Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Capitalism has its negative sides. Capitalism has worked for Kenya better than Socialism has worked for Tanzania. That is why Tanzania, China and Russia abandoned socialism and run to capitalism.

If that’s what you believe then I let you be.
 
🤣🤣🤣 Hizi andika za wajua kiingereza humu ndani ni ujinga tu, kwa mfano we bwana Walker255 nimeona ukiongea kwamba tubadili mfumo wa elimu, lakini sijaona ukipendekeza ni kwenye eneo gani tubadili mfumo wetu wa elimu ambao labda utaonekana kuwa bora kama mfumo wa elimu wa kenya (inavyosemekana Ina mfumo mzuri wa elimu) 🤣🤣 au nyie ndio wale wa English iwe language of instructions kuanzia elimu ya msingi.? Leta hoja, usilalame tu ..
 
Tony254 mfumo wa elimu kenya una kitu gani extra quality ambacho kwa kitu hicho basi unafkiri mko na mfumo mzuri wa elimu than ours, Kwasababu for what I know hakuna kitabu cha chemistry, physics, biology, commerce, book-keeping or even history kilichotungwa Kenya hapo, heb eleza hapa ni what makes you think mko na mfumo bora wa elimu kuliko sisi.? Au na wewe ni wale wazee wa English as Language of instructions from primary level of education.? Ndio ubora wa mfumo wa elimu.?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizi andika za wajua kiingereza humu ndani ni ujinga tu, kwa mfano we bwana Walker255 nimeona ukiongea kwamba tubadili mfumo wa elimu, lakini sijaona ukipendekeza ni kwenye eneo gani tubadili mfumo wetu wa elimu ambao labda utaonekana kuwa bora kama mfumo wa elimu wa kenya (inavyosemekana Ina mfumo mzuri wa elimu) [emoji1787][emoji1787] au nyie ndio wale wa English iwe language of instructions kuanzia elimu ya msingi.? Leta hoja, usilalame tu ..

Waoumbavu Hawa, of all the successful countries ndio tujifunze kwa nchi fukara kama Kunya ?
 
Tony254 mfumo wa elimu kenya una kitu gani extra quality ambacho kwa kitu hicho basi unafkiri mko na mfumo mzuri wa elimu than ours, Kwasababu for what I know hakuna kitabu cha chemistry, physics, biology, commerce, book-keeping or even history kilichotungwa Kenya hapo, heb eleza hapa ni what makes you think mko na mfumo bora wa elimu kuliko sisi.? Au na wewe ni wale wazee wa English as Language of instructions from primary level of education.? Ndio ubora wa mfumo wa elimu.?
Mimi sijazungumza kuhusu mfumo wa elimu. Mimi nimezungumza kuhusu mifumo ya uchumi. Nimesema kwamba ujamaa uliwarudisha nyuma sana.
 
IMG_0371.jpg
 
Mm tatu nimeisikia toka niko o level mpaka leo na sio kitu imefanyika 😂😂😂 zaidi ya white elephant

😂 😂 😂 😂 😂 😂 unajua maana ya neno "tembo mweupe?"., Tatu ikiue white elephant! I guess haujui una andika nini., najua umeshangaa investments zilizo mwagika pale, over 70 companies already!! not a joke! Najua ni uchungu kwenu lakini vumilieni watani, ni mengi yanakuja, zoea mapema😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Worst thing about those stupid Kenyans commenting there is that they don't know Tatu city is a private city and therefore it is not budgeted for by the government. Halafu ichoboy01 anashangilia hizo comments za kijinga. Tatu city ni mali ya watu binafsi sio mali ya serikali. Hakuna pesa ya budget ya Kenya ambayo inakwenda Tatu city.
 
Tony254 mfumo wa elimu kenya una kitu gani extra quality ambacho kwa kitu hicho basi unafkiri mko na mfumo mzuri wa elimu than ours, Kwasababu for what I know hakuna kitabu cha chemistry, physics, biology, commerce, book-keeping or even history kilichotungwa Kenya hapo, heb eleza hapa ni what makes you think mko na mfumo bora wa elimu kuliko sisi.? Au na wewe ni wale wazee wa English as Language of instructions from primary level of education.? Ndio ubora wa mfumo wa elimu.?
Pedestrian reasoning hii👆😂😂😂😂, eti kitabu kutungwa nchi husika!😂😂😂, having a better educational system has got nothing to do with kutungwa kwa kitabu per'se, though kuna vitabu vingi vya different subjects written by Kenyan scholars, from research methods to mathematics, etc. na hilo sio hoja, lakini hizi fikra zako unaziokotaga wapi?😂😂😂😂😂., unanichekesha asubuhi, yaani your arguments ni kujaribu kutetea Tanzania ionekane iko sawa ata kama sivyo kiukweli, u hardly base your points on reality and facts, unajitoa ufahamu tu wazi wazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Worst thing about those stupid Kenyans commenting there is that they don't know Tatu city is a private city and therefore it is not budgeted for by the government. Halafu ichoboy01 anashangilia hizo comments za kijinga. Tatu city ni mali ya watu binafsi sio mali ya serikali. Hakuna pesa ya budget ya Kenya ambayo inakwenda Tatu city.
Exactly, Tatu city is capitalism on display.,
 
