Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ONLY A FOOL WILL ARGUE WITH WORLD BANK DATA WITHOUT BRINGING US ALTERNATIVE VERIFIED DATA
 
ONLY A FOOL WILL ARGUE WITH WORLD BANK DATA WITHOUT BRINGING US ALTERNATIVE VERIFIED DATA
mulirogwa na nani lakini 😂😂😂
9.4b ksh aloo
4DB192BE-16F0-49F3-A8CF-BE31810069A9.jpeg
 
SA ni nchi yenye viwanda vingi Africa na wanazalisha na kutumia umeme mwingi sana, ili tuweze kufika walau Nusu ya mahali wamefikia inabidi Serikali yetu ilegeze sana masharti ya uwekezaji kitu ambacho kinaweza sana kuathiri maslahi ya taifa kwa watz wazawa...yani muwekezaji apate 3/4 sisi tubake na 1/3 .Lakini tofauti na hapo basi tuendelee kuwekeza kwenye kilimo kilichoajiri watz wengi kiwe na tija,Tuboreshe zaidi elimu ili tuweze kua kwenye ushindani wa kibiashara na mataifa mengine.. Na tuendelee kufanya miradi ya moundombinu kwa bidii sana ili kuboresha mazingira ya biashara na huduma kwa watz
Hamuwezi kuendelea kiuchumi bila kulegeza sheria na kuwaruhusu wawekezaji kutoka nje kuwekeza kwa njia rahisi. Lazima mulegeze masharti kwa wawekezaji. Nimefuatilia economic success stories ya nchi nyingi duniani na karibu zote zinahusu nchi husika kufungua uchumi wake kwa wawekezaji kutoka nje. Japan is the best example kwa sababu ilijifungia kwa miaka 400 bila kutangamana na nchi zingine ila Marekani iliilazimisha kufungua uchumi wake in the 19th century. Ni kweli in the short term wazawa wataumia but in the long term wazawa watafaidika pakubwa.
 
For me I say what I think without caring whether I will hurt Kenyans or Tanzanians. I have criticised Tanzania and Tanzanians many times. In hundreds of my posts I have done that. Likewise, I criticize Kenya and I am one of the few Kenyans here who actually criticises Kenya. I am probably the only one who praises both sides and criticizes both sides based on my opinion. Some Kenyans don't like me because I praise them but when I criticise Tanzania they pretend they don't see it. When I praise Kenya and post beautiful pictures of Kenya they like the post, when I criticise Kenya, they don't like it. If you see that as me cheating them or massaging their ego then no problem. Anyway, I will not to change myself to please anyone.
Here you are allowed to do whatever you feel right for you except insults. One instance of you massaging their ego and also cheating them is when you tried to deny the World Bank data when in reality you knew very well that what you are trying to argue against is a well searched entity, both WB and GOT cooperated to come up with the final result. World Bank didn't get those figures from the air or water, but from the Government of Tanzania. So whenever you write here that WB is against Tanzania I usually fail to understand you. Someone who doesn't want you can't give you loan, he can't give you grants and he also can't give you donations.
 
Hiyo kiingereza rahisi haujaelewa bongolala!? 😂😂😂

It says... "The lowest temperature ever recorded in Kenya, EXCLUDING Mt. Kenya peaks..."

The keyword here is "excluding"

The writer doesn't talk about Mt. Kenya, but Nyandarua where -2 degrees has been recorded before. Yani anaongelea baridi ya Nyandarua, sio ya mlima Kenya. Mlima Kenya haipo Nyandarua. Hizi kiingereza rahisi zitawapiga chenga hadi lini?
Sijazingatia kilichoandikwa kwenye article la 2013,niliangalia majigambo yako,kuhusu hiyo lugha ungejua ninapoishi zaidi ya miaka 7 sasa,ungejiona mtumwa wa kushobokea lugha za watu wabongo hatuna ujinga huo
 
Suala la maji ya lake victoria kufika turkana na maeneo mengine up north inategemea siasa za ukanda. Kuna upande mmoja utapinga kwa sababu zao.
So sad,kwanini kuwe na ubinafsi mkubwa kiasi hiki wakati wanaoumia wote ni Wakenya?
 
Huyu waziri ni smart, nasema ni SMART! Natamani hata awe no.3 TZ





Sometimes, mtu akiwa smart eneo flan haimaanishi akiongezewa cheo zaid atakuwa smart zaid.. Tanzania sijui tunakwamaga wap kwenye hili, yan mtu akionekana kafanya vizur bas mnampeleka sehem nyingine, na akipelekwa huko kwengine anatumbuliwa..
Mfano mdogo, yule jamaa wa mambo ya Meli, Mr Eric.. alikuwa vizur sana sana huko, kapelekwa kuwa MD wa TPA katumbuliwa juzi, na wengine tu..
Hapo kwa wizara ya kilimo nataka huyu Bashe awe wazir wa kilimo kwa zaid ya miaka 10, nakumbuka niliwah kusema hili..awe wazir wa kilimo at least 10 yrs
Nashauri, mtu akiwa smart eneo flan mweken hapohapo kwa miaka mingi zaid, hizo positions nyingine watafuten watu wengine na sio kuwaondoa hawa wanaofanya vizur na kuwapeleka huko kwengine
 
Kwani kwa akili yako mlima ndio unafanya mshindwe kupeleka maji Turkana kwani mto hauwezi ukakwepa mlima au akili yako inawaza kuwa river itakuwa inaenda straight tuu from lake victoria to Turkana bila meandering?

