Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila watanganyika mna roho chafu sana. eti hivi ndo mtashauri wakenya!.. ona mwenyezi mungu suup ana ametuonekania sasa.. ssahivi unga 2kg ni soo moja tu!

ushauri wa mtanganyika
Screenshot_20220718-164835_Gallery.jpg
 
ila eatanganyika mna roho chafi sana. eti hivi ndo mtashauri wakenya!.. ona mwenyezi mungu suupana ametuonekania.. sasahivi unga 2kg ni soo moja tu!

ushauri wamtanganyikaView attachment 2295553
Sisi huku Tz tunakula kisinia?unakijua kisinia wewe?naona nyie Monday to monday mnazungumzia unga lol [emoji38]
IMG-20220613-WA0001.jpg
 
Sisi huku Tz tunakula kisinia?unakijua kisinia wewe?naona nyie Monday to monday mnazungumzia unga lol [emoji38] View attachment 2295558
kutumia siniia huwaga inaniboo... kwanza kwa klabu mki order say 2kg wet fry. shida kuna kungangania sana. hauwezi kula kwa ustarabu. atakupokea simu hauwezi 4😆😆😇😆😆😆, . siniia hio wachia waislamu na iddi zao. mm nipakulie kwa sahani yangu jalali
 
kutumia sinia huwaga inaniboo... kwanza kwa klubu mki order say 2kg wet fry. shida kuna kungangania sana. hauwezi kula kwa ustarabu. atakupokea simu hauwezi 4😆😆😇😆😆😆, . sinia hio wachia waislamu na iddi zao. mm nipakulie kwa sahani yangu jalali
sasa kama truck la soda likipinduka ni vita huko Kunyaland? Si usahau kuhusu ustaarabu wa kula kwenye sinia!
 
kutumia sinia huwaga inaniboo... kwanza kwa klubu mki order say 2kg wet fry. shida kuna kungangania sana. hauwezi kula kwa ustarabu. atakupokea simu hauwezi 4[emoji38][emoji38][emoji56][emoji38][emoji38][emoji38], . sinia hio wachia waislamu na iddi zao. mm nipakulie kwa sahani yangu jalali
Haha mnakula cha hamu tu we huoni ilo mixer lilivyokaa kimtego...mboga nyingi kuliko chakula[emoji3][emoji3][emoji3] ,my point is Tz tunakula na kusaza mana tunalima,nyie hadi unga mnawekewa ruzuku?SMH
 
Mkuu ilo eneo liko hot vibaya mno, Ukiacha na nyumba za milimani sehemu tambarare nyingi zimepimwa mza, wale maskini wasiojiweza ndio hukimbilia Mlimani. Changamoto kubwa ni barabara.

Hizi ni baadhi ya nyumba kwenye hilo eneo la Nyamhongolo
View attachment 2295250
HAkuna LAÀMI!
UMASKINJ NI MBAYA SANA
najua ata hakuna sewage system,ni kuchimba ma Septic tank tu!!!
 
At least weren't living in hell like you 😅😅😅😅

Uishi hivi bado na uhakika wa chakula ni 0% mpaka serikali ikakope kukusaidia kumudu bei ya unga 😅😅😅😅

View attachment 2295519View attachment 2295520View attachment 2295521View attachment 2295522View attachment 2295523View attachment 2295524View attachment 2295526View attachment 2295527View attachment 2295529View attachment 2295530
Ufukara, ujinga, wivu, roho mbaya na uchawi vinakusumbua, utapona ba mzee, ukweli unabakia pale pale.., mko hovyo, kalilie kwa choo, maumivu yakizidi jinyonge😜😂💪🔥🔥😂😂
 
Back
Top Bottom