Weka budget utilisation ya Kenya,maana kinachoamua sio mapato ya Revenue authority..Post pandemic economy nothing new. Hongreni.
Hata Tz wamekusanya 99.8% ya target. We were only short of 24bn equivalent to $10m tuu na budget utilisation inefikia 95.6%
Good work for East Afrca Aluta continua kazi iendelee.
Helpless??Chukueni maji toka ziwa Victoria hadi katika Hilo eneo, wacheni kuwa "helpless people"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na underground freshwater reserve mliogundua huko Turkana?Sio kwamba tumeshindwa. Hio ni mipango ambayo tutayafanya siku za usoni. Pesa tunayo ya kufanya mradi huo wa water pipeline kutoka Lake Victoria hadi Northern Kenya. Ila Egypt wanaweza anza kulialia kama mbwa. Unajua Egypt huwa haitaki "maji yao" iguswe. Huwa wanaona kama Lake Victoria ni yao. Nyie mlifanyaje ili mkaweza kujenga mradi huu bila Egypt kulialia na kutoa vitisho kama inavyofanyia Ethiopia?
kisha kero lingine kubwa sana kwa hawa wabongo ni kuona cote d'ivore na ghana sasa wako mbele yao.. nchi kubwa kama tz!🥺🥺 makosa sanaStatistics nzuri,
Ila hao namba moja wanaongoza kwa kukimbia nchi yao
Hao namba mbili wanaongoza kwa njaa, rushwa na ufisadi
Namba tatu sasa..........................😛
The faint ones or those which are redish are the ones that are the furthest due to light being redshifted. It is possible many more galaxies are invisible with the current technologies.SMACS 0723 Record breaking Image
by 12/07/2022. This is how the galaxys lit 13billion years ago[emoji1427] View attachment 2287756If u happen to have read in details about the Webb's record breaking SMACS 0723 Image. it observed the furthest distance ever recorded into the Space and hence it went back into time upto 13billion years ago!. It's so deep such that the concentration of galaxys has started becoming scanty, unlike the previous closer observations by Hubble Telescope.
The brighter galaxys in that image acts as lens and magnifies galaxys that are even further away. the only problem with this brighter galaxys is tht, its magnifies yes, but distorts the shape and brightness of these further away galaxys, ie. the ones tht appear shapeless and faint in that SMACS 0723 Image. But the advantage is that, these further away galaxys will later help to go further back into time when universe was at its infancy! Webb wants to go further deep until the moment the Universe was formed! ie. It what's to observe the BigBang itself!! soon we'll be able to see how the BigBang occurred, and even tell the billions light years all this happened! We'll see it in motion, like in a movie.
Space Science is very interesting and fascinating indeed!
Nb: Webb is a time traveller in the current real time! upto the beginning of the Universe. thts its main mission. $10B was used for this mission.
Njaa ipo northern Kenya, na serikali inatumia hela zetu kuwanunulia chakulaVipi kuhusu njaa na maandamano ya "No food, No election?"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Misri inadhani hii maji ya Victoria ni property yao. These Arabs deserve some beating in the a**Sio kwamba tumeshindwa. Hio ni mipango ambayo tutayafanya siku za usoni. Pesa tunayo ya kufanya mradi huo wa water pipeline kutoka Lake Victoria hadi Northern Kenya. Ila Egypt wanaweza anza kulialia kama mbwa. Unajua Egypt huwa haitaki "maji yao" iguswe. Huwa wanaona kama Lake Victoria ni yao. Nyie mlifanyaje ili mkaweza kujenga mradi huu bila Egypt kulialia na kutoa vitisho kama inavyofanyia Ethiopia?
We have managed to build water pipe from lake Victoria to central part of Tanzania where is semi desert area like TurkanaHelpless??
Did this word get a new meaning?
