Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,712
- 107,153
sasa unabisha nn kusema Lake Tanganyika hakujenga wala kukarabati chombo cha majini?Hakuna mahali nimeandika Magufuli alijenga Liemba!
sasa unabisha nn kusema Lake Tanganyika hakujenga wala kukarabati chombo cha majini?Hakuna mahali nimeandika Magufuli alijenga Liemba!
sasa unabisha nn kusema Lake Tanganyika hakujenga wala kukarabati chombo cha majini?
priority kwake ilikuwa Chato airport (gharama zaidi ya Tshs 120 bln) badala ya kujenga meli ziwa Tanganyika! Sasa bandari ya Karema inakamilika ila hakuna meli ya mizigo ya maana kupeleka mizigo upande wa pili hata Liemba na Mwongozo hazijafanyiwa matengenezo! Kama dual track rail ferry ingejengwa halafu line ya mpanda ikawa extended ikajengwa na TRC (Kadogosa aligusia hili) mpaka Karema hata kama ya narrow gauge mazungumzo yangekuwa mengine! The least i can say alikuwa very controversial!Sijabisha, ila nilichosema ni kwamba aliishi kama raisi kwa miaka 5 na Tanzania imezingukwa na Maziwa mengi, Tanganyika tayari ina meli kubwa tu ya siku nyingi Liemba hivyo lilikuwa ni swala la muda tu baada ya Maziwa mengine kupata Meli hata Tanganyika ingepata Meli nyingine pia!
Kama Samia Suluhu Hassan alivyopita kwenye vichochoro vya Diploma hadi kutokea Ikulu.How Jomo Kenyatta joined university without secondary school results slip
News
By Nairobian Reporter | 4yrs ago | 3 min read
![]()
Jomo Kenyatta at London School of Economics in 1934
In 2014, President Uhuru Kenyatta recently received an honorary doctorate (Honoris Causa) degree from Kabarak University for “his sterling leadership and management of the country’s affairs.”
Uhuru now has bragging rights to a doctorate, like retired president Mwai Kibaki who received a Doctor of Laws degree in 2012 from his alma mater, Makerere University, where he was a First Class in economics graduate in 1955.
But did you know Uhuru’s old guy, the late Jomo Kenyatta, attended university without ever graduating from any high school?
Jeremy Murray-Brown in his 1973 bio of Kenyatta notes that he completed basic mission schooling from Thogoto in Kikuyu where he studied the Bible (but was later an agnostic despite his family being front-pew Catholics), mathematics and carpentry.
Masonry was reserved for brighter students, but Jomo was condemned to the less mentally-exerting woodwork that enabled him to become an apprentice carpenter in a Thika sisal farm under John Cook in 1912.
Kenyatta received no secondary education. But good old Jomo had academic forays from University College of London and the London School of Economics (LSE) after leaving Kenya in 1929.
How so?
Well, 20 years after leaving Thogoto, the future president enrolled at the Fircroft Working Men’s College for a year’s bridging course and to “improve his English.”
William McGregor Ross, former Director of Publics in the Kenya Colony, later assisted his admission and fee payment at Woodbooke Quaker College in Birmingham, England in 1931.
![]()
Jomo Kenyatta
University of the Toiler’s of the East came next, before studies were terminated after only a year in the Soviet Union where his mind got impervious to communist ideologies in 1933.
Bruce J Berman informs us in the Oxford Dictionary of National Biography that Kenyatta returned to England and became a linguistic informant at University College in London. Here, he worked on Arthur Ruffell Barlow’s, English-Kikuyu Dictionary, and Lilias Armstrong’s, The Phonetic and Tonal Structure of Kikuyu, for which the publishers wrote that Kenyatta was an “interested, patient and critical native assistant.”
In 1935, Prof Bronislaw Malinowski, the world eminent anthropologist, wrote a recommendation letter to the London School of Economics, where Kenyatta was transferred as his personal student!
Kenyatta studied social anthropology, fervently arguing in favour of FGM with Louis Leakey, who rebuffed his position in flawless Kikuyu to the amusement of students, including the visiting Elspeth Huxley, author of Flame Trees of Thika: Memories of African Childhood.
After four years at LSE, Kenyatta published Facing Mt Kenya as a revised version of his post-graduate diploma thesis in 1938.
Facing Mt Kenya, where the name Jomo Kenyatta first appeared, was edited by his roommate, Dinah Stock, the Secretary of the British Centre Against Imperialism. The future teacher in India paid rent since Kenyatta the student was often rock bottom broke!
Dinah, who sent Kenyatta books while he was cooling colonial porridge in Kapenguria, was a State guest during Uhuru celebrations in 1963.
Prof Malinowski wrote in the foreword of Kenyatta’s magnum opus: “It is one of the first really competent and instructive contributions to African ethnography by a scholar of pure African parentage.”
And that from someone who did not qualify for masonry classes!
![]()
The Standard - Kenya & World News | Latest and Breaking news
Uncover Kenya's boldest stories: Politics, business, sports, and more. Breaking news delivered live. Be informed, empowered.www.standardmedia.co.ke
MY TAKE
Zuzu's admittance at universities without graduating! Zuzu alikuwa mtu wa ku-abscond na ku-disco! Corruption started waaay back in Kunyaland even before Independence! Pata picha, fundi seremala anakuwa Rais na CV ya kuungaunga namna hii!
