Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nimefika morogoro mpaka mkata na hio route ina trailer nyingi sababu ya copper from zambia na drc plus ni route ya dodoma na iringa, si kama arusha route, wako justified kupeleka train moro
Is better , just explain to your fellow kunyan , wanadhani Moro ni small town . Ni sehemu kubwa sana moro pia ni njia panda ya kuelekea southern Highland iringa , mbeya na mikoa mingine na kwenye central Dodoma , singida na kwingineko . Ukiwa moro hata usiku unaweza kwenda mwanza ndio uelewe Moro uwa usiku kama mchana . Uwa panakuwa na mishe mishe sana
 
umeme haina nguvu tosha ya kubeba tonnes ya mizigo mchizi wangu..... niulize mm mhandisi nikujibu.

this Tz's multi billion dollar mega project is only limited to tanzanian passengers, period.! heri ata ingekua ya fossil fuel kama yetu, na ibebe abiria pamoja na mizigo ya DRcongo, burundi, rwanda na Uganda... hapo my brothers mngekua mme kill it!.. ingekua na manufaa maradufu... ingejenga sana uchumi wa tz

lakini kwa sasa wacha tujitayarishe kutizama tu maua, yani bonge la binti atakaye tubabaisha na maumbile ya kukata na shoka.......

nb: mwanamke sio urembo... ni tabia na anaye chapa kazi
Unataka niamini power generated by electricity inakua na less energy than energy generated by fuel . Bro mi sio injinia lakini nimesoma physics o'level na advance law conservation of energy inasema "energy can not be created or destroyed but it can transformed from one form to another " kifupi energy inayotakana na umeme inaweza kuwa converted to any form of energy na ikawa na same efficient. Ila ujue huku Tanzania ukisoma physics advance unasoma vitu vingi sana wanaoendelea kusoma engineering huko mbele vingi vinakuwa révision haswa kwa mwaka wa kwanza . Kwa unachojaribu kusema kua kilo kumi ya pamba ni nyepesi kuliko kila kumi ya mawe which is totally wrong
 
Kwahiyo umeme inayofua hiyo generator ya gari moshi yenu unanguvu kuliko umeme wa kwenye grid ya taifa sio according to you. Wewe ni bonge la kilaza hata hujui treni inafanyaje kazi.
 
but am well vast with more mature established countries than your shithole kantiri, even prior to joining this thread.! niulize nikujibu. sasa nijisumbue na nchi ambayo tunaipiku kwa kila kitu mpaka saa ngapi.. tht will be a waste of my precious tyme! sina tyme na tanganyika, a Least-Developed-Country
Acha kujidhalilisha hapa wewe ni mshamba huna exposure yoyote zaidi ya Kenya period.
 
FB_IMG_16572549603245315.jpg
 
Mbongo anataja majina ya kingiriki kama ya kizaramo 😅😅😅

Intel ya wabongo ni shida

Mkunya hata kusoma kiswahili hajui tena huyo ni speaker wa Bunge, kisha utayasikia kiswahili ni chetu 😅😅😅

Unataka niamini power generated by electricity inakua na less energy than energy generated by fuel . Bro mi sio injinia lakini nimesoma physics o'level na advance law conservation of energy inasema "energy can not be created or destroyed but it can transformed from one form to another " kifupi energy inayotakana na umeme inaweza kuwa converted to any form of energy na ikawa na same efficient. Ila ujue huku Tanzania ukisoma physics advance unasoma vitu vingi sana wanaoendelea kusoma engineering huko mbele vingi vinakuwa révision haswa kwa mwaka wa kwanza . Kwa unachojaribu kusema kua kilo kumi ya pamba ni nyepesi kuliko kila kumi ya mawe which is totally wrong
electric energy horsepower is very efficient and user friendly, but it's only shortcoming is that, its so weak. even if you augment it with gears..
by da way we had a physics lecturer here... where is he.. angekujibu mara tht!
 
mimi nilikua natarajia kichwa kama nyoka... kumbe tu ni Fuso ndo tunaletewa.!🤔 makosa sana. hapo tumechezwo View attachment 2283728
vs
View attachment 2283735
Ni kwa sababu akili yako inakalili,kama nyinyi wenye GDP kubwa mlileta vitu vya ajabu sisi wenye GDP ndogo tutawezaje kuwa na modern na first class.Tutaanza operation lakini tutakuwa Bora zaidi
 
electric energy horsepower is very efficient and user friendly, but it's only shortcoming is that, its so weak. even if you augment it with gears..
by da way we had a physics lecturer here... where is he nowdays.. angekujibu mara tht!
Dah bro mi sio engineer lakini physics naipenda , kwa hiyo huwezi niyumbisha kihivyo kwenye physics . Hapo hilo wrong mkuu
 
Ni kwa sababu akili yako inakalili,kama nyinyi wenye GDP kubwa mlileta vitu vya ajabu sisi wenye GDP ndogo tutawezaje kuwa na modern na first class.Tutaanza operation lakini tutakuwa Bora zaidi
nakwambia iko na kichwa kama ya Fuso ama Isuzu cxz, lakini naona bado una try kubisha....

hii ni wewe.!👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

Screenshot_20220707-221004_Chrome.jpg
Screenshot_20220708-082919_Chrome.jpg
 
electric energy horsepower is very efficient and user friendly, but it's only shortcoming is that, its so weak. even if you augment it with gears..
by da way we had a physics lecturer here... where is he.. angekujibu mara tht!
Diesel runs the world heaviest engines
 
Diesel runs the world heaviest engines
and infact all EarthMovingEquipments, all LongDistanceTracks and Trailers on transit use diesel and not even petrol, then how about electric energy in heavy multi tonne haulage!?🤔 yafakari hayo

nb: and that's why their so called ultra modern sgr was not connected to dar port anyway..
 
Is better , just explain to your fellow kunyan , wanadhani Moro ni small town . Ni sehemu kubwa sana moro pia ni njia panda ya kuelekea southern Highland iringa , mbeya na mikoa mingine na kwenye central Dodoma , singida na kwingineko . Ukiwa moro hata usiku unaweza kwenda mwanza ndio uelewe Moro uwa usiku kama mchana . Uwa panakuwa na mishe mishe sana
Nimekaa moro maraa kadhaa nikaingia hapo samaki samaki, nikapitia Sokoine uni na uluguru mountains
 
Asante kwa kukubali kwamba Tz ina petro stations nyingi kuliko Kenya na pia kukubali kwamba Tz ina gari nyingi na vehicles nyingi kuliko Kenya, asante sana.
Hii ujinga wa kulazimisha mambo utaacha lini bongolala? Ni wapi nimetaja kwamba Tanzania ina magari nyingi kushinda Kenya? Can you prove these claims?
 
Asante kwa kukubali kwamba Tz ina petro stations nyingi kuliko Kenya na pia kukubali kwamba Tz ina gari nyingi na vehicles nyingi kuliko Kenya, asante sana.
sijui nta tumia lugha gani kukueleza kua tunawazidi kwenye kila takwimu. idadi ya magari ikiwemo
 
Back
Top Bottom