Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Egypt wana mto Nile ambayo ina maji mengi ajabu. Northern Kenya haina mto hata mmoja. Uwe unatumia akili wakati mwingine unapojibu haya mambo. Usiwe unakurupuka hovyo hovyo tu.
Mto Nile umepita katikati ya Egypt, lakini ndani ya eneo linalozunguka huo mto lisilozidi 100km kulia na kushoto wamewekeza katika kilimo cha umwagiliaji na wanalisha raia wao wote ambao idadi Yao ni zaidi ya mara mbili ya wakenya.

Kwanini Kenya msitumie maji ya ziwa Victoria ambayo ndiyo mengi kuliko ya mto Nile kuzalisha chakula?.

Kama Tanzania tumeweza kuyasafirisha maji toka ziwa Victoria hadi katikati ya Tanzania pamoja na kwamba hali ya ukame huko sio mbaya Kama Ile ya Turkana, iweje ninyi wenye hali mbaya ya ukame na uchumi mkubwa zaidi mnashindwa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
This is Chalbi Desert in Marsabit county, northern Kenya. Tuonyeshe sehemu kame kama hii hapo Dodoma
View attachment 2287846View attachment 2287847View attachment 2287848View attachment 2287849View attachment 2287850View attachment 2287851
Dodoma sio kame kama ukame iliopo northern Kenya. Hiyo ukame ya Dodoma kwa maoni yangu inalingana na ukame iliopo ukambani (Machakos, Kituo na Makueni), ambapo pia kuna success stories nyingi za kilimo kama tu hapo Dodoma
Chukueni maji toka ziwa Victoria hadi katika Hilo eneo, wacheni kuwa "helpless people"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mto Nile umepita katikati ya Egypt, lakini ndani ya eneo linalozunguka huo mto lisilozidi zidi 100km kuliko na kushoto wamewekeza katika kilimo cha umwagiliaji wa wanalisha raia wao wote ambayo idadi Yao ni zaidi ya mara mbili ya wakenya.

Kwanini Kenya msitumie maji ya ziwa Victoria ambayo ndiyo mengi kuliko ya mto Nile kuzalisha chakula?.

Kama Tanzania tumeweza kuyasafirisha maji toka ziwa Victoria hadi katikati ya Tanzania pamoja na kwamba hali ya ukame huko sio mbaya Kama Ile ya Turkana, iweje ninyi wenye hali mbaya ya ukame na uchumi mkubwa zaidi mnashindwa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sio kwamba tumeshindwa. Hio ni mipango ambayo tutayafanya siku za usoni. Pesa tunayo ya kufanya mradi huo wa water pipeline kutoka Lake Victoria hadi Northern Kenya. Ila Egypt wanaweza anza kulialia kama mbwa. Unajua Egypt huwa haitaki "maji yao" iguswe. Huwa wanaona kama Lake Victoria ni yao. Nyie mlifanyaje ili mkaweza kujenga mradi huu bila Egypt kulialia na kutoa vitisho kama inavyofanyia Ethiopia?
 
Hizo nguvu tumeziweka katika kuendeleza nchi yetu, ndio maana tumewashinda kwenye data zote muhimu there's is to show. Data ambazo you spend the whole day disputing because the reality is is too glaring than your hatred
Vipi kuhusu njaa na maandamano ya "No food, No election?"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Egypt wana mto Nile ambayo ina maji mengi ajabu. Northern Kenya haina mto hata mmoja. Uwe unatumia akili wakati mwingine unapojibu haya mambo. Usiwe unakurupuka hovyo hovyo tu.
Kitu nimegundua this brothers of ours are confused. Hawaelewi tofauti ya ukulima wa food crops and cash crops. A good example mtu ana base conclusions zake juu Egypt wanafanya ukulima wa mchele hawana shida ya njaa forgetting pia wao wanaimport majority of cash crops vice versa compared na KE.
 
