Worst thing about those stupid Kenyans commenting there is that they don't know Tatu city is a private city and therefore it is not budgeted for by the government. Halafu ichoboy01 anashangilia hizo comments za kijinga. Tatu city ni mali ya watu binafsi sio mali ya serikali. Hakuna pesa ya budget ya Kenya ambayo inakwenda Tatu city.
Mkuu kuna muunganiko mkubwa kati ya kula mirungi na ufinyu wa akili. [emoji16][emoji23][emoji23]
Mtu anakula mirungi kama chakula sasa hiyo akili anaitoa wapi!
Naomba tubishane kwa hoja...
Elimu ya kenya ipo mbele kwa Tz kivipi?
Nimesoma na Wakenya wengi waliokuwa wanatoka shule za kenya kuja kusoma Tanzania tena mmoja wao ni Medical doctor pale Kenyatta hospital,mwingine ni MD wa kampuni kubwa sana hapo kenya(Sitoitaja jina kwa usalama wake ila ni company kubwa sana) Na hao wote nimesoma na kuanzia form one mpaka form four wengine tulimaliza nao mpaka six,darasani hawakuwahi kuingia ata top 10 japo walikuwa vizuri kwenye mombo ila kila class ovyo sana
Mwaka huu nilikuwa kenya nimegundua wakenya wengi wanaleta watoto wao Tz wapate elimu,nilipo uliza wakanijibu kuwa hapa kenya kuna elimu ya english tu ila mwanafunzi akimaliza hana ajira ni bora nimpeleke tanzoo akapate elimu ya kumsaidia.
Elimu ya kenya inachoizidi tanzania ni kuzungumza na kuandika lugha za mabwana wenu(Slave mentality) lakini ukimchukua mwanafunzi wa tz na ke halafu ukawaacha waoneshe ujuzi wao utagundua kuwa Vijana wa TZ wapo juu sana
Sasa umeandika tu porojo kujifurahisha, wewe na hizi hekaya za abunuasi, yaani story unajitungia kujitekenya, potelea mbali, your level ni vijiweni kaka, nenda kajifurahishe kuleee.., sio mara ya kwanza unaandika porojo, mbona ukweli hampendi? zoea kilaza 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mkuu kuna muunganiko mkubwa kati ya kula mirungi na ufinyu wa akili. [emoji16][emoji23][emoji23]
Mtu anakula mirungi kama chakula sasa hiyo akili anaitoa wapi!
Vitu vya ajabu kabisa, chizi moja limekaza fuvu kulinganisha progressing Dom, the most developing City in EA and central Africa, na imagination zao sijui tatu town 🤣🤣🤣
Sasa umeandika tu porojo kujifurahisha, wewe na hizi hekaya za abunuasi, yaani story unajitungia kujitekenya, potela mbali, your level ni vijiweni kaka, nenda kajifurahishe kuleee.., sio mara ya kwanza unaandika porojo, mbona ukweli hampendi? zoea kilaza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Taja mtu yeyote mashuhuri kutoka Tanzania aliyesoma Kenya mm nitakutajia watu mashuhuri waliosoma Tz kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Kenya, baada ya hapo tutajua elimu ipi ni bora ya Kenya au ya Tz.
Sio Wakikuyu wanamzuia huyo muarabu wenu Rostam kupata leseni. Kuna muarabu mwenzake raia wa Kenya anaitwa mohamed Jaffer ambaye anamiliki gas terminal kubwa Mombasa na huyo pengine ndiye aliyemwekea muarabu wenu breki. Hii ni vita vya waarabu wawili. Wachana nao sisi waafrika hata hatuna pesa ya kumiliki gas terminals hizo. Wacha waarabu wapiganie leseni wenyewe. Hutapata hata shilingi moja kutoka kwa Rostam hata ukimtetea. Mohamed Jaffer ukitaka kumfahamu soma hapa.
Unaona mlivyowajinga, eti unasema hutopata hata shilingi Moja, hivi hujui kwamba ajira nyingi na Bei ya gesi itapungua na kuwafaidisha wakenya wengi?. Nyerere hakukosea alipowaita "Man eat man societ". Kenya there is no law and order', mwenye pesa ndiye mwenye kuamua maisha ya wakenya yawe vipi.
A tax suit has revealed how the Kenya Revenue Authority (KRA) raided Mombasa billionaire businessman Mohamed Jaffer over a suspicious tax evasion scheme among his chain of companies across oil, grains and liquid petroleum gas industries.
Kwahiyo serikali yenu haina nguvu dhidi ya huyo mwarabu?. Huwa tunawaambia kwamba Kenya ni "failed state" lakini mnapinga, Sasa hiki unachozungumza ni kitu gani?, Kwahiyo serikali yenu huwa haina maamuzi yake?[emoji23][emoji23][emoji23]
Taja mtu yeyote mashuhuri kutoka Tanzania aliyesoma Kenya mm nitakutajia watu mashuhuri waliosoma Tz kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Kenya, baada ya hapo tutajua elimu ipi ni bora ya Kenya au ya Tz.
