Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna

Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.
Basi Mwanza mna shida sana me siko Dar nipo kjjijini umeme upo na maji upo kuanzia miaka ya 70 hadi leo hii.Viongozi wenu ni wazembe sana. Poleni [emoji46][emoji46]
 

Mkapa arena lures five global duels

Daily News

Jul 18, 2022 11:46 AM

THE management of the Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam has assured the public that the venue is ready to host five international matches after other countries have opted to use it as their home territory.

Breaking the news recently was the stadium's manager Godwin Nsajigwa who named the countries which have requested to use the venue in their CHAN encounters as Ethiopia, South Sudan, Burundi, Somalia and Djibouti.

"For us, we are privileged to have these countries playing here but we must make sure that the condition of the arena remains in good shape so that we should not face suspension and begin to search for playing venues outside the country.
"For now, the pitch is ready to host all the upcoming international matches including the one between Somalia versus Taifa Stars on Saturday," he said.

Initially, Taifa Stars were supposed to travel to Somalia for Saturday's game but their opponents requested to use Benjamin Mkapa arena as their home ground hence the country's envoys will be the guest side on the day.
The reverse game will be played on July 30th whereby Taifa Stars are pegged to host the encounter slated at the same venue.

He further pointed out that the 60,000 capacity arena is all set to welcome the 2022/23 NBC Premier League fixtures saying they expect the season to be thrilling with many people coming up to watch matches.
"Teams have invested a lot to boost their respective squads as such next season, I hope it will be another entertaining term for football fans in the country and we are ready to accommodate them.

"We request Tanzanians who come to stadiums to watch games live that they should safeguard all the infrastructures available in the stadium in order to make them last longer and let upcoming generations to use them," he said.
Additionally, Nsajigwa said they are prepared to host three big events in early August beginning with Yanga Day, Simba Day and the Community Shield match on August 13th saying the stadium was constructed to handle such massive occasions.
He also commented positively on the prospect of having Video Assistant Referee (VAR) installed in some of the country's league hosting venues saying in modern football, VAR technology cannot be escaped.
 
Mambo yote ya umeme muwe at least mnaniuliza, pengine naweza kuleta au kuulizia data/evidence from TANESCO wenyewe/kitengo cha takwimu.. achanane na data za mtandaon za hawa wajinga akina WB .. TANESCO huwa hawatoi sana data mtandaon (hii ni either uzembe wa maadmn au waandishi wa habar kuulizauliza)
Hili jibu ndilo nilikuwa nalihitaji. Nilikuwa ninapinga data kwasababu hazina uhalisia wa mambo ninayoyaona mtaani.

Wakati mwingine tunaongea kwasababu tunajua hali halisi ilivyo kwenye mazingira tunayoishi.

Ahsante kwa jibu zuri.
 
Ndio maana hujui tofauti ya access na connection.

Mfano mzuri are health services accessible in your area? Utasema ndio kama kuna hospitali karibu ambayo unaweza kutibiwa ila haimaanishi mpaka ulazwe au uwe ndani ya hospital ndio uite hiyo ni access.

Vilevile kwa umeme ukipita mbele ya nyumba yangu inamaana nina access ya umeme either nikitaka kuunga umeme naweza hakuna kinachonizuia ama kama jirani kaweka umeme kwa nyumba yake naweza nikaenda kuchaji simu yangu hiyo ndio access.

Lakini kama hamna access maana yake umeme haujafika hapo mlipo wala hakuna huduma za afya katika eneo husika.
Sasa ona ulivyo zwazwa, how do u use an example ya hospitali na stima? electricity u may need daily, ikija hospitali unaeza kaa miaka kabla haujakanyaga pale., ujinga ni laana kilaza, so kwa akili yako uchwara nyaya za stima zikipita hapo nje ya nyumba yako na hauja connect wewe utahesabiwa kama mtumizi, nyambaff 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 context ya neno accessibility hapa ni use, understand contextual use of words, inaitwa operationalization of words in a study..,
 
Kama sio wivu unaokusumbua ni nini zaidi?, Kwahiyo wewe hutaki kuamini mawaziri na viongozi wa Tanzania, badala yake unaamini mtu ambaye hata kijijini kwao hawawezi kumchafua kuwa kiongozi wa Nyumba kumi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mombasa 15 kilometers from CBD huwezi kukuta neighborhood kama hii, utakuta mapori na vichaka vya tandu na nyumba za kuti na tope 😅😅😅

Halafu Mikunya inalazimisha Mombasa iwe Mwanza

Tanzania most urbanized

FX7uM_5XoAAaChr (1).jpg
FX7uM_9XwAAjASw.jpg
 
Pale majumba sita nyundo lazima ihusike, padogo sana kufosi fly over yakuja kuungana na G/Mboto Road. Njia mbadala wabuni sehemu nyingine kabisa ambapo hakuna Nyumba nyingi za kuvunja ili kujenga fly over yenye nafasi.

