Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,416
- 17,734
Show me other ships...,
Utazikuta humu kwenye forums kama bado hawajaweka, wataweka, soon!
Show me other ships...,
Kubwa na nzuri kuliko render mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mbona shipyard imekaa kijuakali sana, hata cabros wameshindwa kutandaza. How sure are we hilo meli pia sio juakali.
Ya Magufuli hiyo mwanangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hili you've done well, hongera!., is the ship being built private or ya govt?
View attachment 2303348
Eti kameweka kabisa na ushahidi kwamba Mkapa na Kikwete waliwahi kusoma Kenya, kajamaa kanaumizwa sn na jina la Tanzania kana wish ingekuwa Kunyaland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ziwa Tanganyika hajajenga meli! msema kweli mpenzi wa Mungu!Kazi ya Magufuli hiyo, Maziwa yote Tanzania alijenga Meli.
RIP Magu, gone too soon!
👍wenzako hawapendi ukweli.,Ziwa Tanganyika hajajenga meli! msema kweli mpenzi wa Mungu!
Hiyo hapo mwanangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji3071]Show me other ships...,
Umenikumbusha Mv Nyerere😭😭😭Kubwa na nzuri kuliko render mwanangu [emoji8][emoji8][emoji7][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2303364View attachment 2303366View attachment 2303367View attachment 2303368
Ziwa Tanganyika hajajenga meli! msema kweli mpenzi wa Mungu!
Ndiyo meli gani hiyo?Umenikumbusha Mv Nyerere[emoji24][emoji24][emoji24]
Five years only ilitosha kuhamisha milima.Aliishi kama raisi miaka 5 tu kumbuka, Tanzania imezungukwa na maziwa mengi hata Ziwa Nyasa kama sikosei walijenga Meli, Ziwa Tanganyika kuna Meli tayari Liemba lkn kama angekuwa hai wangepata nyingine pia, hata daraja la Wami aliacha linajengwa.
RIP Magu!
Kwani ww hupendi ukweli ama??😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 unajua maana ya neno "tembo mweupe?"., Tatu ikiue white elephant! I guess haujui una andika nini., najua umeshangaa investments zilizo mwagika pale, over 70 companies already!! not a joke! Najua ni uchungu kwenu lakini vumilieni watani, ni mengi yanakuja, zoea mapema😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama huijui basi wewe si mtanzania.Ndiyo meli gani hiyo?
Mutanipiga basi ngoja nikimbie basi😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️ Ila ukweli ni huo huo hautabadilika mark my wordsWorst thing about those stupid Kenyans commenting there is that they don't know Tatu city is a private city and therefore it is not budgeted for by the government. Halafu ichoboy01 anashangilia hizo comments za kijinga. Tatu city ni mali ya watu binafsi sio mali ya serikali. Hakuna pesa ya budget ya Kenya ambayo inakwenda Tatu city.
Wacha kupotosha Liemba ipo zaidi ya miaka miwili ime-park inaota kutu huku ahadi za kuikarabati zikiendelea kuimbwa! Ati kajenga Liemba labda si Liemba ya Kigoma! hakufanya kitu Lake Tanganyika kwenye vyombo vya maji! MT Sangara ukarabati umeanza January!Aliishi kama raisi miaka 5 tu kumbuka, Tanzania imezungukwa na maziwa mengi hata Ziwa Nyasa kama sikosei walijenga Meli, Ziwa Tanganyika kuna Meli tayari Liemba lkn kama angekuwa hai wangepata nyingine pia, hata daraja la Wami aliacha linajengwa.
RIP Magu!
mimi sio wewe na The best 007 , ukiongezea yule dogo muoga, ukweli muhimu 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwani ww hupendi ukweli ama??😂😂😂
Kwani wewe ni kipofu kutoona craddles za kunyanyua meli upande wa kushoto! Hii ya South Korea ina kila kitu maana inajenga mpaka ships za +400 m! What i wanted to tell u is that Mombasa shipyard haiwezi jenga meli ya size ya Mv Mwanza kwa vile ya height restriction! Na hata hivyo vyumba vinavyokuwa added juu vingeingizwa vipi na kuwa placed on top kwa shipyard ya Mombasa? Huna idea ya engineering kabisa upumbavu umekujaa!Hii 👇shipyard sio kienyeji kama hiyo yenu yenye meli inajengwa juu ya ardhi kimandazi mandazi, my point was not about roof or no roof..,
View attachment 2303377
Ok tuoneshe meli iliyojengwa hapo.Hii [emoji116]shipyard sio kienyeji kama hiyo yenu yenye meli inajengwa juu ya ardhi kimandazi mandazi, my point was not about roof or no roof..,
View attachment 2303377
Wacha kupotosha Liemba ipo zaidi ya miaka miwili ime-park inaota kutu huku ahadi za kuikarabati zikiendelea kuimbwa! Ati kajenga Liemba labda si Liemba ya Kigoma! hakufanya kitu Lake Tanganyika kwenye vyombo vya maji! MT Sangara ukarabati umeanza January!