Onesha sehemu Kenya kuna baridi la kiwango hiki, kuna wakati njombe inagonga mpk 4°C, tatizo lenu nyie mnaijua Dar pekee [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2287717View attachment 2287718View attachment 2287720
Na baridi la kenya ni kama lile la arusha halafu arusha kuna baridi kali kuliko kunyaland yote,while kwa Tanzania arusha baridi yake aifikii maeneo mengi tu ya Tanzania
Screenshot_20220705-075310_Chrome.jpg
 
Sio kwamba tumeshindwa. Hio ni mipango ambayo tutayafanya siku za usoni. Pesa tunayo ya kufanya mradi huo wa water pipeline kutoka Lake Victoria hadi Northern Kenya. Ila Egypt wanaweza anza kulialia kama mbwa. Unajua Egypt huwa haitaki "maji yao" iguswe. Huwa wanaona kama Lake Victoria ni yao. Nyie mlifanyaje ili mkaweza kujenga mradi huu bila Egypt kulialia na kutoa vitisho kama inavyofanyia Ethiopia?
Kama ninavyokuambia, ninyi wakenya ni watu wa kutafuta sababu ili kuhalalisha matatizo yenu badala ya kukubali kwamba matatizo mengi hutokana na ninyi wenyewe, hamtaki kujifunza kwa nchi jirani zinazofanya vizuri badala yake mnataka kujifanya ninyi ndio mnajua kila kitu.

Kenya sio nchi ya kusumbuliwa na njaa na kuwa na upungufu mkubwa wa ajira kwa kiasi tunachoshuhudia. Muhimu ni lazima mtambue ukomo wa uwezo wenu na muanze kushirikiana na majirani wenu. Hilo swali uliloniuliza, ilipaswa viongozi wenu ndio waje waulize viongozi wa Tanzania, badala ya kuja kuomba kuuziwa chakula kila mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba tumeshindwa. Hio ni mipango ambayo tutayafanya siku za usoni. Pesa tunayo ya kufanya mradi huo wa water pipeline kutoka Lake Victoria hadi Northern Kenya. Ila Egypt wanaweza anza kulialia kama mbwa. Unajua Egypt huwa haitaki "maji yao" iguswe. Huwa wanaona kama Lake Victoria ni yao. Nyie mlifanyaje ili mkaweza kujenga mradi huu bila Egypt kulialia na kutoa vitisho kama inavyofanyia Ethiopia?

Maji yao!?? Nanialiwapa??
Acha lame excuses, sema tu hamna hela ndiyo maana hamjajenga mfereji mpaka Turkana.
Pia mmeshindwa kutekeleza Galana Kulalu, kwa kukosa pesa.
 
Kitu nimegundua this brothers of ours are confused. Hawaelewi tofauti ya ukulima wa food crops and cash crops. A good example mtu ana base conclusions zake juu Egypt wanafanya ukulima wa mchele hawana shida ya njaa forgetting pia wao wanaimport majority of cash crops vice versa compared na KE.
Punguzeni ujuaji wenu wa kijinga. Hali ngumu ya maisha ktk nchi yoyote Ile husababishwa na kuongezeka kwa bei za vyakula zaidi kuliko kitu chochote, Sasa wewe utakimbilia kuzalisha mazao ya biashara kwanza au chakula kwanza?. hivi unadhani kwanini "inflation rate Kenya ni 7.8% na Tanzania ni 3.6%?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
World Bank GDP data are out. Kenya has been overtaken by Ethiopia while Tanzania is still stuck at $67B.

Top 3 biggest economies in East Africa.

1. Ethiopia - $111B
2. Kenya - $110
3. Tanzania - $67B

Tony254, tuusan

GDP sio mambo ya mdomoni na kwenye karatasi kijana GDP inaonekana mitaani.
 
ila najua madugu zetu wa dhati wamekufa moyo sana!..... inasikitisha sana nakwambia.. 🥺🥺😢 ata hawataki hii forum tena! hasa The best 007 , mzee wa '$150b', kisa.. "tz inajenga miradi mikubwa zaidi east and central africa!" mwingine amekereka zaidi ni Geza Ulole, jamaa wakusifia njaa kenya, na kwamba wakenya tunateseka sana. na kwamba tz ni bora zaidi!

pia mi nimekereka, ethiopia imetoka wapi tena.!? damn it. coz me I knw angola ndio ilikua kizungumkuti pekee, ila kwa sasa tumeipiku mbali sana! punde si punde kabla ya kupiga sherehe.. ethiopia hio. at $111b. how? anyway, a difference of only $1b is not a course for alarm, we are still at par.

then south africa is to return back to its 1st position in due course. i naturally hate nigeria. its a very fake country. expect it to even slum further. SA at $419b nigeria dwindling now at $440b👏🏽👏🏽

china is bound to overtake US in the next ranking and become No1.
china$19t and US$23b

Screenshot_20220712-124106_Drive.jpg
 
Back
Top Bottom