Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Tuendelee kuishi kwenye old schoolWe ni kinyesi tu
Uhuru na Rutto 😀😀😀😀
Tuendelee kuishi kwenye old schoolWe ni kinyesi tu
Zile mbwembwe zote eti "first buret train in africa" kumbe itakua inapiga on average 120-130km/hBora avarage ya 160km/hr hiyo yeni 120km/hr, basi kuna uwezekano wa kutembea 60km/hr![]()
![]()
😛
Ni nini cha kucheka hapa we ubongokulala?Haoooo 😁 😁 😁 😁 😁
View attachment 2287037
Humuoni Ruto na Uhuru???Ni nini cha kucheka hapa we ubongokulala?
Ebu leta picha ya SGR ya Danganyika kama hiyo
Hatuna picha kama hiyo please, tuna hii hapaNi nini cha kucheka hapa we ubongokulala?
Ebu leta picha ya SGR ya Danganyika kama hiyo












Hawa jamaa wamajikamatisha wenyewe. 14milion people are under nourished and at the same time 14milion people live in extreme poverty........kama mtu unaakili unajua kabisa kuna uongo.nchi ya GDP inaumbuka
H10 series locomotives ya MGR Tanzania inavuta 100 wagons at a top speed of 120kph. That is equivalent to 200TEUsUnatokea ukiwa jamaa mjinga sana
Hivi hiki kichwa cha mgr kinaenda speed gani na kinabeba tani ngapi ya mizigo?
Mchina mwamba sana anajua kufanya kiini macho kwenye stations lakini kwenye miundombinu ya msingi ambayo haiangaliwi kwa jicho la kawaida bali la kitaalamu huko ndio kapiga ile mbaya.
Yenu inafika huku?Na umeme huo speed ni 160km/hr![]()
Kadanganye wenzako wasiojua vitu huko.OPERATING SPEED ya diesel-electric trains za Kenya ni 120km/hr. DESIGN SPEED ya sgr kenya ni 220km/hr+ ikiwa electrified na electric trains. Nafasi ya kueka nyaya za stima tayari ipo kwenye tunnels na viaducts. Chinese Class one standard sgr
DESIGN+OPERATING SPEED ya SGR ya Danganyika ni 160km/hr max ikiwa electrified na electric trains. Haitawahi pita hapo. Turkey AREMA standards sgr
![]()
Mzee huoni kuna tatizo hapo. Kulikua na haja gani ya ku-electrify kama mtanunua mitumba slow trains na kujenga inferior rail.Yenu inafika huku?
Acha ujinga reli ambayo sio continuous welded cannot speed above 120kph hiyo ndio top speed but average speed ni 80kph for passengers and 60kph for cargo.OPERATING SPEED ya diesel-electric trains za Kenya ni 120km/hr. DESIGN SPEED ya sgr kenya ni 220km/hr+ ikiwa electrified na electric trains. Nafasi ya kueka nyaya za stima tayari ipo kwenye tunnels na viaducts. Chinese Class one standard sgr
DESIGN+OPERATING SPEED ya SGR ya Danganyika ni 160km/hr max ikiwa electrified na electric trains. Haitawahi pita hapo. Turkey AREMA standards sgr
![]()
Wewe hujui kitu kuhusu electric trains zungumzia tuu trains za diesel.Haiwezi kua expanded, kwani mtatumia nuclear trains ndio speed iongezeke?
Mkuu mbona unapiga kwenye chembe ya moyo utaua mtu bure hapaHatuna picha kama hiyo please, tuna hii hapaView attachment 2287086View attachment 2287088View attachment 2287092

Hii siku naingoja kwa hamu sanaIpo siku watakelana humu na mmoja wao ataamua kama mbwai mbwai ndipo utagundua Kenya ni zaidi ya uozo.



Aibu hiina hii je