Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Failed system😂😂🤣🤣.

Nairobi commuter Railway Vs BRT😂👇👇

View attachment 1669418View attachment 1669419
692ACDA6-ED60-456E-AEE9-6C3A68D313E6.jpeg
A87DEE61-4D29-4F3D-B22E-48C4A83F69A6.jpeg
9E24FF65-8A26-4200-9616-2C6334DC7228.jpeg
 
Hapa ulisema utagiwe zikifika ngapi?
Hii ndio hile hainanga wateja? Siku international routes zitafika tano tafadhali usisahau kunitag
Hapa zipo ngapi?
Hizi ni ngapi?

Guangzhou
Lusaka
Harare
Mumbai
Entebbe
Comoros
Bujumbura
Kila unapogusa unapigwa spana.
Nidanganye kwa faida ya nani!
Sijawa mkenya maana mnasifika kwa kudanganya ovyo ili mpate sifa msizo stahili.
Sasa mbona unadanganya watu? Ebu tuonyeshe picha ya Any Time Cancellation Limited (ATCL) ikiwa Guangzhou
ATCL tayari ina kibali cha kuruka Guangzhou China ila restrictions za corona ndio bado hazijakaa sawa.
 
Ni kweli tunaweza tukalinganisha na Mogadishu kwa sababu zote ni coastal town 🙂 kingine Mogadishu ni kusafi na pia iko well planned kama dar hakuna uchafu kama Nairobi🙂ebu cheki mogadishu 👇👇alafu linganisha na Nairobi jibu utaipata
Thanks for accepting that level ya Dar is slum ni Mogadishu👏👏👏😂
 
Hapa ulisema utagiwe zikifika ngapi? Hapa zipo ngapi? Nidanganye kwa faida ya nani!
Sijawa mkenya maana mnasifika kwa kudanganya ovyo ili mpate sifa msizo stahili. ATCL tayari ina kibali cha kuruka Guangzhou China ila restrictions za corona ndio bado hazijakaa sawa.
Ebu tuonyeshe hicho kibali🤣🤣🤣. Unahesabu route enye hata Magufuli mwenyewe hajui iko wapi😂😂😂. Siku hizo mitumba zenu zitakanyaga China ndio ueke Guangzhou kwa list, as of now safari zenu ni za daladala😂😂😂
 
Alafu anatoa excuse ya covid restrictions, restrictions kitu gani na hamkuwa lockdown na China pia hawajakuwa lockdown tangu February😂😂🤣😂. Ama hiyo ndege yenu ilikuwa ya kubeba waingereza wenye bado wako lockdown?🤣🤣😂🤣
 
Ebu tuonyeshe hicho kibali. Unahesabu route enye hata Magufuli mwenyewe hajui iko wapi. Siku hizo mitumba zenu zitakanyaga China ndio ueke Guangzhou kwa list, as of now safari zenu ni za daladala
Certified nincompoop hii ni nini?
Alafu anatoa excuse ya covid restrictions, restrictions kitu gani na hamkuwa lockdown na China pia hawajakuwa lockdown tangu February. Ama hiyo ndege yenu ilikuwa ya kubeba waingereza wenye bado wako lockdown?
IMG_0326.PNG
 
Si uliuliza kuhusu international routes?
Hii ndio hile hainanga wateja? Siku international routes zitafika tano tafadhali usisahau kunitag
Baada ya kuoneshwa international routes za ATCL umeanza kuweweseka ovyo na bado huo ni mwanzo tu safari hii huo wivu utakutesa zaidi.
Hii ndio kibali? Ebu tuonyeshe picha ya ndege ikishafika Guangzhou. Leo booking site imekuwa kibali
 
Si uliuliza kuhusu international routes? Baada ya kuoneshwa international routes za ATCL umeanza kuweweseka ovyo na bado huo ni mwanzo tu safari hii huo wivu utakutesa zaidi.
Hahmna international flights za kuenda Guangzhou na ndio maana hata ukisearch flights unaambiwa hakuna ndege😂😂🤣🤣👇👇👇

IMG_20210106_005316_289.JPG
 
Nikupe sababu?; wengi wanakuja huku ama Uganda with their weak mental structure, kazi ni kukunywa na kutongoza wanawake (clubing daily na uzembe wa kiaina), they hardly attend lectures! Nilisoma na wengi kaka nawafahamu, mzazi anatuma karo na pesa ya matumizi na ma fala wanaharibu eti wanakula raha, in our class tuliwacha wengi sana chuo kikuu when we finished kwasababu hawa ku graduate, wana miss classes sana, na kwa darasa they cannot compete, pengine wenye walianza shule ya msingi ama upili Kenya ama Uganda. Nilihurumia wazazi wa hawa stupid Tanzanians. Mzazi anajinyima anapeleka mtoto shule, na ngómbe inakula karo, matokeo ni total failures!!
Wengi wanaoenda kusoma Kenya au Uganda, walikuwa wameshindwa kumudu elimu ya Bongo.
 
Back
Top Bottom