Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utekelazaji wa Budget ni mipango na ilani ya CCM siku zote!
Kwahiyo ilani siku hizi inasomwa bungeni?

Screenshot_20220725-171314.png
 
Specificity ya tatizo sio kazi yangu, ni kazi ya serikali kuchunguza. Still, I’ll break it down for you. Mfumo wa elimu wa Tanzania Una changamoto nyingi, na tafadhali, sikuwahi kulinganisha mfumo wa elimu wa Tanzania na ule wa Kenya. Usiweke maneno kunywani mwangu!

Mahitaji ya kielimu ya nchi moja ni tofauti na nchi nyingine.
Labda tuanze na elimu ya msingi. Lugha ya ufundishaji kwenye shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali ni Kiswahili. Na lengo kuu ni kuwasaidia watoto wajifunze lugha ya asili ya nchi yao toka wakiwa na umri mdogo.

Lakini wakifika sekondari, language of instruction imabadilika. All of a sudden, wanatakiwa wazungumze kiingereza, bila kuwa na foundation ya kutosha ya lugha hiyo. Unakuta kuna campaign za “Speak English” na wanafunzi unakuta wanachapwa viboko wakiongea Kiswahili. Hii hasira uliyonayo juu ya watu wanazungumza kiingereza kama mimi imetokana na ukatili uliofanyiwa shuleni.

Transition ya kutoka kusoma kila soma Kwa Kiswahili kwenda Kiingereza inamfanya mtoto ashindwe ku-adapt haraka. Unakuta masomo yanakuwa magumu Kwasababu ya language barrier. Wale wanaoonyesha bidii unakuta wanasoma kwa kukariri, Kwa hiyo passion ya masomo unakuta haipo.

Effects za madiliko ya lugha zinaenda mpaka wanafunzi wanapofika chuo. Pia hao wanafunzi waliopitia mfumo huu wanaenda kusoma ualimu na wanarudi mashuleni kufundisha wakiwa na mapungufu makubwa ya kilugha.

Unfortunately, Kiswahili si lugha ya kitaaluma, especially taaluma ya juu. Tumeweza kutengeneza curricula za Kiswahili kuwafundisha watoto wa shule za msingi lakini hatukufanikiwa kufanya hivyo hivyo kwenye ngazi za juu zaidi za elimu. Inabidi tuchague moja. Kiswahili ama Kiingereza kuwa lugha ya elimu yetu. Lugha ni fursa. Wafaransa, wakorea, Wachina, Warusi nk. Wanaendesha uchumi wa nchi zao Kwa lugha zao wenyewe. Lakini mfumo tulionao sisi hausaidii.
Kwa hili kidogo tupo pamoja tunafaa tuchague lugha moja ya kufundishia ambayo ni kiswahili, kingereza kibaki kama lugha ya ziada tuu hili suala huwa najiuliza kila siku kwani viongozi wetu hawalioni hili au nn tatizo
 
Nikizungumza kuhusu urban planning kila siku huwa nina shauku sana kwasababu inaweza kuongeza economic opportunities na kuleta job creation.

Kwa mfano, Mwanza ninapapenda sana kwasababu ya location yake. Hatuwezi kuiruhusu Kigali kuchukua spotlight na Mwanza ikiwepo.

Nimekuta hii design idea ya Mwanza harbor somewhere online. I’m not sure whether or not it’s official, but I still think it needs a lot of revisions.
9B4194BA-D84D-4A2C-BE66-8A259A226B25.jpeg

Waterfront design ni muhimu kukuza urban tourism. Lake Victoria is beautiful. Pia kuna Saanane national park nearby and Bismarck rock. Picture green spaces, entertainment centers, retail, homes etc interconnected. Cable cars moving people to the island national park daily etc.

Mfano ni Oslo, Norway. Layout ya waterfront design yao sio tofauti sana na Mwanza. Hata landscape ya mji wao ni kama ya Mwanza Kwa kiasi kikubwa. Lakini toka mwaka 2000 wamekuwa wakitekeleza phases za prominade design ya mji wao.

Wamejenga office buildings, apartments, hotels, restaurants, bars, malls, green areas etc. imagine how many jobs have been created as a result! We can do the same.

Oslo, Norway

Rendering
EBD6990E-C443-4603-958E-814CE9FB2173.jpeg
5E7D7FBA-6A8C-4D49-A633-952914908F59.jpeg
5992A9E6-BDF2-4F91-8911-A37530A0CAD5.jpeg
D8AB01A4-A450-407B-8B82-C0AE7AED992F.jpeg

Actual progress
D11EE77F-6B62-4224-8877-C26FFC289D4D.jpeg
8B1336CC-4F48-4A90-8B84-2D1B80963A8A.jpeg
A18E9882-E801-4658-8D6D-5463E5EB4CB1.jpeg
E71B02B3-0A61-4A22-8820-8D231E72CDBB.jpeg
 
Sama boy 255 jinsi unavyo-behave Ndio serikali ya CCM siku zote ilivyo. Nasubiri neno lako kuhusu tatizo la elimu ambalo ulikuwa unataka niwe specific.
 
Nikizungumza kuhusu urban planning kila siku huwa nina shauku sana kwasababu inaweza kuongeza economic opportunities na kuleta job creation.

Kwa mfano, Mwanza ninapapenda sana kwasababu ya location yake. Hatuwezi kuiruhusu Kigali kuchukua spotlight na Mwanza ikiwepo.

Nimekuta hii design idea ya Mwanza harbor somewhere online. I’m not sure whether or not it’s official, but I still think it needs a lot of revisions.
View attachment 2303564

Waterfront design ni muhimu kukuza urban tourism. Lake Victoria is beautiful. Pia kuna Saanane national park nearby and Bismarck rock. Picture green spaces, entertainment centers, retail, homes etc interconnected. Cable cars moving people to the island national park daily etc.

Mfano ni Oslo, Norway. Layout ya waterfront design yao sio tofauti sana na Mwanza. Hata landscape ya mji wao ni kama ya Mwanza Kwa kiasi kikubwa. Lakini toka mwaka 2000 wamekuwa wakitekeleza phases za prominade design ya mji wao.

Wamejenga office buildings, apartments, hotels, restaurants, bars, malls, green areas etc. imagine how many jobs have been created as a result! We can do the same.

Oslo, Norway

Rendering
View attachment 2303565View attachment 2303566View attachment 2303567View attachment 2303568

Actual progress
View attachment 2303577View attachment 2303578View attachment 2303580View attachment 2303579
Hii ilikua nzuri by the way, lakini ingekua possible kama tungeendelea na Mwamba mtu mwenye uthubutu, haya maneno maneno ya mama sidhani
 
Hii ilikua nzuri by the way, lakini ingekua possible kama tungeendelea na Mwamba mtu mwenye uthubutu, haya maneno maneno ya mama sidhani
Vision kama hizi zinaanza kwenye local governments. City council wakianza ku-draft ideas kama hizi, financing inatoka mamlaka ya juu. Unadhani Rais anawaza kuhusu kutengeneza prominade Mwanza? Tunachagua viongozi wa mikoa na wilaya wafanye nini? Hii Ndio kazi yao.
 
Hii ndio shida ya local government Tz, since kiongozi huteuliwa tu basi wao wapo busy tu kutoka vitambi they are not productive, honestly hili suala linaniumizaga sana
 
Back
Top Bottom