The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Wewe ndio hujanielewa. Kuna mifumo miwili inatumika hapa kuelezea ni idadi gani ya watu wamepata umeme. Dunia yote inatumia mfumo wa kuhesabu nyumba moja moja iliyounganishwa kwa umeme. Tanzania mumeamua kuja na mfumo wenu wa kichizi wa kuhesabu idadi ya vijiji vilivyounganishwa kwa umeme. Inawezekana vijiji vyote 12,000 vikawa vimeunganishwa na umeme na upate kwamba chini ya 50% ya nyumba za Tanzania zimeunganishwa kwa umeme. Hapa Kenya hatupimi kwa kutumia vijiji na nchi nyingi duniani hazitumii kigezo hicho. Nchi nyingi zinapima kwa kuzingatia idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme. Hapa Kenya nyumba 7 million zimeunganishwa kwa umeme wakati serikali yenu miaka michache iliyopita ilikiri kwamba nyumba 2.7 million pekee za Tanzania ndio zina umeme. Sahau mambo ya vijiji, tuangalie idadi ya nyumba ndani TZ zilizounganishwa kwa umeme.Yaani nilikuwa namuuliza Tony ikiwa umeme unakwenda vijijini tu pasipo kuunganishia watu lengo Lao ni lipi?
Maana yake umeme hauwezi kupita eneo pasipo kuunganishia watu.Yaani utoke DAR hadi MWANZA ,kutokea mjini hadi Magu, Simiyu, hii miji hadi vijijini ni kusimika tu nguzo pasipo watu kupata umeme.?
Tony anasema kufanya hivi ni ujinga. Akili ni ipi sasa hapa. Ninajaribu kuwaza jinsi wanavyokataa data za waliounganishiwa umeme kwamba ni asilimia 33%
Kama kote huko umepita hawaoni ni ngumu kupitisha nguzo za umeme pasipo watu kuunganishiwa?.Ushauri wangu kwa Serikali na shirika lake la TANESCO wanafanya kazi nzuri sana waendelee hivyo hivyo maana target yao ipo karibu kufikiwa hizi kelele za majirani zisiwasumbue wasubiri tu kuuziwa umeme.
Hapa CEO Masanja Kadogosa alisahau overpass?
Ipo inajengwaHapa CEO Masanja Kadogosa alisahau overpass?
Ngoja tusubirie takwimu ya mwaka mwingine nina uhakika idadi itakuwa iko juu.Wewe ndio hujanielewa. Kuna mifumo miwili inatumika hapa kuelezea ni idadi gani ya watu wamepata umeme. Dunia yote inatumia mfumo wa kuhesabu nyumba moja moja iliyounganishwa kwa umeme. Tanzania mumeamua kuja na mfumo wenu wa kichizi wa kuhesabu idadi ya vijiji vilivyounganishwa kwa umeme. Inawezekana vijiji vyote 12,000 vikawa vimeunganishwa na umeme na upate kwamba chini ya 50% ya nyumba za Tanzania zimeunganishwa kwa umeme. Hapa Kenya hatupimi kwa kutumia vijiji na nchi nyingi duniani hazitumii kigezo hicho. Nchi nyingi zinapima kwa kuzingatia idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme. Hapa Kenya nyumba 7 million zimeunganishwa kwa umeme wakati serikali yenu miaka michache iliyopita ilikiri kwamba nyumba 2.7 million pekee za Tanzania ndio zina umeme. Sahau mambo ya vijiji, tuangalie idadi ya nyumba ndani TZ zilizounganishwa kwa umeme.
Kwa mfano soma hii article inayosema kwamba Kenya power ilikuwa na 5.9 million customers in 2017. Yaani hizo ni nyumba 5.9 million zipo connected na umeme miaka mitano iliyopita. Idadi hio sasa hivi pengine imefika 7 million customers.
Cc joto la jiwe
Kenya Power confirms 5.9 Million customers connected to the grid | kplc.co.ke


Usimsikilize huyo jamaa anayeitwa joto la jiwe. Click hii link ya World Bank. World Bank inasema kwamba access to electricity in Kenya ni 71.4% wakati access to electricity in Tanzania ni 39.9%.Ngoja tusubirie takwimu ya mwaka mwingine nina uhakika idadi itakuwa iko juu.
TANESCO wako busy sana usiku na mchana wanafanya kazi ,kazi yao itakuwa haina maana kama watu hawana stima kwa nyumba zao.
Sizipingi takwimu, shida yangu ni uhalisia tu mambo yenyewe. DAR ,MWANZA,ARUSHA, TANGA, MBEYA yote ni majiji nyumba nyingi zina umeme, bado hatujaangalia mikoani, wilayani, Tarafa, Kata hadi vijiji. Hapa ndipo ninapata mashaka na hii idadi![]()
Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.Usimsikilize huyo jamaa anayeitwa joto la jiwe. Click hii link ya World Bank. World Bank inasema kwamba access to electricity in Kenya ni 71.4% wakati access to electricity in Tanzania ni 39.9%.
![]()
Sio kusahau zilikuwepo ila kuna baadhi ya overpass Magu alizipunguza ili kuokoa helaHapa CEO Masanja Kadogosa alisahau overpass?
Ni households ngapi zimeunganishwa kwa umeme?tuanzie hapoNi sawa lakini me ninakataa kwamba tuko asilimia 33.
Tishio kubwa kwa mombasa 😂😂New over water villas
Le mersen michamvi zanzibar
View attachment 2294427View attachment 2294428View attachment 2294430View attachment 2294433