Helpless people are you guys who have all the minerals there is in the world but still wallow in abject poverty
Niongezee na serikali inajitahidi kusambaza na kuimarisha huduma muhimu za kijamii huku miradi mikubwa ikiwa inaendelea na mingine iko kwenye pipeline makaratasi ya wazungu hayatusumbui na wala hatulali njaa.Uchumi wa Tz kama utaangalia investment iliyofanya kwa hii miaka 10 kuja juu sio tu ni $67b wala $77b ni zaidi ya hapo maradufu, wewe wala isikuumize mana hata cc Watz haituumizi labda Watz wapumbavu wanaojali makaratasi kama Wakenya, cc tunachofurahi ni kwamba tunafanya miradi yenye thamani kubwa kuliko miradi inayofanywa na nchi zote EA combined na hili bomu lazima lilipuke whether World Bank or IMF accepts it or not.
Are you sure?, not asking international community for food donations?[emoji23][emoji23][emoji23]Njaa ipo northern Kenya, na serikali inatumia hela zetu kuwanunulia chakula
Issue ya credit to farmers ni muhimu sana in order to expand from subsistance farming to commercial farming.Mkuu, katika hili ungeshauri serikali ifanye nini kwa upande wake?, hebu taja vitendo(,activities) ambavyo unahisi serikali ingepaswa ifanye katika kilimo bila kushindana na wananchi wake na private sector.
Mkuu kumbuka kwamba Kama serikali itajiingiza Moja kwa Moja katika uzalishaji mazao na ikafanikiwa, maana yake ni kwamba 75% ya watanzania wanaotegemea kilimo watapoteza ajira zao.
Serikali jukumu kubwa ni kujenga mifumo ya umwagiliaji maji katika maeneo ambayo Kuna maji na ni tambarare, kitu ambacho serikali inajitahidi sana na inaendelea kufanya hivyo kulingana na uwezo wa uchumi wetu, hivi Sasa hapa Afrika katika kilimo cha umwagiliaji, tunazidiwa na Egypt, Nigeria na South Afrika pekee (The giants of Africa)
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
That doesn't change the fact that you have an abundance of mineral resources but still have one of the highest poverty rates in the world.We have managed to build water pipe from lake Victoria to central part of Tanzania where is semi desert area like Turkana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya sources for maize from Tanzania. Are they food donations?Are you sure?, not asking international community for food donations?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa mzizima la leo? Eti mzizima halijaisha. Mzizima beib picha ya miezi mitatu iliyopita [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni mjinga sana. Hizi tabia zenu za kukana kila kitu mtaacha lini?
Unasema hiyo ni picha ya kitambo wakati hilo jengo la Mzizima Towers is clearly visible in the middle of the pic and we all know hadi kufika sasa bado ujenzi haujaisha. Sasa inakuwaje tena ya kitambo bongolala?
Tukianza kuuza LNG na oil miaka ijayo we will definitely have to borrow a leaf from our kinky northern neighbours [emoji28]
Sasa tonny ni ww mwenyewe inafika kipindi una dispute data za WB zinazotaja GDP ya Tz ile ile tangu Kikwete mpk leo, kwa data hizo za GDP ya Kikwete unadhani tungefanya miradi tishio kama tunayofanya ss? Hebu nitajie nchi yenye GDP ya $77b hapa Afrika na ikafanya miradi ya thamani kama ya Tz.Wewe tatizo lako huwa unapuuzilia mbali hizi data za World Bank na IMF na kutoa data zako mwenyewe za kichizi. Sasa nani ataamini data za The Best 007 na awache kuamini data za World Bank? Huwezi kusema kwamba gdp ya Tanzania ni $150 billion na tukuamini. Tutakuona kichaa. Kwanza kichaa anayetembea uchi barabarani.
Hiyo scaffolding ya green inafanya nini hapo katikati? Alafu sasa siyo picha ya 90s tena kama ulivyosema? Wewe ukilaza haitokutoka!Sasa mzizima la leo? Eti mzizima halijaisha. Mzizima beib picha ya miezi mitatu iliyopita [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2287899
At last a ship from Kenya arrived in Dar es Salaam port carrying kenyan made coaches [emoji1787][emoji1787][emoji1787]