Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Ni 2022 mjukuu., dadekiNakuuliza wewe, je haya majengo mliyabomoa? Na kama hamjayabomoa basi kamuongopee babaako KiberaView attachment 2292801
Ni 2022 mjukuu., dadekiNakuuliza wewe, je haya majengo mliyabomoa? Na kama hamjayabomoa basi kamuongopee babaako KiberaView attachment 2292801
Usijitie hamnazo ama kujitoa ufahamu na google opinions.., economy ya Eastleigh inashinda Kariakoo by far.., watch hizi clips kama uko na bando..,Why you should never compare Kariakoo and Sth called Eastleigh
View attachment 2292841
View attachment 2292842
Usijitie hamnazo ama kujitoa ufahamu na google opinions.., economy ya Eastleigh inashinda Kariakoo by far.., watch hizi clips kama uko na bando..,
Wazee wa picha za upande upande signature yenu inaonekana huwezi ficha. Dar picha imepigiwa mbali kuliko ya Mombasa yenye mapengo
Hii kienyeji type soko, imejaa mitumba kama Gikomba? 😂 😂 😂 😂 kwani unadhani Eastleigh inahudumia wakenya pekee.., fanya utafiti stop your blind patriotism., Kariokoo can't beat Eastleigh!Wacha upumbavu! Kariakoo inahudumia wafanyabiashara wa Comoros, Zambia, Malawi, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kunyaland yenyewe!
Huku kumekaa kama Dhaka, BangladeshEti huu ushuzi unapigwa picha ya upande upande zen unalinganishwa na jozi kamuongopee babaako co cc tunaoshinda mitandaoni. Dunia ya leo humuongopei mtu bro, haya niambie haya majengo mliyabomoa au? Na kama hamkuyabomoa kwnn mnayaficha alafu ndio mnalinganisha na jozi, mbn cc hatufichi kitu, narudia tena kamuongopee babaakoView attachment 2292703View attachment 2292707
Hii kienyeji type soko, imejaa mitumba kama Gikomba? 😂 😂 😂 😂 kwani unadhani Eastleigh inahudumia wakenya pekee.., fanya utafiti stop your blind patriotism., Kariokoo can't beat Eastleigh!
Kenya ni nchi ambayo kama familia yako haina connection na serikali au kabila lako sio famous basi ni ngumu sana kufanikiwa na kufanya mambo makubwaUhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route.
![]()
Somalia reopens market for miraa, allows in Kenya Airways
Somalia has allowed the resumption of miraa exports from Kenya and permitted Kenya Airways to start scheduled flights to Mogadishu.www.theeastafrican.co.ke
Magu alikuwa sio muumini wa real estate yeye alijali miundombinu na viwanda NHC ikapigwa stop kuwekeza kwenye miradi yake maana ilikaa 4 years without a board of directors kiufupi haikufanya kazi kabisa kipindi cha Magu na NHC ndio mwekezaji mkubwa wa real estate in Tanzania.Yaani unaweka Nairbi ya 90s, hakuna upperHill pale background, next to KICC hakuna parliament towers na CBK towers na bado unajikaza kulinganisha na Dar is slum ya 2020s..,ona downtown hivi sasa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nyumba za waarabu
View attachment 2292713
View attachment 2292712
Nairobi ambayo hautaki.., without Ngara., bana nyie tulieni na Mombasa, nasio tafadhali, it's where u belong
View attachment 2292719
Tofautisha na hii![]()
ya 90s, tumepiga hatua kubwa kilaza, unaumia na kuteseka sana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2292724
Uhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route.
![]()
Somalia reopens market for miraa, allows in Kenya Airways
Somalia has allowed the resumption of miraa exports from Kenya and permitted Kenya Airways to start scheduled flights to Mogadishu.www.theeastafrican.co.ke
Eastleigh inashinda Kariakoo kwa miraa tu!Catchy headline isikudanganye, have watched this clip, yaani kienyeji look, a big version of Gikosh.., Eastleigh has emerged to be a force bana..,
Unaumwa wewe, unaijua Kariakoo au unaisikia.Usijitie hamnazo ama kujitoa ufahamu na google opinions.., economy ya Eastleigh inashinda Kariakoo by far.., watch hizi clips kama uko na bando..,
Mjukuu Kariokoo imepitwa na wakati, soko la mitumba kwa wingi kama Gikomba utanidanganya kweli?., uchumi wa Eastleigh sio mchezo bana..,Unaumwa wewe, unaijua Kariakoo au unaisikia.
Ndiyo hii mnataka kufananisha na Jo'burg wkt Dar pekee mnaishindwa?