Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wakuelewa wameelewa, Tatu is private and on steroids., can't be a white elephant, investors wameichangamkia sana.,

Tatoo sijui tatuu is just like Eko Atlantic City in Victoria Island Lagos state,
Due massive corruption, the land becomes extremely costly, unaffordable.
Those projects never take off, neither make economic sense in poor countries Like Nigeria or Kenya,
Hiyo Tatoo project is more than a decade old as we speak, so as the Eko Atlantic City,

Did you see how Egypt is doing its satellite cities quite much more easier and just in timelines ?
That’s what we are doing in Dodoma.

We tried that your tatoo way with Kawe city, Victoria etc unaona a three bedroom house costs over $300k wakati wabongo kwa hiyo pesa anajenga ghorofa ya kibabe hapa Dar, na eneo kubwa la garden na Volkswagen Amarok ya 2015 na biashara anafungua,
Wewe ungechagua lipi ? Ndio maana tunaitwa wabongo. We use brain.
 
Where will you be sourcing water to refill those ponds during dry season ? We both know that’s rain water nah ?[emoji3]
Kwani hio dam imeundwa saa hii? Kama kitu imekufurahisha toa pongezi wacha maneno mengi
 
The best 007 Sama boy 255 Kitu msichokifahamu ni kwamba kati ya nchi hizi tatu Uganda, Tanzania na Kenya, kwamba Kenya ndio ilikuwa nchi ya mwisho kupata university. Sasa Wakenya wengi walienda nje ya nchi kupata masomo ya chuo kikuu. Huwa ninawaambia kwamba Kenya tuna shida nyingi kuwashinda ila huwa tunafaulu kuzisuluhisha. Hio haimaanishi kwamba level of education ya Kenya ipo chini. University of Nairobi is ranked higher than any university in East Africa. University of Nairobi ilianzishwa 1970. Kabla ya hapo ilikuwa college. Lakini tangu ianzishwe imejijenga na sasa ni the highest ranked university in East and Central Africa na ipo top ten in Africa.

University of Dar es Salaam imeshikilia hiyo tittle for almost a decade, ni vile tu kumekuwa na siasa lately kikashuka.
Besides, I work in a corporate full of expatriates from all over the world, and no one ever bothered of what university or whether I even graduated.
Watu kudhani kama kusoma chuo fulani unakuwa tofauti na chuo kingine is just myth. and indeed an outdated third world mentality.
 
NDINDA na ichoboy01 Inshallah nami siku yake nitashuka kwenye passo nikae humo tuwe wote team BMW [emoji3],kunyan hapo wanaweza kujua UK kumbe victoria

[emoji23]Hamna Shida Boss, hiyo Passo unaongezea kidogo tu unapata hata 3 Series [emoji41].

Last Friday nilipata fursa ya kufuata bmw x7 xdrive40i Nyuma Na ka mbu changu ( kama chawa ) nilifika Destination miguu yote imelegea [emoji23].

IMG_0290.jpg
 
Umejipima kienyeji sana hukua na pipette?anyway atleast umejaribu[emoji3][emoji3]
Mkuu sijajipima nimepimwa na Dr, unaposema pipette unamaanisha ile tube yake yenye maji ambayo unaweka baada ya kuweka damu au unamaanisha nn?
 
Tuonyeshe Dar slum alijenga meli gani.
Dar hakuna ziwa bana ila kulikuwa na mpango wakujenga meli kubwa.
Ziwa Tanganyika hajajenga meli! msema kweli mpenzi wa Mungu!
Magu teyari alishaandaa mpango wa kujenga meli mpya ziwa Tanganyika.
👍wenzako hawapendi ukweli.,
cc The best 007
Labda alipitiwa tuu lakini Magufuli alishapanga kuboresha meli za zamani na kujenga meli mpya (mizigo na abiria).
 
Idea ni ya Magufuli, Magufuli ndiye aliyetoa wazo la kujenga Meli kubwa ya Mwanza, hivyo kwangu haingii akilini ukimponda wakati huo huo unaposti kila aina ya picha ya projects zote alizoanzisha Magufuli, kama Magufuli alikuwa mbaya kwako why posting project zake na kuwatmbia nazo Wakenya? Unaweza post projects alizoanzisha Kikwete au Samia pia ili uwe fair na unachokiamini!
Labda nikuulize swali kama haumind, ni wewe ndiye uliyepost picha kubwa ya Meli ya Mwanza ambayo ni project ya Magufuli 100%, na kujivunia nayo wakati huo huo unasema alijenga Chato tu na kumponda, sasa kwa nini unaposti Picha ya Meli ya kubwa ya Mwanza na kuwatambia nayo Wakenya kazi iliyofanywa na Magufuli wakati huo huo unamponda ? Kwa nini usiposti kazi za Samia au Kikwete labda na kujivunia nazo?
Geza Ulole wakati mwingine anakuwa kama anarukwa na akili vile. Majuzi nilimwambia asione aibu kumpa credit Magu kwa idea yake ya kujenga bwawa na reli za umeme. Yaani kila siku anajichukulia ujiko kwa wakenya kwa kuweka miradi ya Magu, wakati huo huo akimponda, kama siyo uchizi huu ni nini?
 
Geza Ulole wakati mwingine anakuwa kama anarukwa na akili vile. Majuzi nilimwambia asione aibu kumpa credit Magu kwa idea yake ya kujenga bwawa na reli za umeme. Yaani kila siku anajichukulia ujiko kwa wakenya kwa kuweka miradi ya Magu, wakati huo huo akimponda, kawa siyo uchizi huu ni nini?
Watu wapo kazini kaka, c unajua Africa tunaishi kinafki ili tonge liende kinywani, umaskini mbaya sana kaka.
 
Mikunya imezoea kuishi humu haielewi Yaani hayo makazi ya kitanzania kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2303773View attachment 2303775View attachment 2303776View attachment 2303778View attachment 2303779View attachment 2303781View attachment 2303783View attachment 2303784View attachment 2303785[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa Wakenya wanaishi maisha ya kishetani sn mkuu, huwa naona huruma sana japo ni wajeuri lkn nawaonea huruma sana.
 
Back
Top Bottom