Ila pia kuna barabara ya Kifuru-Pugu-Chanika ipo kwenye mpango wa kuwekwa lami hii pia inaweza badili movement za public transport badala ya kutegemea majumba sita.
Hata gongo la Mboto , ulongini , kinyerezi unaenda hadi mbezi kuna barabara nzuri sana. Pia wamejenga daraja mto msimbazi panapitika
 
Acha kulalamika mzee magufuli hakuwa mjinga alivyoshusha gharama za kuunganisha umeme hadi 27k kwa sababu alijua watu wengi walikua hawawezi kumudu gharama za kuunganisha umeme na mpango wake ilikua watu waunganishiwe bure punde bwawa litakapokamilika ila sasa awamu mpya iliyongia ndo wamevuruga kabisa kwa kuongeza gharama na sijui kama wanampango wakushusha kwaiyo tukae kwa kutulia sindano ituingie
Kuliko kupoteza nishati ya umeme ni bora kupunguza gharama ya kuunganisha umeme . Maana mtu lazima atanunua tu umeme hamna namna . Kuwa na wateja wengi inaongeza kipato kwa shirika
 
Ndio maana hujui tofauti ya access na connection.

Mfano mzuri are health services accessible in your area? Utasema ndio kama kuna hospitali karibu ambayo unaweza kutibiwa ila haimaanishi mpaka ulazwe au uwe ndani ya hospital ndio uite hiyo ni access.

Vilevile kwa umeme ukipita mbele ya nyumba yangu inamaana nina access ya umeme either nikitaka kuunga umeme naweza hakuna kinachonizuia ama kama jirani kaweka umeme kwa nyumba yake naweza nikaenda kuchaji simu yangu hiyo ndio access.

Lakini kama hamna access maana yake umeme haujafika hapo mlipo wala hakuna huduma za afya katika eneo husika.
Exactly. Soma paragraph ya mwisho. Maana yake ni hiv.
  • 73% ya wanaoishi mjin nyumba zao zina umeme. Na
  • 24% ya wanaoishi vijijin nyumba zao zina umeme tayari. Hapa REA itaenda kupaisha hii, mana hata bei yao 27k kwa sasa ni ndogo

20220717_224059.jpg

Kwenye access to electricity, maana yake almost 100% ya mjin kote popote kuna umeme tayar, kazi iliyobaki ni mwananchi tu kuunganisha umeme. Kwa kijijin pia, 70% ya vijiji vyote vina umeme tayar, kazi iliyobaki ni wananchi wa huko vijiji kuwezeshwa kifedha kuunganishwa umeme ufike kwenye nyumba yake autumie
 
Sasa ona ulivyo zwazwa, how do u use an example ya hospitali na stima? electricity u may need daily, ikija hospitali unaeza kaa miaka kabla haujakanyaga pale., ujinga ni laana kilaza, so kwa akili yako uchwara nyaya za stima zikipita hapo nje ya nyumba yako na hauja connect wewe utahesabiwa kama mtumizi, nyambaff [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] context ya neno accessibility hapa ni use, understand contextual use of words, inaitwa operationalization of words in a study..,
Punguza upumbavu wako, wewe sema ni nchi gani duniani ambayo serikali imewaingizia umeme na maji hadi ndani kwenye Nyumba za watu binafs.

Jukumu la serikali nikufikisha maji na umeme hadi karibu na makazi ya wananchi, kisha kila mwananchi ataomba ili kuingiziwa maji na umeme Nyumbani kwake.

Kitendo cha wananchi kuweza kuzifikia huduma za kijamii kwa karibu, hiyo ni" accessibility", na kitendo cha wananchi kuwa na uwezo wa kulipia ili kuzipata hizo huduma za jamii ni ,"affordability" na kitendo cha wananchi kupenda kuzitumia hizo huduma ni" acceptability".

Hapa tunazunguamzia "accessibility" ya huduma za kijamii, Hilo ni 100% jukumu la serikali, hayo mengine ya "affordability na acceptability", kwa sehemu kubwa ni jukumu la mtu binafsi, japo ni jukumu la serikali kushusha gharama ili ziwe ni "affordabl" kwa wananchi wengi zaidi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Namungo just an insignificant team from Lindi has the guts to snatch a player from Kenyan football heavy weight I think you can figure out for yourself how big Ligi kuu bara is terms of quality, popularity, competitiveness na hela ndefu.
Kwa sasa hivi Tanzania ni gateway ya wachezaji kwenda Egypt , Morocco na south Africa . Kulikua na mghana namungo Steven sey kama nimeandika jina lake sawa sawa after one season alipata team Egypt , tena alikua namungo , yaani ligi ya bongo unapata hela plus mileage ya kuonekana . Ndio maana hata waandishi wa West Africa uwa wanakuja kuangalia mpira kwenye baadhi ya mechi
 
Back
Top Bottom