Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu ukiangalia bidhaa yao kubwa huku labda panadol,vitu vingi tulivyokua tunachukua kwao sasa hivi vinatengenezwa hapa hapa TZ,kikubwa nachofikiria serikali ingerudisha NMC iwe inanunua mazao kwa wakulima halafu hawa wakunya tuwauzie unga,sukari,maharage n.k vikiwa kwenye vifungashio
Ni sawa mkuu, ila sera ya serikali ni kuachia "private sector" kufanya biashara, labda katika maeneo ambako private sector Haina uwezo bado, au ni maeneo nyeti kwa uchumi Kama reli na umeme

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Most of the goods mnatuuzia ni raw materials yaani bidhaa ambazo hazipo processed hususan mahindi. Nenda border uone mlolongo mrefu wa malorry ya mahindi kutoka Tanzania yanayoingia Kenya. Maelfu ya malorry ya mahindi yanaingia Kenya kutoka Tanzania kila mwezi hususan baada ya mama kurudisha uhusiano mwema katika ya Kenya na Tanzania. Raw materials zingine mnazotuuzia ni nyanya, vitunguu, cabbage, matunda na kadhalika. Mnatuuzia chakula kwa asilimia zaidi ya 80 ya bidhaa mnazotuuzia.

Cc joto la jiwe
Unataka kusema hakuna finished products kutoka Tanzania zinauzwa Kenya? Konyagi zikizoteka soko la spirits Kenya zinatoka wapi?
 
Kaka ninakupa homework Google uniambie kama tanzania kuna nyumba za mbavu za mbwa kama hizi👇ukizipata nitag nifunge account
 

Attachments

  • downloadfile(3).jpg
    downloadfile(3).jpg
    70 KB · Views: 12
Aliyekuambia sijui trading protocols za EAC ni nani? Wewe kaa ukijua kwamba hatukubali sukari yenu huku Kenya. Unga wenu uliosagwa pia hatuukubali huku Kenya. Tunanunua raw materials pekee ikiwemo mahindi ambayo haijasagwa. Kaulize Uganda ambao wanaumia kwa kujaribu kutuuzia manufactured goods kama maziwa ya pakiti na sukari. Lazima tuprotect industries zetu kutoka kwa low quality, sub-standard goods kutoka nchi jirani.

Cc Geza Ulole
joto la jiwe
Hauukubali wewe na nani? Lini uliletwa mkaukataa?
 
Kwani hiyo chakula tunapewa bure? Mahindi zote zinazoingia Kenya kutoka Tanzania tunanunua. Sasa tukisema sisi ni tajiri tatizo iko wapi?
Mbona msishindane na nchi zingine katika soko mnataka tuwawekee pembeni?, Mbona Uganda wamewacha kuwauzia mahindi kwasababu Bei yenu ipo chini kuliko South Sudan Kama ninyi ni matajiri?, Kwanini mnashindwa kula Milo mitatu kwa siku kwasababu Bei ya unga imepanda?, Huo ni utajiri gani mnashindwa hata na South Sudan?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya needs to rebase its economy upwards so as to create more space for more borrowing

Lets say a GDP of $300bn will help reduce the debt to GDP ratio to below 30%

Just thinking as a normal kenyan


East African Country With The Largest Public Debt: Comparison Between Kenya And Other EAC Countries

News Hub Creator

Jul 9, 2022 8:43 AM

Public debt is a public finance terminology that is used to refer to the amount of money owed by a government or state to lenders. Lenders could either be private lenders or foreign lenders. Public debt is also known as government debt or national debt.

When the government owes the debt to lenders who are from foreign countries, it is referred to as external debt while if the lenders are from within the country, the debt is called internal debt. The public debt can also be classified as long-term or short-term depending on the repayment period.

Despite the government’s borrowing being a major booster for development, the government debt if too huge leads to a government budget deficit every financial year.
Despite a government taking big loans from both internal and external lenders, it is always the responsibility of the citizens in the majority of the countries to repay the loan through various means including taxation.