Hivi ni nchi gani katika Afrika ambayo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga Taifa lenye umoja, usawa, amani na uchumi wenye kuwashirikisha wananchi wengi kuzidi Tanzania?, taja kitu kimoja ambacho Kenya Kama Taifa imezidi Tanzania katika kuwahudumia raia wake
Sio Wakikuyu wanamzuia huyo muarabu wenu Rostam kupata leseni. Kuna muarabu mwenzake raia wa Kenya anaitwa mohamed Jaffer ambaye anamiliki gas terminal kubwa Mombasa na huyo pengine ndiye aliyemwekea muarabu wenu breki. Hii ni vita vya waarabu wawili. Wachana nao sisi waafrika hata hatuna pesa ya kumiliki gas terminals hizo. Wacha waarabu wapiganie leseni wenyewe. Hutapata hata shilingi moja kutoka kwa Rostam hata ukimtetea. Mohamed Jaffer ukitaka kumfahamu soma hapa.
A tax suit has revealed how the Kenya Revenue Authority (KRA) raided Mombasa billionaire businessman Mohamed Jaffer over a suspicious tax evasion scheme among his chain of companies across oil, grains and liquid petroleum gas industries.
Sio Wakikuyu wanamzuia huyo muarabu wenu Rostam kupata leseni. Kuna muarabu mwenzake raia wa Kenya anaitwa mohamed Jaffer ambaye anamiliki gas terminal kubwa Mombasa na huyo pengine ndiye aliyemwekea muarabu wenu breki. Hii ni vita vya waarabu wawili. Wachana nao sisi waafrika hata hatuna pesa ya kumiliki gas terminals hizo. Wacha waarabu wapiganie leseni wenyewe. Hutapata hata shilingi moja kutoka kwa Rostam hata ukimtetea. Mohamed Jaffer ukitaka kumfahamu soma hapa.
A tax suit has revealed how the Kenya Revenue Authority (KRA) raided Mombasa billionaire businessman Mohamed Jaffer over a suspicious tax evasion scheme among his chain of companies across oil, grains and liquid petroleum gas industries.
The best 007Sama boy 255 Kitu msichokifahamu ni kwamba kati ya nchi hizi tatu Uganda, Tanzania na Kenya, kwamba Kenya ndio ilikuwa nchi ya mwisho kupata university. Sasa Wakenya wengi walienda nje ya nchi kupata masomo ya chuo kikuu. Huwa ninawaambia kwamba Kenya tuna shida nyingi kuwashinda ila huwa tunafaulu kuzisuluhisha. Hio haimaanishi kwamba level of education ya Kenya ipo chini. University of Nairobi is ranked higher than any university in East Africa. University of Nairobi ilianzishwa 1970. Kabla ya hapo ilikuwa college. Lakini tangu ianzishwe imejijenga na sasa ni the highest ranked university in East and Central Africa na ipo top ten in Africa.
It is a time to celebrate. The University of Nairobi marks 50 years since it was transformed into the first national University in Kenya on July 1, 1970.
Taja mtu yeyote mashuhuri kutoka Tanzania aliyesoma Kenya mm nitakutajia watu mashuhuri waliosoma Tz kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Kenya, baada ya hapo tutajua elimu ipi ni bora ya Kenya au ya Tz.
Sasa hizi akili za GDP ya $150B jameni! 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , University of Dar es salaam zamani was an epitome of education in Africa with Ibadan in Nigeria and Makerere in uganda., Education system is holistic, tokea chekechea.., nyie mko hovyo in EAC.,
Wakenya hatuenezi porojo humu kama nyie, dunia inatutambua, nyinyi kazi yenu imekua tu kupinga bila facts, ni domo0 domo tu, kueni patience mtafika siku moja, jikubalini ili u grow 😂😂😂😂😂😂😂😂
Top 10 African Countries With The Best Education System in 2022
Thirty-eighth (38) African Countries were ranked among the 140 countries with the best education systems based on skills development by the World Education Forum. Aside from the fact that the selection was made based on the general level of skills of the workforce and the quality and quantity of education possessed by each of these countries, other factors considered include research, development of digital literacy standard academic facilities, and ability to think critically and creatively.
Seychelles has the best education system in Africa
There are 54 countries in Africa, but the question is which African countries have the best education systems? Most countries in Africa are classified as developing countries, however, in terms of education, some of them are carving a niche for themselves.
