Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatokea ukiwa jamaa mjinga sana
Hivi hiki kichwa cha mgr kinaenda speed gani na kinabeba tani ngapi ya mizigo?
😁 😁 😁 😁 😁 nimepiga kwenye utosi eti???
Uwezo ni 100 cargo trucks, kuhusu speed kwenye MGR its another case, subirini tumalizie connection tuje tuongee VIZURI
1657524926199.png
 
Nategemea wataelewa unachosema na hawatokubali this time lazima pachimbike.
Kinacho wauma ni kwamba tunaenda kua na free, fair, credible and peaciful election kushinda ile ya mchoma vifaranga.
We mwenyewe si unaona hapa ndani tumetulia hatuna ugomvi na wiki zimebakia nne. Mpaka sasa hakuna mtu amemtaja atakaye mpigia..
Nyinyi mnaomba tupigane ndo mpate afueni kidogo manake uhunye kawapeleka moto na ma- projects bumper tu bumper.
 
Mchoma viranga na Babu ni ndugu, na hilo mtabisha, sema tunatofautina nyakati. Sisi tulianza nanyie mtafuata 😁 😁 😁
1657525556637.png
 
Zimbabwe poised to begin oil drilling in August​

8 July 2022, 11:37 AM |
Ephert Musekiwa
Ephert Musekiwa | @SABCNews

[File Image] A view of the Adriatic liquefied natural gas (LNG) terminal.

Image: Reuters

Zimbabwe is poised to begin drilling oil next month following the arrival of the first batch of drilling equipment in the country.

Prospective drilling for oil and gas in the Muzarabani area was initially set for June, but had to be postponed due to customs clearance delays for the drilling rig in Tanzania, where the equipment was mobilized and in Mozambique where it arrived en route to Zimbabwe.

Australian firm Invictus Energy, which is exploring for oil and gas in Muzarabani, reported that results of the recently conducted Seismic survey revealed more potential oil and gas than had been previously expected.

Invictus Energy managing director, Scott Macmillan says, “The site was completed last week and handed over to our civil contractors and has been waiting there for over a week.”

“The remaining 110 loads will arrive at the rill site over the next few weeks and it would be constructed ahead of the drilling. The second milestone was the release updated risk assessment which was conducted by ERCE, a leading petroleum consultancy.”

The video is reporting on oil drilling in Zimbabwe:

Tuandae kulipa fidia watu, crude oil pipeline nyingine 😛
 
Kinacho wauma ni kwamba tunaenda kua na free, fair, credible and peaciful election kushinda ile ya mchoma vifaranga.
We mwenyewe si unaona hapa ndani tumetulia hatuna ugomvi na wiki zimebakia nne. Mpaka sasa hakuna mtu amemtaja atakaye mpigia..
Nyinyi mnaomba tupigane ndo mpate afueni kidogo manake uhunye kawapeleka moto na ma- projects bumper tu bumper.
Kenya haiwezi kufanya uchaguzi bila watu kupoteza maisha, Wala msitafute visingizio, mkipigana au msipopigana, wahusika wakuu ni ninyi wenyewe, sisi hata tukiwaombea mazuri lakini ninyi wenyewe mkiendeleza ukabila haiwezi kuwasaidia

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wanajionaga wamarekani kwenye masuala ya demokrasia hapa EAC. Lakini hakunaga uchaguzi unao mwaga damu kama wa 254, yaani mpaka The Hegue waliishaburuzana wakati sisi hatuna historia na The Hegue
 
Unatokea ukiwa jamaa mjinga sana
Hivi hiki kichwa cha mgr kinaenda speed gani na kinabeba tani ngapi ya mizigo?
Unataka kufananisha speed ya locomotive ya kisasa ya mgr ya Tz na hiyo mitungi yenu ya mwaka 1940's we utakuwa ni kichaa.
 
Back
Top Bottom