Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiangalia mkeka wao vizuri mwaka 2020 uchumi wetu ulikua $62.2B manake umeexpand vizuri ndani ya mwaka mmoja kufikia $67.7B...lakini hao hao Wb waliandika uchumi wetu kua $61B mwaka 2019 Yani 2019-2020 Uchumi wetu uliongezeka kwa $1B pekee ukilinganisha na 2020-2021 ulikua kwa $5B....nadhani Japo haifurahishi ila kwa kasi hiyo tunaweza expand zaidi ya hapo msimu ujao ukizingatia watalii wamechangamka na sekta zingine zinakua vizuri
 
SA ni nchi yenye viwanda vingi Africa na wanazalisha na kutumia umeme mwingi sana, ili tuweze kufika walau Nusu ya mahali wamefikia inabidi Serikali yetu ilegeze sana masharti ya uwekezaji kitu ambacho kinaweza sana kuathiri maslahi ya taifa kwa watz wazawa...yani muwekezaji apate 3/4 sisi tubake na 1/3 .Lakini tofauti na hapo basi tuendelee kuwekeza kwenye kilimo kilichoajiri watz wengi kiwe na tija,Tuboreshe zaidi elimu ili tuweze kua kwenye ushindani wa kibiashara na mataifa mengine.. Na tuendelee kufanya miradi ya moundombinu kwa bidii sana ili kuboresha mazingira ya biashara na huduma kwa watz
 
Una reason ya kitoto sana,kwa hiyo mnamkosa kupata huduma ya maji kwa sababu maji hayapandi mlima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli duniani kuna baadhi ya watu ni vituko
Hawa ni vituko the turkana basin iko 300m above sea level lower than areas around lake victoria maji yata flow tuu nicely wala hakuna gravity obstacle yoyote kama anavyozungumzia Tony they can supply maji to Marsabit, Wajir mpaka Mandera. Angalia altitude map ya kenya utaona nachozungumzia hapa hawa watu ni wavivu tuu ku initiate projects on their own mpaka waje mabeberu kuwafanyia. Ikitokea beberu akigoma kidogo tuu kenya haikaliki.
 
Tony you are confusing these things. World Bank just released data for last year but IMF released projections for this year. Those are two different years. You have to wait for next year's data from WB to see if there's much variance between the two.
We jamaa nmekubali sana hii observation yako!!
 
Suala la maji ya lake victoria kufika turkana na maeneo mengine up north inategemea siasa za ukanda. Kuna upande mmoja utapinga kwa sababu zao.
 
Iko wapi Victoria hapo, iko wapi mbezi beach, iko wapi kigamboni, iko wapi masaki hapo, iko wapi kawe, Dar kubwa sana co ka Nairobi hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengi wao hawaijui dar na ndio sababu siku wakifika dar inawaduwaza
 
That water is guarded by a treaty, the Nile Treaty. Secondly, it is a shared resource so Kenya does not have complete control over it unlike your minerals which are the property of Tanzanians and Tanzanians alone
Hio treaty ilishakufa kitambo, only egypt abides to it.
 
Hii hadithi huwa inawachoma wachawi fulani sema basi hawana kitu watafanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ushajua ni hadithi za abunuwasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vitu vya mda tu hivi
Mda utaongea
Can't you see the gap between Kenya and Tanzania keeps on widening yet you are here talking about time?. If the gap was narrowing then we could be talking about a matter of when.
 
Ukiendelea hivi you will even deny that you were ever born. Sometimes it's good to sit down and ask yourself why is your country regressing as others move forward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…