Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zero tolerance kwa mafisadi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-202229.png
    Screenshot_20220712-202229.png
    152 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220712-201109.png
    Screenshot_20220712-201109.png
    118.9 KB · Views: 11
Tony254 mbona hawa washamba wanapenda kuingilia uhuru wako wa kujieleza? Yani Wakenya wote wanamuona Tony kama mtu wa kujipendekeza kisa tu anaongea ukweli anaoujua na kuuamini yeye.

Mnataka Tony aamini kwamba Tz economy ni $67b wkt anajua ukweli kwamba Tz inailisha Kenya? Anajua fika Tz inafanya miradi mikubwa na yenye thamani kubwa kuliko miradi yote inayofanywa na nchi za Afrika mashariki combined?

Mnataka Tony aamini uongo wa wazungu wenye chuki na Tz wkt anajua Tz inatekeleza miradi ya maendeleo na mikubwa kama JNHPP tena kwa pesa za ndani?

Mnataka Tony aamini uongo wa makaratasi wkt anajua Tz haisumbuliwi na njaa? Wakati mwingine Tony unatakiwa kuwa mkali ili wajinga wajinga kama hawa wasikiguse guse hovyo na kukutoa akili, yn ww hauko independent kabisa, ukitoa mawazo yako wanakuambia unajipendekeza wakati wao wakiwa twitter wanaisifia Tz zaidi ya ww unavyoiongelea kwa mazuri wkt mwingine.

Ifike wakati tuheshimiane humu ndani kama ukiona mtu katoa speech hukubaliani nayo basi mkosoe kwa hoja na sio kumtoa akili mtu mzima na akili zake.
Umemwambia ukweli huyu dogo.
 
Nilikuambia unapenda ligi za kijinga.
Niambie ni wapi Tanganyika you've ever recorded -2 degrees temperature

Sasa ukizungumzia Mt. Kenya peaks unataka na sisi tuzungumzie Mt. Kilimanjaro peaks au?
 
That water is guarded by a treaty, the Nile Treaty. Secondly, it is a shared resource so Kenya does not have complete control over it unlike your minerals which are the property of Tanzanians and Tanzanians alone
Why then we use water from Lake victoria and pump it as far as Dodoma why cant you do the same? Or do you think we are not bound by the treaty?
 
Chuo Cha Magereza,Tukuyu,Mbeya 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-165719.png
    Screenshot_20220712-165719.png
    177 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220712-195955.png
    Screenshot_20220712-195955.png
    149.6 KB · Views: 9
Go and do some research about something called the Nile Treaty. All the countries that signed that treaty have gone against it except Kenya
Why Kenya alone? Ndio maana nikauliza lakini sijapata jibu kutoka kwenu. Ni serikali gani ya Kenya iliyosaini Nile treaty?
 
All the countries that signed this treaty have all gone against it in one way or another, Tanzania included. I think it's high time we did the same
Wakoloni ndio walisign hiyo treaty bila kushirikisha wakenya na kuzingatia manufaa ya wakenya hivyo hiyo treaty tayari by itself ni null and void.
 
Here you are allowed to do whatever you feel right for you except insults. One instance of you massaging their ego and also cheating them is when you tried to deny the World Bank data when in reality you knew very well that what you are trying to argue against is a well searched entity with both WB and GOT cooperating in order to come up with the final result. World Bank didn't get those figures from the air or water, but from the Government of Tanzania. So whenever you write here that WB is against Tanzania I usually fail to understand you. Someone who doesn't want you can't give you loan, he can't give you grants and he also can't give you donations.
I understand your point. But a little correction is that while World Bank has access to government data, it doesn't always rely on government data 100% and it uses its own judgement as to the reliability of the data in question. There are many instances of World Bank producing its estimates after tweaking or changing government data and coming up with totally different figures. These World bank figures are not mirror images of government data. World Bank has a right to give its own estimations if it does not believe the data of a particular country. Also World Bank tends to give economic growth rates that contradict government growth rates. For example the Kenyan govt could be estimating to grow at 6% this year and World Bank gives an estimate of 5% contradicting the Kenyan govt. The reason why World Bank's gdp may differ from govt gdp figures is that World Bank may not trust the source of the data. If it is a dictatorial country where data tends to be manipulated then World Bank will not trust that source and they will use their own methods to give an estimate. You can read more here about how World Bank deals with unreliable data from poor countries.
 
It's my pleasure to learn that.

In a war of that magnitude, only the silliest like you would rejoice at the parade of a destroyed tank, just one tank, of an enemy.

What do Kenyans know about wars, or winning wars? Which war have you fools fought and won? Aren't you idiots miserably failed to defend your Mall from 3 members of Al Shabab?

If you couldn't stand a ragtag militias with no decent shoes, which army would you ever defeat?

If Kenyans stand up and talk about stealing I would listen, attentively. Because, every Kenyan is a potential thief.
Upo immature sana. Huwezi kuongea bila matusi? Posts zako zote zimejaa matusi tu. What type of an obnoxious Zombie are you? You must be a retarded, deranged, demented twat.
 
Hata mimi nimeshindwa sana. Sijui mlikosea World Bank wapi. Wako na grudge na nyinyi.
Tony254 how do you defend this statement you made earlier on? If this is not cheating someone then how do we call it? If you were told to prove that World Bank has grudges with Tanzania will you prove it? And out of all the countries in the world, why should WB only have grudges with Tanzania?
 
Ukiendelea hivi you will even deny that you were ever born. Sometimes it's good to sit down and ask yourself why is your country regressing as others move forward.
Who denied any thing, just wanted to remind you that, these information of GDP shouldn't make you forget that millions of Kenyans have nothing to eat and some do starve to death.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyu waziri ni smart, nasema ni SMART! Natamani hata awe no.3 TZ




Yuko vizuri aendelee kuwepo kwenye kilimo maana tangu ameingia Bungeni amekuwa na mawazo mazuri kuhusu kilimo chetu.

Mambo aliyoyaainisha ndio vitu nimekuwa nikisema kila mara, na kama watavifanyia kazi basi vijana wengi watajiingiza kwenye kilimo chenye tija.
 
Ni mawazo mazuri ndio maana nikasema shida huko nyuma ilikuwa wizi, ufisadi, miradi hewa.

Sasa hivi mama ameongeza bajeti ambayo itajikita kwenye kilimo cha umwagiliaji kutokana na potential ya ardhi na maji tuliyo nayo.

Miundombinu ikijengwa maana yake imerahisisha kilimo, vijana wapewe ardhi walime, pembejeo, na watafutiwe masoko ya kuuza mazao yao.

Hivi kwa mfano hii bajeti isipoonyesha impact yoyote kwenye kilimo mchawi atakuwa nani?

Mipango ya kwenye makaratasi isiwepo, fedha zinazotolewa zifuatiliwe na zionyeshe zimefanya kazi gani. Suala la kuishia kwenye mifuko ya watu hapana hatutafika kokote.

Huu ndio ushauri wangu kwa serikali mkuu.
Sioni Kama Kuna " the right management, planning & committed people". Mkuu hiyo Budget Kamwe haiwezi kuleta impact yoyote Ile. Tatizo letu la kwanza hapa Africa sio pesa, tatizo ni watu mkuu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom