Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Mimi nafurahia demokrasia ya aina hii. Viongozi wakileta ujinga tunawang'atua kwa nguvu ya umati. Tunaingia ikulu kimabavu tunakunywa chai na kupumzika kwenye viti vya ikulu na kulala kwenye vitanda vya ikulu.Hawa jamaa waganda wakiona cjui watajisikiaje daaa na vile wamekaliwa na m7