CC: Teargass, Tony254
priority kwake ilikuwa Chato airport (gharama zaidi ya Tshs 120 bln) badala ya kujenga meli ziwa Tanganyika! Sasa bandari ya Karema inakamilika ila hakuna meli ya mizigo ya maana kupeleka mizigo upande wa pili hata Liemba na Mwongozo hazijafanyiwa matengenezo! Kama dual track rail ferry ingejengwa halafu line ya mpanda ikajengwa hata kama ya narrow gauge mazungumzo yangekuwa mengine! The least i can say alikuwa very controversial!
Samia ana masters na ni graduate wa Mzumbe University!Kama Samia Suluhu Hassan alivyopita kwenye vichochoro vya Diploma hadi kutokea Ikulu.
The thing ni kwamba hao wengine hawakujenga ila huyo JPM alijenga ila kwa sababu anazozijua yeye si kwa malengo mapana ya kitaifa! Tuendelee kuhesabu miaka ya idle facility pale Karema mpaka meli ikijengwa!Labda unge question pia hao walioongoza miaka yote iliyopita pia kwa nini hawakuweka/kujenga Meli kwenye hayo Maziwa? Kumlaumu Magufuli kwa kila kitu siyo fair!
We know that. Ila tunajua pia alifeli feli sana shuleni huko nyuma.Samia ana masters na ni graduate wa Mzumbe University!
Magufuli ndiye alifaulu? Ambaye hakujua hata ku-construct a sentence be in Swahili or English!We know that. Ila tunajua pia alifeli feli sana shuleni huko nyuma.
Dar ina ziwa we chokoraa?Tuonyeshe Dar slum alijenga meli gani.
The thing ni kwamba hao wengine hawakujenga ila huyo JPM alijenga ila kwa sababu anazozijua yeye si kwa malengo mapana ya kitaifa! Tuendelee kuhesabu miaka ya idle facility pale Karema mpaka meli ikijengwa!
Alisaini miradi ya kujenga bandari na meli 4 Tanganyika na ukarabati wa MT Sangara na MV Liemba, zingatia alifia madarakani hivyo usimuhukumu kama Rais mstaafuWacha kupotosha Liemba ipo zaidi ya miaka miwili ime-park inaota kutu huku ahadi za kuikarabati zikiendelea kuimbwa! Ati kajenga Liemba labda si Liemba ya Kigoma! hakufanya kitu Lake Tanganyika kwenye vyombo vya maji! MT Sangara ukarabati umeanza January!
kwani ni pesa ya mfukoni ya Magufuli au Samia?Labda nikuulize swali kama haumind, ni wewe ndiye uliyepost picha kubwa ya Meli ya Mwanza ambayo ni project ya Magufuli 100%, na kujivunia nayo wakati huo huo unasema alijenga Chato tu na kumponda, sasa kwa nini unaposti Picha ya Meli ya kubwa ya Mwanza na kuwatambia nayo Wakenya kazi iliyofanywa na Magufuli wakati huo huo unamponda ? Kwa nini usiposti kazi za Samia au Kikwete labda na kujivunia nazo?
Be it in Swahili or in English! Ooo, Poor guy!Magufuli ndiye alifaulu? Ambaye hakujua hata ku-construct a sentence be in Swahili or English!
priority kwake ilikuwa Chato airport (gharama zaidi ya Tshs 120 bln) badala ya kujenga meli ziwa Tanganyika! Sasa bandari ya Karema inakamilika ila hakuna meli ya mizigo ya maana kupeleka mizigo upande wa pili hata Liemba na Mwongozo hazijafanyiwa matengenezo! Kama dual track rail ferry ingejengwa halafu line ya mpanda ikawa extended ikajengwa na TRC (Kadogosa aligusia hili) mpaka Karema hata kama ya narrow gauge mazungumzo yangekuwa mengine! The least i can say alikuwa very controversial!
kwani ni pesa ya mfukoni ya Magufuli au Samia?
Leta evidence JPM alitoa fedha zote za Mv Mwanza! Mimi nam-support mama kwa kutoa fedha na kuendleza ujenzi! HUyo JPM wako ni controversial kama kawa!Idea ni ya Magufuli, Magufuli ndiye aliyetoa wazo la kujenga Meli kubwa ya Mwanza, hivyo kwangu haingii akilini ukimponda wakati huo huo unaposti kila aina ya picha ya projects zote alizoanzisha Magufuli, kama Magufuli alikuwa mbaya kwako why posting project zake na kuwatmbia nazo Wakenya? Unaweza post projects alizoanzisha Kikwete au Samia pia ili uwe fair na unachokiamini!
Huyo hajielewi, utashangaa ataanza kuwatambia wakunya mradi wa EACOP bila kujua bila Magufuli huu mradi Tanzania ingekua history, hata huyu zuzu Makamba anajikosha na viziara kwenye miradi iliosababishwa na wasiompendaIdea ni ya Magufuli, Magufuli ndiye aliyetoa wazo la kujenga Meli kubwa ya Mwanza, hivyo kwangu haingii akilini ukimponda wakati huo huo unaposti kila aina ya picha ya projects zote alizoanzisha Magufuli, kama Magufuli alikuwa mbaya kwako why posting project zake na kuwatmbia nazo Wakenya? Unaweza post projects alizoanzisha Kikwete au Samia pia ili uwe fair na unachokiamini!