Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitaeleweka tu we mwache, mm huwa ni mbishi kupima kaka, ila sasa nmepima kazi kwake kama alikuwa anatania sasa mm nmefanya kweli. Ila mwanangu kuna machaka nmepita recently co poa kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuweke aerial view ya hayo mazingira tuone nani ataibika[emoji1787][emoji1787]
Aerial view ya victoria unataka kusema iko kama hii 😂
downloadfile(3).jpg
 
Yah haiwezi kupotea ndani ya miaka kumi ila baada ya miaka 100 au 150 je wazungmzaji watakuwa wengi kama sasa iwapo kingereza kikitumika mashuleni kufundishia
Rwanda wanaongea kinyarwanda, kifaransa na sasa kingereza. SA wanaongea kingereza na kizuru, Uganda wanaongea kiganda na kingereza wakiona kingereza unakijua wanakuteta kwa kiganda usisahau hilo mkuu.
 
Rwanda wanaongea kinyarwanda, kifaransa na sasa kingereza. SA wanaongea kingereza na kizuru, Uganda wanaongea kiganda na kingereza wakiona kingereza unakijua wanakuteta kwa kiganda usisahau hilo mkuu.

SA wanaongea: English, Afrikaans, Zulu, Xhosa, Sotho, Pedi, Tswana, Shangani, Venda.

Zote hizo ni official languages mkuu.
 
Mkuu sijajipima nimepimwa na Dr, unaposema pipette unamaanisha ile tube yake yenye maji ambayo unaweka baada ya kuweka damu au unamaanisha nn?
Baada ya kukutoboa na priker then ndio anachukua nayo damu apo alipotoboa ndio aiweke kwenye iyo test kit..yale maji anayoweka baada ya kuweka damu kwenye kipimo yanaitwa buffer
 
Back
Top Bottom