Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Kazi yangu sio kuanika kila ninachomiliki. Wewe hujawahi kuanika hata pua lako tu. Hata ukucha wako hujawahi kuanika humu.No amefanya ukoo wako kuwa squatters nchi mliyozaliwa! I bet unamiliki hata acre hapo Kunyaland!
vitu vya kawaida rafiki! umekuwa sensitive mbaya nimegusa kunako sio?Kazi yangu sio kuanika kila ninachomiliki. Wewe hujawahi kuanika hata pua lako tu. Hata ukucha wako hujawahi kuanika humu.
That wasn't the point, point ni ati imeshuka, n numbers going there across Africa has reduced since 60s, 70s and 80s, other universities have come up and even overtaken University of Dar by far.., do u know what entails university rankings?.., find out u will understand what I mean.so unataka kusema wakina Wako, Mutunga na Mutua ni graduates wa 1960s? Una wazimu aisee! hebu ingia profile zao utaona wamesoma UDSM late 70s to mid 80s!
Mt. Kenya ni tricky., I hope he gets at least 25 to 30%, been there, nimezurura Kiambu, Murang'a na Meru.., ground ni UDA mbaya hadi ndani ndani vichochoroni!! was shocked Karua pick didn't have effect yenye nili expect!., am hopping voter turn out yao ikue less, coz I hear kunaeza kua na apathy, they wont vote to the last man like in 2013 n 2017.,
Eti kameweka kabisa na ushahidi kwamba Mkapa na Kikwete waliwahi kusoma Kenya, kajamaa kanaumizwa sn na jina la Tanzania kana wish ingekuwa Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Madhara ya kutafuna mirungi mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wameanza kupeana vitasa wenyewe kwa wenyewe, ukabila mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mt. Kenya ni tricky., I hope he gets at least 25 to 30%, been there, nimezurura Kiambu, Murang'a na Meru.., ground ni UDA mbaya hadi ndani ndani vichochoroni!! was shocked Karua pick didn't have effect yenye nili expect!., am hopping voter turn out yao ikue less, coz I hear kunaeza kua na apathy, they wont vote to the last man like in 2013 n 2017.,
Bonge la dude [emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Macho huna au umeweka mata.koni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona shipyard imekaa kijuakali sana, hata cabros wameshindwa kutandaza. How sure are we hilo meli pia sio juakali.
Hakuna chenye unaelewa, nenda kapambane na Chama Cha Mafala (CCM) yenu kwanza kisha uje 😂 😂 😂 😂 😂 😂Wameanza kupeana vitasa wenyewe kwa wenyewe, ukabila mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena hapa mwenyewe umesema "hilo meli" manaake bonge la dude mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mbona shipyard imekaa kijuakali sana, hata cabros wameshindwa kutandaza. How sure are we hilo meli pia sio juakali.
Kwa hili you've done well, hongera!., is the ship being built private or ya govt?
View attachment 2303348
Show me other ships...,Kazi ya Magufuli hiyo, Maziwa yote Tanzania alijenga Meli.
RIP Magu, gone too soon!
Tuonyeshe Dar slum alijenga meli gani.Kazi ya Magufuli hiyo, Maziwa yote Tanzania alijenga Meli.
RIP Magu, gone too soon!