Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Also, during oil search it was discovered Kenya has lots of water underground that can serve the country for 70 years!
It's called Lotikipi Aquifer, if am not wrong. Tatizo pia is our government, especially county govts in ASAL areas.., why can't they tap the resource?.., Lake victoria is far, and water is beneath them, we just need proper leadership.
Now you are talking sasa roll up your sleeves and get to work, stop staying idle while blaming God for your misfortunes.
 
Wewe nilikuambia wewe ni mpuuzi. Kwani ni we we umeandika?
Sasa nani ni mpuuzi hapa nilichofanya ni kukuweka kwenye mstari. Sasa nataka nisikie kutoka kwako kwa faida ya wote nani ni mpuuzi hapa [emoji116]
Screenshot_20220712-144748.jpg
 
Umetisha sn, tuliwaambia over 90% ya Dar bado haijaoneshwa humu kutokana na watanzania kutopenda utaratibu wa kupiga picha na kutangaza nchi yao, ila now Watz wengi wameamka sn.
Google earth ilimaliza hiyo, imeweka 150% ya Dar😂😂😂😂😂😂, hakuna jipya, pengine vi angle tu na filtered pictures za kupotosha umati, the best of Dar ni hii picha (city centre) zaidi ya hapa hakuna hizi leveles👇👇 zingine ni additions vidogo vidogo tu😂 😂 😂 😂 😂 😂 hii westlands pekee inaikosesha amani😂😂😂😂
1657626668621.png

1657626970774.png
 
Ethiopia is the biggest source of river nile na raundi hii wameamua kama noma noma GERD lazima ijazwe at a shorter time na hio ita- reduce fertile lands egypt by 30%. Tanzania on the other hand kama kawaida yao ya cock- sucking, egypt will build for them JNHP inorder to buy their silence.

Silence ipi kondoo!

What you have said is true but Tanzania ni vichwa ngumu wamejenga pipeline from Lake Victoria hadi Dodoma. Ethiopia pia ni vichwa ngumu na wamejenga Gerd despite Egypt kubweka bweka. It is about time we ignore these colonial treaties and go ahead and build our country. Egypt walie wakitaka but we should tap water from lake Victoria (which is the second biggest fresh water lake in the world) and distribute it to Northern Kenyan regions. We cannot have Kenyans struggling to get water and yet we have a big fresh water lake next to us. We have to show teeth, mambo ya kuwa wapole haitusaidii with all the bad press we get regarding hunger and starvation in the media.
Nyie mnaweza kuongea sio kutenda et oohhh egypty atamind [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa maji yanafikaje Egypt from lake victoria? Pia turkana is a basin ndio maana kuna lake turkana.
Wewe ulipata sufuri kwenye somo la geography. Water always flows downhill sasa ukiona maji yanaenda Egypt basi ujuwe huko ndiko kwenye mteremko. Maji hayapandi milima. Ndio maana nazungumza mambo ya kujenga water pipeline kwa sababu unaweza kutumia water pump kusukuma maji yaliyo ndani ya pipeline yapande milima. Turkana na Lake Victoria zipo at a similar elevation sasa maji itaflow vipi? In fact Turkana is slightly higher by 3 metres. Egyptian Nile Delta is very low, it is around 18 metres above sea level. Hio ndio sababu maji yanaflow kuelekea Egypt na sio Turkana.

Screenshot_20220712-150628.jpg
Screenshot_20220712-150656.jpg
Screenshot_20220712-151847.jpg
 
Yaan unasubiria mikataba wakati wanainchi wako wanakufa na njaa hawana maji safi na salama nakumbuka wakati mradi wa maji kutoka ziawa victoria kwenda shinyanga unaanza kipindi cha Mkwere Lowasa akiwa PM wamisiri walikuja juu saana Lowasa akawajibu Tanganyika au Tanzania haijawahi kufunga mkataba na misiri kuhusu maji wamisiri walifunga mikataba na waingereza kwahio wakawaombe waingereza maji au waje wachukue ziwa victoria wapeleke kwao lakini kama litaendelea kuwa kwetu maji ni lazima tuyapeleke tunakotaka yafike hada dar alisema PM Lowasa wakati huo nanyi jitoeni fahamu tu hakuna kingine au mnawaogopa kwa sababu mnapokea chakula cha misaadakutoka kwao mbo na wamisiri huku kwetu ndo wanajenga JNHEP na hawjawahi kulalamika chukueni hatua
What you have said is true but Tanzania ni vichwa ngumu wamejenga pipeline from Lake Victoria hadi Dodoma. Ethiopia pia ni vichwa ngumu na wamejenga Gerd despite Egypt kubweka bweka. It is about time we ignore these colonial treaties and go ahead and build our country. Egypt walie wakitaka but we should tap water from lake Victoria (which is the second biggest fresh water lake in the world) and distribute it to Northern Kenyan regions. We cannot have Kenyans struggling to get water and yet we have a big fresh water lake next to us. We have to show teeth, mambo ya kuwa wapole haitusaidii with all the bad press we get regarding hunger and starvation in the media.
 
Yaan unasubiria mikataba wakati wanainchi wako wanakufa na njaa hawana maji safi na salama nakumbuka wakati mradi wa maji kutoka ziawa victoria kwenda shinyanga unaanza kipindi cha Mkwere Lowasa akiwa PM wamisiri walikuja juu saana Lowasa akawajibu Tanganyika au Tanzania haijawahi kufunga mkataba na misiri kuhusu maji wamisiri walifunga mikataba na waingereza kwahio wakawaombe waingereza maji au waje wachukue ziwa victoria wapeleke kwao lakini kama litaendelea kuwa kwetu maji ni lazima tuyapeleke tunakotaka yafike hada dar alisema PM Lowasa wakati huo nanyi jitoeni fahamu tu hakuna kingine au mnawaogopa kwa sababu mnapokea chakula cha misaadakutoka kwao mbo na wamisiri huku kwetu ndo wanajenga JNHEP na hawjawahi kulalamika chukueni hatua
Ndio hata mimi nasema lazima tutumie maji hayo kimabavu kwa sababu ni maji yetu.
 
Back
Top Bottom