ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wakenya hatujawahi pinga kwamba Tanzania mumebarikiwa na mwenyezi mungu kwenye natural resources. Tatizo lenu ni lazyness uliopitiliza. Mna mbuga za wanyama nzuri, dhahabu, mazao ya kilimo nyingi kwa sababu ya ardhi yenye rutuba e.t.c lakini bado Kenya inawashinda kwenye gdp na gdp per capita. Yaani mna national parks nne kwenye hii top 25 list ya best national parks in the World na bado nyinyi ni masikini wa kutupwa? Aisee sijui mlirogwa na nani?
Tanzania is home to four travel destinations that have been ranked among the best in the world by TripAdvisor.
Here is the List:
1. Arenal Volcano National Park, Costa Rica
2. Jim Corbett National Park, India
3. Serengeti National Park, Tanzania
4. Maasai Mara National Reserve, Kenya
5. Kruger National Park, South Africa
6. Fiordland National Park, New Zealand
7. Denali National Park and Preserve, Alaska
8. Kilimanjaro National Park, Tanzania
9. Westland Tai Poutini National Park, New Zealand
10. New Forest National Park, Hampshire, England
11. Snowdonia National Park, Wales
12. Banff National Park, Alberta
13. Cilento and Vallo di Diano National Park, Italy
14. Jasper National Park, Alberta
15. Grand Canyon National Park, Arizona
16. Tarangire National Park, Tanzania
17. Ngorongoro Conservation Area, Tanzania
18. Freycinet, Australia
19. Vatnajökull National Park, Iceland
20. Grand Teton National Park, Wyoming
21. Bryce Canyon National Park, Utah
22. Plitvice Lakes National Park, Croatia
23. Chapada dos Veadeiros National Park, Brazil
24. Uluru-Kata Tjuta National Park, Australia
25. Zion National Park, Utah
Cc joto la jiwe![]()
Tanzania Beats Kenya in Best Travel Destinations [LIST]
Tanzania beat Kenya by recording four slots in top 25 positions.www.kenyans.co.ke
nyinyi wakenya musingekua lazy musingekua munakufa na njaa kizembe kwa dunia ya leo 🤣🤣🤣 hebu imagine saud arabia ni jangwa asilimia 100 lakini sijawah sikia wanakufa na njaa na tena wanawaletea misaada ya chakula
