Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Toll booth barricaded😎
Hii ni zaidi ya jomo Kenyatta intranational airportA dream of the whole of Kenya
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli wewe kitobwa sio kwa viloja hivyoNi kweli mkuu porojo zimekuwa nyingi kuliko vitendo.
Siku tukipata akili tutaelewa kwanini wenzetu wa kenya wanawekwa kuwa ni second world while Tanzania ni third world, unazani hawakuona maghorofa ya kariakoo
Tanzania kuna porojo nyingi kuliko vitendo siku viongozi wakipata uzalendo na uchungu kwa wananchi wao tutatoka huku tulipo na kuanza kutumia rasilimali zetu vizuri kwa maendeleo ya taifa letu.
CC: Tony254
Wewe ni wivu ndio unakusumbua sio lingine. Vijijini kuunganisha umeme ni TSH 27,000. Magufuli aliweka hiyo Bei na mama bado hajaitengua, mijini ndio ni 300,000. Tony punguza wivu kidogoSasa mbona huyu mwongo kwa jina joto la jiwe anatudanganya kwamba bei ya kuconnect umeme ni Tsh 30,000 kumbe ni Tsh 300,000. Kwa kila maneno 100 ya Joto la jiwe chukua sufuri.




Demand itasukuma waweke fedha, watu/ magari ni mengi sana njia hiyo kuelekea Mbezi luisbarabara ya kifuru -pugu-chanika inakumbukwa kweli au ndio imebaki kwenye makaratasi?
This is the right decision. Mang'ombe ambazo zina overspeed zigonge chuma zikufe zenyewe. No need to kill innocent attendants.
Beki wao bora kabisa wa the so called their best team anaenda Namungo sasa wanalia nn? Kwa sasa timu za bongo zimeanza kugombania wachezaji na kina Al ahly, Mamelody, Berkane etc.Nimesoma comments jamaa wanalalamika kama watoto wakambo. Wanatulalamikia kila kitu
![]()
Angalia usajili tunaofanya kwa ss ni motoAston Villa huwa inanyorosha Man Useless sio mara moja.., (hujambo The best 007 ).,


Ndani ya EAC LIGI bora ni ya Tanzania ikufuatiwa na ya Rwanda, hao wengine wanajaribu tuBeki wao bora kabisa wa the so called their best team anaenda Namungo sasa wanalia nn? Kwa sasa timu za bongo zimeanza kugombania wachezaji na kina Al ahly, Mamelody, Berkane etc.
And that is chinese first class!Yaani dude linakaribia cruising speed ya ndege la abiria (passenger jet) ambalo ni 800 km/h??
Mombasa 15 kilometers from CBD huwezi kukuta neighborhood kama hii, utakuta mapori na vichaka vya tandu na nyumba za kuti na tope 😅😅😅
Halafu Mikunya inalazimisha Mombasa iwe Mwanza
Tanzania most urbanized
View attachment 2295153View attachment 2295155
Hiyo barabara pembeni ndani ya miezi 12 ijayo itakuwa na lami na taa, yaani kama Ulaya ulayaMombasa 15 kilometers from CBD huwezi kukuta neighborhood kama hii, utakuta mapori na vichaka vya tandu na nyumba za kuti na tope 😅😅😅
Halafu Mikunya inalazimisha Mombasa iwe Mwanza
Tanzania most urbanized
View attachment 2295153View attachment 2295155
Sana tena waitengeneze ile road tena mpaka ile shortcut yake ya king'azi kutokea malamba mawili mwishoDemand itasukuma waweke fedha, watu/ magari ni mengi sana njia hiyo kuelekea Mbezi luis
Nimeshapanda mpaka mombasa kichwa kiliniuma siku nzima sababu ya kelele ya jointed rail.Sasa wewe umewai tumia SGR ya Kenya?., unapingana na haujui lolote., ata hiyo SGR haujawai kutumia.,
Yaani ni shidaHuyo eti ni mtumishi wa serikali na hajui kabisa kile kinachofanyika serikalini, Sasa watumishi wa namna hii kweli wanaweza kutuvusha?,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Elewa maana ya access kwanza wewe kilaza ndio uje hapa umwage kinyesi chako.Sasa ona ulivyo zwazwa, how do u use an example ya hospitali na stima? electricity u may need daily, ikija hospitali unaeza kaa miaka kabla haujakanyaga pale., ujinga ni laana kilaza, so kwa akili yako uchwara nyaya za stima zikipita hapo nje ya nyumba yako na hauja connect wewe utahesabiwa kama mtumizi, nyambaff![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
context ya neno accessibility hapa ni use, understand contextual use of words, inaitwa operationalization of words in a study..,
What is ndwaziWakenya wamenielewa, it's how we speak., yaani wewe ni maembe aje? ina maana wewe ni zuzu sana., ama ndwazi, yaani hovyo sana..,