This article contains the top 10 African Countries with the best education system in 2022
1. Seychelles
This is a small island and one of the least countries by landmass. Even with its small size, it inhabits about 95,000 people, which makes it easier for educators to be properly circulated around the country. In UNESCO’s “education for all” goal set by the UN subsidiary, Seychelles is the only African country that has been able to reach this feat. Seychelles is currently topping the list of African Countries with the best education system. It is also among the top 10 most educated countries in Africa
The country is rated 69.3 points in terms of education by the World Economic Forum. It is also the only African country in the top 50 rated education systems globally. It was stated by UNESCO in 2016 that the Seychelles government spent 11.72% of its total expenditure on education. This is possible in the country as it’s seen that students up to the age of 16, have free and compulsory education, and it continues till they are 18.
2. South Africa
This country ranks 84th in the global education system. South Africa is a popular Country and it is located on the southern tip of the continent. The South African government is majorly responsible for its sound education system as 18 percent of the country’s budget goes on improving the standard of education. This is why South African universities rank among the best in Africa, extending to the world rank. Most of the South African citizens are literate, as such, the illiteracy level in the country is drastically reduced.
The educational advancement of Mauritius was initiated from the time of British colonialism. After gaining independence, they continued in the ways of the British and it has impacted much of the country to this day. Mauritius, a riverine- territory, Surrounded by the pacific, attracts tourist activities, which are also complemented by educational development. The country is estimated to have a literacy rate of 84.4% and ranks number 3 on the list.
Mauritius has the 3rd best education system in Africa, with 61 points. It holds the 74th position in the global education system and ranks 40th position on the Extent of staff training and 47th on the Quality of vocational training globally.
4. Tunisia
Tunisia is the most educated Arab Country in Africa and ranks number 4 on the list and 71st in the global education system, ranking with 61.4 points. The government of Tunisia and some private individuals have helped in improving the educational system of the country. This results in the country, ranking 49th for school life expectancy and 51st for pupil-teacher ratio in primary education.
The Tunisian government, through its rich oil revenues, focuses on revamping the education system, and this is seen in the quality universities and colleges that the developing nation has put in place to achieve the aim of being amongst the best.
5. Kenya
This is another popular country that is known for its wildlife, which contributes up to 70% of the country’s tourist revenue. The allocated time for primary education in Kenya is 8 years. The government has succeeded in giving educational uplift to the people of Kenya.
With a population of 49.7 million, 17.58 percent of total government expenditure in 2017 went to education, and the literacy rate is at 78.7 percent according to UNESCO. This country has more than 30 tertiary institutions which have attracted foreigners to the country in the bid to utilize the quality of the country’s educational system.
Algeria is a North African country and ranks 88th in the list of countries with the best education system globally. The country also rank’s number six on this list with 57.4 points. The government of Algeria has tried to make the citizens properly educated and more than half of them are literate.
7. Ghana
It is mandatory for every citizen between the ages of 6 to 16 to receive formal education in this country. This norm, including the number of quality schools of learning in the country, has kept them in the African view as a country with a superb educational system.
8. Egypt
Egypt’s rank has 71%, according to the UNESCO 2021 rank of education in the countries in the world. The country also occupies the 99th position in the global education system. In this country, education is not only important but compulsory for everybody. The Egyptian government empowers all children from age 6 to age 17, for 12 years.
9. Namibia
This southwest African country has a large number of more than 1500 quality world-class schools. This also means that the country pays serious attention to education. It is compulsory for every Namibian between the ages of 6-16 to receive formal education in any of their schools.
Interestingly, the government has the responsibility for this academic period of 10 years by providing academic funds. The school fees for every eligible Namibian are being paid by their government, as stipulated in their constitution.
10. Libya
Libyan government grants free and compulsory primary education to all citizens of the country. This is possible, due to the increase in the country’s revenue, through the availability of many deposits of oil in the country. The literacy level of Libya is estimated to be 82.6% and is considered to be among the countries with the best education system. There are other countries with a sound educational system but the ones contained in this list are considered to be the best top 10.
Wakenya hawawezi kutofautisha Mwarabu na Muhindi na Muajemi! Kwa mfano wanadai Bakhresa ni muarabu wakati ana asili ya Balochi yaani Pakistan origin! Wakati Dewji Gujarat!
Afrika kusini walikua na bado Wana uchumi mkubwa, lakini 85% ya uchumi wao inamilikiwa na 15% ya population, jambo linalokifanya chama cha ANC kinapoteza uungwaji mkono siku baada ya siku na EFF kupata kuungwa mkono.
Ninyi wakenya ambapo 62% ya uchumi wenu upon mikononi mwa watu 6000 pekee, bado mnasema "capitalism" imewasaidia, unalozungumza Hilo bila aibu wakati wakenya wanaandamana barabarani kudai Bei ya unga ipunguzwe ili waweze kumudu chakula, huo ndio utajiri ulioletwa na ubepari?.
Ona Sasa unadai kwamba mtu mmoja tu ndiye anayesababisha Rostam Aziz kizuiliwa kufungua kiwanda cha gesi ambacho kingesaidia kupunguza gharama za maisha kwa wakenya wengi na kuwapa ajira wakenya, bado upo hapa ukisifia ubepari, hivi kweli akili zenu ni timamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.