
View attachment 2305450
View attachment 2305451

View attachment 2305452

OView attachment 2305453

View attachment 2305459
View attachment 2305460
View attachment 2305461
View attachment 2305462

View attachment 2305465

Website ya Nova Pioneer 👇 👇 👇

Sama boy 255 punguza matusi dhidi ya Wakenya ili battle iendelee. Matusi uliyomrushia Don YF sio nzuri. Itafanya battle isambaratike.
Kwanza mniwie radhi, pili ni kitu kinachoudhi mno kulazimisha uongo kuwa ukweli, mimi huwa nachukia sana mtu muongo, alafu anakazana kulazimisha vitu ambavyo havipo au impossible and that's why sometimes nakua mkali.. otherwise mnisamehe I'm not perfect 🙏
 
Hamna shida.
 
Kwenye quality tumewashinda ila mumetushinda kwa idadi ya mashule. Mna mashule mengi mabovu huko Dodoma. Kwenye idadi nakubali mumetushinda ila kwenye quality nakataa. Hio Nova Pioneer ni international school na ilianzishwa South Africa. Usilete mchezo hapa.
No research no right to speak, hijui Dodoma u better ask kwanza sio utoe conclusion zako, DOM kuna shule kali za kushato,
 
Kwenye hii battle ya international schools na wala usibabaike. Tutawakaranga pole pole kwa mafuta yenu wenyewe hadi mtoroke wenyewe. Hii hapa Crawford International school ambayo ipo Tatu city na pia ipo South Africa. Hii sasa ni kali hata kushinda Nova Pioneer. Hii ni shule matata kabisa. Inafanana kama university na kumbe ni shule ya msingi.

images (3).jpeg
images (6).jpeg
images (7).jpeg

Nionyeshe tu shule moja ya msingi Tanzania ambayo ina swimming pool.
images (8).jpeg
images (11).jpeg

Aerial view ya bonge la shule kwa jina Crawford international school, Tatu city.
images (10).jpeg

images (22).jpeg

images (13).jpeg
 
Back
Top Bottom