Public Debt in Kenya

Up to the year 2021, Kenya's cumulative public debt stands at Sh7.7 Trillion. If this loan is to be paid in cash by all the 47 million Kenyan citizens, each person could pay a total of Sh150 thousand.
Benefits and Problems of Public Debts

The main advantage of the loans that the government takes from lenders within the country or foreign countries is that the money largely contributes to the development projects in the country. These projects help in growing and expanding different sectors of a country's economy such as the transport sector, education sector, industries, and other economic infrastructure. Government borrowing also largely contributes to expanding a country's GDP and helps open up the country.
However, huge public debts have so many disadvantages to the borrowing country. The major problem of government debts is very huge interest rates. The interest rates drag the country's economy behind. If the money borrowed is poorly invested, the country ends up making losses during the repayment of the debts.
Comparisons Between Kenya and Other East Africa Countries

The public debt is always rated as per the GDP of the country. According to the International Monetary Fund (IMF), a country is not supposed to borrow beyond 40 percent of a country's GDP. However, in Kenya, the Sh7.7 trillion debt is equivalent to 70 percent of Kenya's Gross Domestic Product.
In East Africa, Kenya is the leading country with the largest public debt compared to the other countries. Both Rwanda and Burundi have a public debt of 69%. Uganda which is one of Kenya's neighboring country has a public debt of 51%. Tanzania on the other hand has a public debt of 39 percent in relation to its Gross Domestic Product. South Sudan as of now has a national debt of 46.97%. In Ethiopia, the government debt stands at 59%.
However, there are other African countries with very huge public debts that are beyond 100%. A good example is Zambia which has 120% public debt while in Angola the debt stands at 108%. In Ghana and Mozambique, the public debts are 75% and 24% respectively.
 
Naona Ruto ameiga rangi ya CCM, naona anataka kuwalaghai Wakenya wamchukulie kama Magufuli, najua wagombea wengi wa Kenya watatumia sn jina la Magufuli kushinda uchaguzi.
and what is CCM in the first place.! aah!.
ruto amepata inspiration toka afrika kusini, anasema anaiga mfano mzuri wa nelson mandela ndo sababu akachukua rangi za ANC
Screenshot_20220709-105347_Gallery.jpg
BN-WQ087_3kIcY_FR_20171217074828.jpg








Ruto's UDA Party colors👇🏽
unnamed (9).jpg
490cde512a95d0d5.jpg
Screenshot_20220709-105730_Gallery.jpg
 
Bongolala, mahindi tunanunua from as far as Mexico. Hata sasa hivi, serikali ishafanya order ya mahindi kutoka Zambia.
Sasa Zambia nayo ni mwanachama wa EAC?

Kuhusu swala la ufukara, tutawakumbusha hadi lini kwamba nyinyi ndio taifa fukara zaidi kushinda zote ukanda huu? View attachment 2284997
Kwanini mnaomba "special favor" kutoka Tanzania na Uganda badala ya kuingia sokoni kupambana?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Aliyekuambia sijui trading protocols za EAC ni nani? Wewe kaa ukijua kwamba hatukubali sukari yenu huku Kenya. Unga wenu uliosagwa pia hatuukubali huku Kenya. Tunanunua raw materials pekee ikiwemo mahindi ambayo haijasagwa. Kaulize Uganda ambao wanaumia kwa kujaribu kutuuzia manufactured goods kama maziwa ya pakiti na sukari. Lazima tuprotect industries zetu kutoka kwa low quality, sub-standard goods kutoka nchi jirani.

Cc Geza Ulole
joto la jiwe
Which industries are in Kenya, you almost import each and everything from China and India, now Tanzania is replacing China, India and South Africa as a major source of imports of all EAC countries including Kunyaland, our biggest export destination is Kunyaland within EAC.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom