Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi unakosea,mtaje aliekua anaficha,sema fulani alikua anaficha takwimu,ukisema sisi ni kwamba unatulazimisha sasa
😃😃😃
Nimekuelewa ndugu. Rais Magufuli alikuwa akificha data za corona na hata kuwaaminisha watanzania wengi kwamba corona haipo
 
Hiyo GDP unayotaja ndio imetubeba coz mahindi tunanunua na hela zetu. Umewahiona tukija kutembeza bakuli Tanzania?
 
Kwani political promises are they not entrenched in party policies? Policies ndio zinazokuwa implemented baada ya kupata mandate ya kuongoza serikali na ndio utendaji hupimwa hapo.
Promises are made to be broken, so they say. But you can't lie to me that you did something and I know you didn't do it and you expect me to believe you and praise you for that.

On the same note, you can't do what you promised to do but do it in a different way then expect me to praise you as well. It doesn't happen that way.

Magu did the things he did but lied to you that he did them with Tanzanian's money, that there was no borrowing of any sort. That's the highest form of deceit. Jubilee did not deliver on some of their promises but the ones that they did deliver on we know were funded by loans. There was no lying!
 
Umasikini ipo kila nchi and last time I checked, Tanzania had more people living in extreme poverty than Kenya.
Naona unawashwa kaka,Wakenya wenzio wanaichukia sana hiyo nchi mpaka wanatamani wangekuwa waTz.....Hawa wanaujua ukweli achana na mzushi kama wewe 👇👇👇
 

Attachments

  • S20709-102337(1).jpg
    85.7 KB · Views: 19
Kama hamjui, leo mjue Lugha ya kiswahili mwenye hati miliki ya hiyo Lugha ni Tanzania hivyo Kenya mtabaki kuwa chawa tu milele [emoji2][emoji2][emoji2]
Kiswahili ni mchanganyiko wa kimijikenda+kipokomo+kitaita+kiarabu. Hakuna lugha ya tanganyika hata moja ndani yake.
 
The same way Kenyatta built 10,000 km of roads in ten years is the same way he increased our electricity access rate from less than 25% in 2013 to the current figure of 85%

It was a revolution in such a short period of time. He might have erred in many areas but we also give credit where credit is due

But hii yenu ambayo serikali inasema connected households is 2.7m and then access rate is 84% leaves a lot of grey areas
 
Mimi mwenyeji wa mikocheni b, wacha dar propaganda boy nimezunguka tz, dodoma,morogoro, tanga,arusha,loliondo, serengeti,ngorongoro,mpaka vijijini mimi si wewe mpuuzi wa kuokota mapicha [emoji1787][emoji1787]
Ulivyo andika tu unaonekana hujawahi kukanyanga Tz mpaka unachanganya kata,wilaya na mikoa sehemu moja.....Eti ngorongoro,serengeti,loliondo mara morogoro 😢😢 Ongeza bidii ipo siku utafika tu maana ndio kimbilio kubwa wakenya kwa sasa
 
Eid Mubarak Kunyans.....Dar mpaka huku uswahilini kuna barabara za maana ila kwa pale Nairobi utaishia kuziona CBD pekee lakini kwa Mathare,Kibera au Korogocho hali ni mbaya sana ni kama wanaishi wakimbizi
Mbulahati Dar 👇👇
 

Attachments

  • FB_IMG_16573681250856168.jpg
    89.1 KB · Views: 20
Biashara Kati ya Kenya na Tanzania haijawahi kusimama, kila kitu kinajulikana, iweje ghafla mnataka mazungumzo ya Bei?, Wacha nguvu ya soko ndio iamue Bei ya chakula, sio mazungumzo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mazungumzo gani ya bei tulitaka wewe bongolala? Kenya wanted to negotiate with Uganda and Tanzania on the assurance that the two countries won't sell maize to other countries at Kenya's expense.

In fact, Kenya wanted its share of imported maize from these two countries raised. There was no mention of price negotiation sasa sijui hayo madai umeyatoa wapi.

Read this article below unionyeshe where price negotiation is mentioned
 
👇 👇
 
Hiyo GDP unayotaja ndio imetubeba coz mahindi tunanunua na hela zetu. Umewahiona tukija kutembeza bakuli Tanzania?
Shindaneni na sourh sudan sasa kununua mahindi market forces zifanye kazi vikao vya ununuzi wa mahindi vya nini sasa?
 
Kiswahili ni mchanganyiko wa kimijikenda+kipokomo+kitaita+kiarabu. Hakuna lugha ya tanganyika hata moja ndani yake.
Kama Tanzania tungekuwa na fikra potofu za kusujudia lugha ya malkia badala ya kiswahili hii lugha ungekuta imeshajifia kitambo ila we made swahili our national language na tukawafundisha wapigania uhuru wa Southern Africa hii lugha na hata Uganda swahili ni military language na hii inatokana na engagement ya TPDF huko ila sasa ndio itaanza kuingia mtaani baada ya serikali kuridhia kiswahili kitumike nchini humo.
 
Hii Picha alipiga ili amlingishie dadaako au [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uhaba wa chakula sio poverty bongolala. Tungekosa hela za kununua hiyo mahindi tuje kutembeza bakuli ndio hapo ingekuwa poverty. Lakini tunakuja na hela zetu
Na misaada ya chakula nayo huwa mnalipia sh ngp vileee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Demand always dictates the direction ya flow of goods. Demand also affect the price of goods. The higher the demand the higher the price.

Sasa kama demand kwenu ni kubwa mbona mnataka assurance ya kuwauzia chakula? let the market determine movement ya goods otherwise muache janjajanja hapa.

Issue hapa ni kuwa south sudan offers good prices for food sourced from EA, Tanzania now operates cereals warehouses in Juba and Congo apart from Mombasa hence Kenyan middle men are cut off from the lucrative business ndio kelele yote hii unayosikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…