Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alishapitisha kwenye budget ujenzi wa meli kubwa ya mizigo ziwa Victoria na Tanganyika ila mama yako ndio incompetent, mbona hujiulizi hata viwanja vya michezo Dodoma mpaka leo ni kama mradi umekufa?




Budget Tanzania hupitishwa mwezi wa nane sasa hiyo ya Mei sijui umetoa wapi?
 
Tony254 mfumo wa elimu kenya una kitu gani extra quality ambacho kwa kitu hicho basi unafkiri mko na mfumo mzuri wa elimu than ours, Kwasababu for what I know hakuna kitabu cha chemistry, physics, biology, commerce, book-keeping or even history kilichotungwa Kenya hapo, heb eleza hapa ni what makes you think mko na mfumo bora wa elimu kuliko sisi.? Au na wewe ni wale wazee wa English as Language of instructions from primary level of education.? Ndio ubora wa mfumo wa elimu.?
a pro-socialism this one..👆🏽

but if you only knew tht if tz embrace english as the medium of instruction from kindergarten upto phd. tz would do better than it does rghtnw. kenya in woeing untold number of foreign investors, and the only reason for tht, being because kenya has a huge pool of learned and skilled energetic youth who can speak standard Queen's English very well.. and thts the only reason for these investors to come and not even because of things like cost of energy, water etc. ask why CGTN and Facebook(Meta) chose kenya over many other countries
 
🤣🤣🤣 Hizi andika za wajua kiingereza humu ndani ni ujinga tu, kwa mfano we bwana Walker255 nimeona ukiongea kwamba tubadili mfumo wa elimu, lakini sijaona ukipendekeza ni kwenye eneo gani tubadili mfumo wetu wa elimu ambao labda utaonekana kuwa bora kama mfumo wa elimu wa kenya (inavyosemekana Ina mfumo mzuri wa elimu) 🤣🤣 au nyie ndio wale wa English iwe language of instructions kuanzia elimu ya msingi.? Leta hoja, usilalame tu ..
Specificity ya tatizo sio kazi yangu, ni kazi ya serikali kuchunguza. Still, I’ll break it down for you. Mfumo wa elimu wa Tanzania Una changamoto nyingi, na tafadhali, sikuwahi kulinganisha mfumo wa elimu wa Tanzania na ule wa Kenya. Usiweke maneno kunywani mwangu!

Mahitaji ya kielimu ya nchi moja ni tofauti na nchi nyingine.
Labda tuanze na elimu ya msingi. Lugha ya ufundishaji kwenye shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali ni Kiswahili. Na lengo kuu ni kuwasaidia watoto wajifunze lugha ya asili ya nchi yao toka wakiwa na umri mdogo.

Lakini wakifika sekondari, language of instruction imabadilika. All of a sudden, wanatakiwa wazungumze kiingereza, bila kuwa na foundation ya kutosha ya lugha hiyo. Unakuta kuna campaign za “Speak English” na wanafunzi unakuta wanachapwa viboko wakiongea Kiswahili. Hii hasira uliyonayo juu ya watu wanazungumza kiingereza kama mimi imetokana na ukatili uliofanyiwa shuleni.

Transition ya kutoka kusoma kila soma Kwa Kiswahili kwenda Kiingereza inamfanya mtoto ashindwe ku-adapt haraka. Unakuta masomo yanakuwa magumu Kwasababu ya language barrier. Wale wanaoonyesha bidii unakuta wanasoma kwa kukariri, Kwa hiyo passion ya masomo unakuta haipo.

Effects za madiliko ya lugha zinaenda mpaka wanafunzi wanapofika chuo. Pia hao wanafunzi waliopitia mfumo huu wanaenda kusoma ualimu na wanarudi mashuleni kufundisha wakiwa na mapungufu makubwa ya kilugha.

Unfortunately, Kiswahili si lugha ya kitaaluma, especially taaluma ya juu. Tumeweza kutengeneza curricula za Kiswahili kuwafundisha watoto wa shule za msingi lakini hatukufanikiwa kufanya hivyo hivyo kwenye ngazi za juu zaidi za elimu. Inabidi tuchague moja. Kiswahili ama Kiingereza kuwa lugha ya elimu yetu. Lugha ni fursa. Wafaransa, wakorea, Wachina, Warusi nk. Wanaendesha uchumi wa nchi zao Kwa lugha zao wenyewe. Lakini mfumo tulionao sisi hausaidii.
 
Aliyaahidi zaidi ya hayo na aliyaingiza kwenye ilani ya 2020/25 ni kwamba hujui budget hutengenezwa kutoka kwenye ilani au unajitoa ufahamu?


Ahadi na kupitishwa kwa budget ni vitu viwili tofauti! For that case Magufuli alihaidi mama akapitisha kwenye budget 2021-22!
 
Leta evidence JPM alitoa fedha zote za Mv Mwanza! Mimi nam-support mama kwa kutoa fedha na kuendleza ujenzi! HUyo JPM wako ni controversial kama kawa!
Mama kaikuta miradi hii na yeye amekiri alipoenda kuchukua tuzo kule Ghana ya Miundombinu.

Alikiri kuwa tuzo ile anayestahili ni Magufuli na kutamka wazi wazi kuwa, Magufuli ndio Baba wa miundombinu Tanzania.

Punguza chuki.
 
Kazi ya Magufuli hiyo, Maziwa yote Tanzania alijenga Meli.

RIP Magu, gone too soon!
Alikuwa na maono maziwa yote yawe na meli. Sasaiz hayupo, aliepo ndo anatakiwa kukamilisha hayo maono. Achana na propaganda nyingine

Ngoja nilete receipt. May 4 2020
20220725_161933.jpg
 
Alikuwa na maono maziwa yote yawe na meli. Sasaiz hayupo, aliepo ndo anatakiwa kukamilisha hayo maono. Achana na propaganda nyingine

Ngoja nilete receipt. May 4 2020
View attachment 2303448
kwahiyo umeamua kwenda kuni-quote kabisaa! anyway inabaki maono maana ukarabati wa MT Sangara Samia ndo kaanzisha mradi!🤣 🤣
 
Typo mkuu [emoji28]

Ngoja nikupe shule kuhusu locomotives. Diesel locomotives kama hizo hapo kwenu zinatumia electric traction motors same with electric locomotives. The only difference is the sourcr of electricity for diesel locomotives ni diesel engine inazungusha electric generator ambayo inafua umeme wa kuendesha electric motors. But for electric locomotives ina chukua umeme directly from national grid.
heb saa nikulizee... kulingana na jinsi umeeleza, hivi basi kusema kenyan sgr can eazy be upgraded to use the overhead fixed lines anytime. na kwamba, it only depends on the gov't to decide when. is tht true..
 
Typo mkuu [emoji28]

Ngoja nikupe shule kuhusu locomotives. Diesel locomotives kama hizo hapo kwenu zinatumia electric traction motors same with electric locomotives. The only difference is the sourcr of electricity for diesel locomotives ni diesel engine inazungusha electric generator ambayo inafua umeme wa kuendesha electric motors. But for electric locomotives ina chukua umeme directly from national grid.
unataka kuniambia ata Cargo Locomotive iliyo connectiwa directly na port, inatumia pia umeme, ama desel combusted vacuumed pistons tht drive the crankshaft. coz hapa ndo nadhania horsepower yote ya kubeba mizigo uliopo
 
Back
Top Bottom