dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
a very rare footage, where darslam slightly looks like kilimani. japo bado iko chini kiaci
a very rare footage, where darslam slightly looks like kilimani. japo bado iko chini kiaci
Umechanganyikiwa hiyo 160 inaitwa speed sio maximumHio 160 ndo maximum sasa jijazie.

Ikiwa Dar pekee kuna baridi kali kwa ss mikoa ya nyanda za juu kupo hivi


Hata kwa speed hiyo unayolazimishia wewe kamwe hamtawahi kuwa na train itakayofika hizo levels in 200yrs
100 chukua 1. Waliosoma Cuba nadhani mmeshanielewa.Duuhh aiseee, nomaa.
Acha kujifurahisha hapa. Maumivu peleka pipeline kwenye uchafu.my brothers surely.!!160km/h and 120km/h, is not a significant difference! they will both be clustered or banded as the same cohort if ratings were conducted today
Hii pia waseme ni ya kitambo.
Kwa mbali bango la kampeni linaonekana.
Hii vita ya Russia na Ukraine only the fittest will survive those with genuine GDPs and resilient economies tuu. Wengine wote they will go the Sri Lankan way kama sio massive resignations. Time will tell.just but a reminder to my southern brethren... kenya is the most sought after economy, north of limpopo, south of the sahara
Only in Nairobi... towards Lang'ata road View attachment 2287230
Kataeni mseme hii picha ni ya zamaniSababu tunaeza nunua train zingine lakini hatuezi bomoa station kujenga zingine
kwann hasira sasa 🤣🤣🤣![]()
Tanzania: children malnutrition 2021| Statista
As of November 2021, **** percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Tanzania.www.statista.com
kwann hasira sasa 🤣🤣🤣
Not everything is a competition kijana. East Africa coastal areas never get too cold so sijui unawashwa na nini. This is Limuru on the outskirts of Nairobi
Unaumwa sana bongolala
Unazidi kuchemsha,lengo kubwa ni kupunguza muda wa kusafiri na kutoa njia mbadala ya kupitisha mizigo iki barabara ziwe na life span kubwaSababu tunaeza nunua train zingine lakini hatuezi bomoa station kujenga zingine
Daah huu uchafu balaaUnaumwa sana bongolala View attachment 2287362
kwann hasira sasa 🤣🤣🤣
Mwaka gani hiyo maana naona kunamajengo yanaendelea kujengwaUnaumwa sana bongolala View attachment 2287362



Wenzako wanashangaa ya Nairobi wanasahau uvundo iliyopo nyumbaniDaah huu uchafu balaa