Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Leta picha tuzione, hazitawahi fikia za kenyaTunasuka za kwetu, mkae kwa kutulia
Leta picha tuzione, hazitawahi fikia za kenyaTunasuka za kwetu, mkae kwa kutulia
The bad news ni kwamba hizi Chinese look like stations haziongezi speed wala hazibadili modernity ya SGR yenu





Ukubali ukatae tunaenda kuandika historia EAC kwa kura za amani kabisa kuwai kutokea. Mpaka sasa hakuna mtu amelazwa hospitali achilia mbali kuuliwa kwa sababu ya siasa.Kenya haiwezi kufanya uchaguzi bila watu kupoteza maisha, Wala msitafute visingizio, mkipigana au msipopigana, wahusika wakuu ni ninyi wenyewe, sisi hata tukiwaombea mazuri lakini ninyi wenyewe mkiendeleza ukabila haiwezi kuwasaidia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Keshakubali stations zao ni uglyThe bad news ni kwamba hizi Chinese look like stations haziongezi speed wala hazibadili modernity ya SGR yenu![]()


Kwa kuanzia 160km/hr, ila mpango ni 340 km/hr.Na umeme huo speed ni 160km/hr![]()
Hio 160 ndo average speed so kuna uwezekano ikawa inakimbia chini ya hapo kama 120km/hr hiviKwa kuanzia 160km/hr, ila mpango ni 340 km/hr.


Bora avarage ya 160km/hr hiyo yeni 120km/hr, basi kuna uwezekano wa kutembea 60km/hr 😛 😛 😛 😛Hio 160 ndo average speed so kuna uwekano ikawa inakimbia chini ya hapo kama 120km/hr hivi![]()
Bora avarage ya 160km/hr hiyo yeni 120km/hr, basi kuna uwezekano wa kutembea 60km/hr 😛 😛 😛 😛


asante kwa kukubali mumepigwa
😁 😁 😁 😁asante kwa kukubali mumepigwa
Wewe unaota nini, Kenya kila kitu ni hovyo hivi Sasa, watu wameanza kuingia barabarani kuandamana kwa sababu ya njaa, Tanzania tunapokea watalii mara nne zaidi yaKenya,Ukubali ukatae tunaenda kuandika historia EAC kwa kura za amani kabisa kuwai kutokea. Mpaka sasa hakuna mtu amelazwa hospitali achilia mbali kuuliwa kwa sababu ya siasa.
Wakenya sahivi tumekomaa sana kisiasa, hizo chuki tumewaachia nyinyi muendelee kupigana marisasi mpaka nyote muishe.
Vitu ambavyo kenya tuna vichukulia kama vya kawaida kama billboards au free speech tanzania ni anasa kubwa sana.
Licha ya kua katika campaign period, uchumi wetu ndo unakua kwa kasi kuliko nchi zote EAC, watalii wanafurika furi furi, miradi inazinduliwa/endelea kila kona etc aisee we have matured bana.
OPERATING SPEED ya diesel-electric trains za Kenya ni 120km/hr. DESIGN SPEED ya sgr kenya ni 220km/hr+ ikiwa electrified na electric trains. Nafasi ya kueka nyaya za stima tayari ipo kwenye tunnels na viaducts. Chinese Class one standard sgr 🇰🇪Kwa kuanzia 160km/hr, ila mpango ni 340 km/hr.
Umeambiwa SGR ya TZ sio expendable in terms of speed???? Wasiwasi wetu hupo kwenye hizo Old school locomotovies, tunajua mkijaribu hata 121 km/hr tutaletewa breaking news na The Citizen TV😁😁😁OPERATING SPEED ya diesel-electric trains za Kenya ni 120km/hr. DESIGN SPEED ya sgr kenya ni 220km/hr+ ikiwa electrified na electric trains. Nafasi ya kueka nyaya za stima tayari ipo kwenye tunnels na viaducts. Chinese Class one standard sgr 🇰🇪
DESIGN SPEED ya SGR ya Danganyika ni 160km/hr max ikiwa electrified na electric trains 😂😂😂. Haitawahi pita hapo. Turkey AREMA standards sgr 🇹🇿
Haiwezi kua expanded, kwani mtatumia nuclear trains ndio speed iongezeke?Umeambiwa SGR ya TZ sio expendable in terms of speed???? Wasiwasi wetu hupo kwenye hizo Old school locomotovies, tunajua mkijaribu hata 121 km/hr tutaletewa breaking news na The Citizen TV😁😁😁
We jamaa akili zako!!!! expandale ipo kwa SGR ya Kenya tu??? kufika 220???Haiwezi kua expanded, kwani mtatumia nuclear trains ndio speed iongezeke?
Kenya haitumii train za stima na mnatushindia 40km/hr. Huoni ni aibu?We jamaa akili zako!!!! expandale ipo kwa SGR ya Kenya tu??? kufika 220???
😁 😁 😁
Gap ni gap tu, hata muonekano zetu ni kali kuliko hayo mabanda yenu ya njiwaKenya haitumii train za stima na mnatushindia 40km/hr. Huoni ni aibu?
SGR yenu ni kama barabara mbovu
We ni kinyesi tuGap ni gap tu, hata muonekano zetu ni kali kuliko hayo mabanda yenu ya njiwa
Ukubali ukatae tunaenda kuandika historia EAC kwa kura za amani kabisa kuwai kutokea. Mpaka sasa hakuna mtu amelazwa hospitali achilia mbali kuuliwa kwa sababu ya siasa.
Wakenya sahivi tumekomaa sana kisiasa, hizo chuki tumewaachia nyinyi muendelee kupigana marisasi mpaka nyote muishe.
Vitu ambavyo kenya tuna vichukulia kama vya kawaida kama billboards au free speech tanzania ni anasa kubwa sana.
Licha ya kua katika campaign period, uchumi wetu ndo unakua kwa kasi kuliko nchi zote EAC, watalii wanafurika furi furi, miradi inazinduliwa/endelea kila kona etc aisee we have matured bana.










