Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hua unasema mnauwezo mzuri wa kufikiri lakini naona hapa unapuyanga,Mtu anaenda Station kulala ama kukata ticket nakuondoka?safari ndio inafaa iwe ya muda mfupi na comfortable, kwenye huu mradi nini kiliwafanya mjengo Station nzuri alafu mtumie mitungi?
 
Sijui kwanini Wakenya waliamua kuwa wachafu namna hii, hakuna uchafu kama huu Tz.
tapatalk_-899485729_347x550.jpg
 
Hawa watu wajichunguze. Wana laana.
Ni wachafu sn, hakuna taifa lenye mauchafu kama Kenya na hakuna mji mchafu hapa Africa kama ka Nairobi, ndiyo maana huwezi kukuta wanaweka picha za ka Nairobi bila filter kama Dar. Yani ka Nairobi kamepauka kweli kweli asikuambie mtu, vieneo vichache wanavyovitegemea ni kwenye vi apartment vya foreigners only.
 
Bora avarage ya 160km/hr hiyo yeni 120km/hr, basi kuna uwezekano wa kutembea 60km/hr 😛 😛 😛 😛
my brothers surely.!!🤔 160km/h and 120km/h, is not a significant difference! they will both be clustered or banded in the same pot if ratings were conducted today
 
just but a reminder to my southern brethren... kenya is the most sought after economy, north of limpopo, south of the sahara, aside from nigeria
 
Back
Top Bottom