Sometimes muache excuses and start using your brains.
Mzee mimi siongei kuhusu milima pekee naongea kuhusu elevation. Eneo linaweza kuwa halina milima ni tambarare ila likawa lina higher elevation kushinda elevation ya Lake Victoria na kwa hivyo maji hayataflow kupitia gravity. Yaani wewe concept ya elevation imekushinda kabisa kuelewa?
 
TARURA,Tunaendelea kufungua Nchi kufika kusiko fikika..

Kazi iendelee 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-201924.png
    Screenshot_20220712-201924.png
    147.1 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220712-201851.png
    Screenshot_20220712-201851.png
    168.7 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220712-201843.png
    Screenshot_20220712-201843.png
    178 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220712-195458.png
    Screenshot_20220712-195458.png
    195.4 KB · Views: 20
Sometimes, mtu akiwa smart eneo flan haimaanishi akiongezewa cheo zaid atakuwa smart zaid.. Tanzania sijui tunakwamaga wap kwenye hili, yan mtu akionekana kafanya vizur bas mnampeleka sehem nyingine, na akipelekwa huko kwengine anatumbuliwa..
Mfano mdogo, yule jamaa wa mambo ya Meli, Mr Eric.. alikuwa vizur sana sana huko, kapelekwa TPA katumbuliwa juzi na weng tu..
Hapo kwa wizara ya kilimo nataka huyu Bashe awe wazir wa kilimo kwa zaid ya miaka 10, nakumbuka niliwah kusema hili..awe wazir wa kilimo at least 10 yrs
Nashauri, mtu akiwa smart eneo flan mweken hapohapo kwa miaka mingi zaid, hizo positions nyingine watafuten watu wengine
Jamaa aliyetoa tender ya kujenga meli kwa kampuni ya briefcase haina shipyard!

Wacha utani hapa umepotoka! tender kubwa sana (meli zaidi ya nne) ameenda kuipa kampuni haiko registered!
 
What you have said is true but Tanzania ni vichwa ngumu wamejenga pipeline from Lake Victoria hadi Dodoma. Ethiopia pia ni vichwa ngumu na wamejenga Gerd despite Egypt kubweka bweka. It is about time we ignore these colonial treaties and go ahead and build our country. Egypt walie wakitaka but we should tap water from lake Victoria (which is the second biggest fresh water lake in the world) and distribute it to Northern Kenyan regions. We cannot have Kenyans struggling to get water and yet we have a big fresh water lake next to us. We have to show teeth, mambo ya kuwa wapole haitusaidii with all the bad press we get regarding hunger and starvation in the media.
Tony,

I wish you could get a recognizable position at GOK..

But tatizo hizo nafasi zina wenyewe.
 
You are the fool here. A total nincompoop.

It's my pleasure to learn that.

In a war of that magnitude, only the silliest like you would rejoice at the parade of a destroyed tank, just one tank, of an enemy.

What do Kenyans know about wars, or winning wars? Which war have you fools fought and won? Aren't you idiots miserably failed to defend your Mall from 3 members of Al Shabab?

If you couldn't stand a ragtag militias with no decent shoes, which army would you ever defeat?

If Kenyans stand up and talk about stealing I would listen, attentively. Because, every Kenyan is a potential thief.
 
Jamaa aliyetoa tender ya kujenga meli kwa kampuni ya briefcase haina shipyard!

Wacha utani hapa umepotoka! tender kubwa sana (meli zaidi ya nne) ameenda kuipa kampuni haiko registered!
Mzee wa kubisha umefika hehe..
I wanted to reply something ila wacha nisave nguvu niendelee na mambo mengine
 
Dar namba 6 kwa usafi Afrika as per Africa tour magazine 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-200137.png
    Screenshot_20220712-200137.png
    203 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220712-201314.png
    Screenshot_20220712-201314.png
    203.6 KB · Views: 20
Ethiopia is the biggest source of river nile na raundi hii wameamua kama noma noma GERD lazima ijazwe at a shorter time na hio ita- reduce fertile lands egypt by 30%. Tanzania on the other hand kama kawaida yao ya cock- sucking, egypt will build for them JNHP inorder to buy their silence.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jamaa umefanya nicheke mwenyewe mbele ya Watu kama Zuzu.

Sasa unalaumu vipi Tanzania wakati toka kipindi cha Mh. Lowasa akiwa waziri wa maji tulishawakalisha Hao mafarao wa Misri?
 
Mzee wa kubisha umefika hehe..
I wanted to reply something ila wacha nisave nguvu niendelee na mambo mengine
sawa Mzee zuzu! Unafikiri tender ile ni kama zile meli zenu za Congo? Hamna cha maana huwa unaongea humu ndani zaidi ya interests za Usukumagang as if mradi haujakwama as a result of the tender given to a fake company!
 
Back
Top Bottom