Hii argument yako yenye huwa una peg kwa value ya miradi ni uchwara sana mjukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], so far kwa hiyo value ya miradi ni pesa ngapi imetumika hadi sasa tulinganishe? uone vile wewe ni empty bakuli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna tofauti ya kukua na plans yenye bei kubwa na pesa kamili mikononi, nyie ni fukara wacha kujitekenya.., SGR km mia mbili kukamilisha imewachukua hii miaka yote so hayo miprojects unaimba hapa si nyote mtakufa kabla ya kamilike msipo kopa? kwa vile mko na uchumi hafifu sana, hamuna muscles ya kukamilisha kwa wakati., tafuta mikopo ama ppp, la sivyo utaendelea kutuimbia pambio humu na ndoto za alinacha, wacha nikucheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]