Even when I post here reports of how Kenyans living abroad send a lot of money back home in form of remittances, I see Tanzanians saying that we are slaves of the West.
Personally I don't have issues with few individuals living abroad but when a country is losing a boat load of young people, that's a problem.
This ujamaa attitude is really the main problem. Until you people reduce your hatred for the West,
Where did you get this idea that we hate the west? It's the unfair policies against poor countries, that's the issue.

1985, the price of tea was $0.64 per pound (weight), Tanzania needed some foreign cash, so the government went on to double production of tea. Few months later, the west who determines the price of tea, lowered it to $0.32 per pound while the price of fertilizers from the west remained the same. If you think that's okay, something is wrong with you.
Dar es Salam will always play second fiddle to Nairobi.
We have BRT, you don't, who is playing catch up.
China also hated the West but after Mao zedong died, the new leader Deng Xiaoping embraced the West and China is now trading with the West.
China has always had relationship with the west since 1800s (good or bad). Ever heard of California gold rush?
A lot of Chinese students are now studying in US universities.
I once asked a Japanese student, why they go to study in the US when they have good universities in Japan? She told me that America is their biggest competitor, they go to learn how they do business. I suspect now the Chinese are doing the same.
Even Russia embraced the West after the fall of the Soviet Union in 1991 and started selling oil and gas to the West.
It's a two way street bro, demand vs Supply.
But Tanzania still maintains its extreme hatred against the West. Punguzeni ujamaa attitude, inawaumiza kiuchumi sana.
No hate... we're unhappy with the neocon.
 
Personally I don't have issues with few individuals living abroad but when a country is losing a boat load of young people, that's a problem.

Where did you get this idea that we hate the west? It's the unfair policies against poor countries, that's the issues.

1985, the price of tea was $0.64 per pound (weight), Tanzania needed some foreign cash, so the government went on to double production of tea. Few months later, the west who determines the price of the tea, lowered it to $0.32 per pound while the price of fertilizers from the west remained the same. If you think that's okay, something is wrong with you.

We have BRT, you don't, who is playing catch up.

China has always had relationship with the west since 1800s (good or bad). Ever heard of California gold rush?

I once asked a Japanese student, why they go to study in the US when they have good universities in Japan? She told me that America is their biggest competitor, they go to learn how they do business. I suspect now the Chinese do the same.

It's a two way street bro, demand vs Supply.

No hate, just unhappy with the neocon agenda.
Hata kama mna sababu nzuri ya kuwachukia wazungu, the fact that mnawachukia wazungu is the reason why they will continue investing in other African countries that embrace them and tolerate them. Usitegemee mzungu kuset up headquarters zake Tanzania ukizingatia historia yenu ndefu ya kuwapinga na kuwadhihaki na kuwakejeli. Hata kama waliwafanyia figisu kwenye majani chai, wasamehe na msonge mbele. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

Wachina walifanyiwa figisu na bado wanafanya biashara nao. Japan walipigwa nuclear bomb mbili na bado ni best friends na Marekani. Wacheni kuwa na akili mgando na victim mentality eti mlinyanyaswa na wazungu. Hapa Kenya wazungu waliuwa zaidi ya 50,000 Kenyans wakati wa vita vya uhuru vya Mau Mau na bado tunaendelea na uhusiano nao.
 
Capitalism has its negative sides. Capitalism has worked for Kenya better than Socialism has worked for Tanzania. That is why Tanzania, China and Russia abandoned socialism and run to capitalism.
At the core, none of these countries have abandoned socialism, they just evolved with time. You don't believe me? Who do you think controls the energy sector in their respective countries? Tanzania (Tanesco), China (PetroChina) and Russia (Gazprom)... you bet, private enterprise 😆
Hata kama mna sababu nzuri ya kuwachukia wazungu, the fact that mnawachukia wazungu is the reason why they will continue investing in other African countries that embrace them and tolerate them. Usitegemee mzungu kuset up headquarters zake Tanzania ukizingatia historia yenu ndefu ya kuwapinga na kuwadhihaki na kuwakejeli. Hata kama waliwafanyia figisu kwenye majani chai, wasamehe na msonge mbele. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
Kaka, hatuna chuki na mtu. Na haya mambo ya kiunyonyaji yanaendelea mpaka leo. Kila tukitaka kujikomboa wanatuwekea kauzibe. Unakumbuka kelele za mazingira tulipokuwa tunataka kujenga bwawa? Unakumbuka walipotunyima mkopo tulipoomba kujenga reli ya SGR?
 
Back
Top Bottom