Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
#InawezekanaRaila akitangazwa mshindi 1ksh itaruka Hadi tsh30
#InawezekanaRaila akitangazwa mshindi 1ksh itaruka Hadi tsh30
BMW club Kenya, View attachment 2303834View attachment 2303837View attachment 2303836View attachment 2303835View attachment 2303838
Umekurupuka,haya angalia mazingira yako na ya kwenye video ulioiquote 😀
Ndio maana hata mimi nawaasa Wakenya kuhusu Njaa. Njaa mbaya sana.Watu wapo kazini kaka, c unajua Africa tunaishi kinafki ili tonge liende kinywani, umaskini mbaya sana kaka.
Ile trip ya zanzibar nikama umekulana sana[emoji1787]Hehehheeee leo nikaona ni check afya yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2303755
Bro hapa nitapishana na wewe endapo tuu tutatumia lugha ya kingereza kufundisha jua ndani ya vizazi viwili vijavyo kiswahili ndo kitakuwa kwaheri mfano mzuri ni KenyaTunatakiwa tutumie lugha ya kingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia primary mpk chuo kikuu na tuchague vitabu vya aina moja mfano kama vya Oxford vitumike hivyo shule zote kuanzia kindergarten mpk form 6. Lugha ya kiswahili tushaijua vzr sio mbaya tukajua na lugha ngeni hususan kingereza, hii tabia ya kusema kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia ndio imeshusha elimu yetu iliyokuwa bora sn miaka ya nyuma.
Hatuwezi kuliepuka hilo kwasababu hiyo elimu waliyoianzisha ndiyo hao hao, so to make it easy tumia lugha yake hyo hyo kupata maarifa zaidi baada ya hapo tunaweza kuamua.
Sio dhambi ila kama kweli tuna nia ya kuikuza lugha ya kiswahili inafaa ndo iwe lugha ya kufundishia la sivyo tutakuwa tunarusha ngumi hewaniHao viongozi wenyewe wanapeleka watoto wao English medium schools wakija hadharani wanajifanya wanataka kiswahili kiwe lugha ya kufundishia, narudia Sio dhambi mtz kujua lugha nyingi.
Kiswahili mpk hapa tunaongea kimeshakua, ni international language as we speak, Watz wanatakiwa wajue kiswahili na kingereza kwa ufasaha kwa gharama yeyote ile.Sio dhambi ila kama kweli tuna nia ya kuikuza lugha ya kiswahili inafaa ndo iwe lugha ya kufundishia la sivyo tutakuwa tunarusha ngumi hewani
Umekurupuka,haya angalia mazingira yako na ya kwenye video ulioiquote [emoji3]
Bei ya kutoka Dar to Guanzhou unaongeza kdg tu apo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mazingira gani unaongelea ya bagamoyo road, i knw the place too wellUmekurupuka,haya angalia mazingira yako na ya kwenye video ulioiquote [emoji3]
Bwana we kuna manzi mmoja anasema hatoi mzigo mpk tukapime nikaona sio kesi ngoja nijipime mm kwanza alafu ndiyo nmwambie tukapime mana mechi zangu za hivi karibuni sizielewi kabisa mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile trip ya zanzibar nikama umekulana sana[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] basi pia yeye keshajipima in advanceBwana we kuna manzi mmoja anasema hatoi mzigo mpk tukapime nikaona sio kesi ngoja nijipime mm kwanza alafu ndiyo nmwambie tukapime mana mechi zangu za hivi karibuni sizielewi kabisa mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njaa inatoa utu, ili Africa iendelee inapaswa kukomesha njaa kwanza alafu elimu ifate.Ndio maana hata mimi nawaasa Wakenya kuhusu Njaa. Njaa mbaya sana.
Lugha ya kiswahili haitakuja kupotea, kuna nchi zinatumia lugha zaidi ya moja mkuu.Bro hapa nitapishana na wewe endapo tuu tutatumia lugha ya kingereza kufundisha jua ndani ya vizazi viwili vijavyo kiswahili ndo kitakuwa kwaheri mfano mzuri ni Kenya
Tuweke aerial view ya hayo mazingira tuone nani ataibika[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitaeleweka tu we mwache, mm huwa ni mbishi kupima kaka, ila sasa nmepima kazi kwake kama alikuwa anatania sasa mm nmefanya kweli. Ila mwanangu kuna machaka nmepita recently co poa kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi pia yeye keshajipima in advance
Ngoja i repost for you the pics tuone mazingiraUmekurupuka,haya angalia mazingira yako na ya kwenye video ulioiquote [emoji3]
Pisi za kichaga au?Kitaeleweka tu we mwache, mm huwa ni mbishi kupima kaka, ila sasa nmepima kazi kwake kama alikuwa anatania sasa mm nmefanya kweli. Ila mwanangu kuna machaka nmepita recently co poa kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachaga hamna kitu mkuu,ni wazuri ila co watamu, pisi fulani hivi ina jambia mbali mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pisi za kichaga au?