chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,120
Kitu kimeshafika BBC. Charity Ngilu, Esther Pasaris wameham-condemn
Kunyaland inaonekana ni a certain village huko duniani
Kitu kimeshafika BBC. Charity Ngilu, Esther Pasaris wameham-condemn
Wajaluo ndio slum masters, Kibera yote ni yao, yaani slum dwellers wamemfanya odinga akawa maarufu how many are they!Nimeangalia report DW walikuwa wanaonesha maisha ya wakazi wa Nairobi jinsi yalivyo,kiukweli kidogo nilie😭😭 nimeona bado Waafrika tuna kazi kubwa sana ya kufanya hasa kenya🇰🇪 Yani unakuta mwafrika anaishi kama mbwa...Kibaya zaid kilicho niumiza wakazi wengi wa hapo ni WAJALUO(kabila langu) ndiyo maana wakikuyu wanatuzidi akili sana,tunapaswa kuamka tuache sifa za kipuuzi na wakati hali zetu mbaya sana
Daah uwa inaniuma sana kila nikitembelea kenya,uganda au south Sudan....utakuta wakikuyu,wanyankole au waganda wapo vizuri kweli kiuchumi lakini luo KE,walango,waacholi,jopadhola,jonam,hao wale wa jaluo kutoka gambella Ethiopia hali zao taabani kabisaOmera polee...!!
Kenya sio nchi ya CCM (Chama Cha Mafala) inayotegemea propaganda ili iendelee kukaa madarakani, na pia KRA ni taasisi huru, peleka ujinga na hasira mbali😂😂😂, Jubilee ambayo ndiyo iko mamlakani haina mgombea urais., siasa ni Raila wa muungano wa Azimio na Ruto aliekosana na Uhuru., wacha porojo, mko na uchumi hafifu, wewe jiliwaze na Kibera na propaganda za mitandao na media uwache uongo, jipende mlivyo, haubadilishi ukweli😂 😂 😂 😂 😂 😂Jambo moja ambalo unapaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi hapo kenya,kwahyo lazima serikali ijioshee kwa wapiga kura kuwa imekusanya pesa nyingi sana na wakati ni utumbo mtupu😂😂....Namuona RAO akiapishwa soon,Politic is science
Ameumia, ukweli huwa inawatesa sana, sasa wanatafuta matako ya Kenya wajiliwaze, mifukara idiots 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Propaganda boy ameamka tena
Kweli kabsa yule jamaa kajinufaisha sana kutoka kwa wajaluo toka akiwa mbunge pale kibera na watoto wake wana pesa chafu lakini ukitembelea kule kwao Ramogi hali ni mbaya sana,wapo karibu na ziwa Victoria lakini maji au chakula ni shida wanasubiria waaagize tanzania wapate kulaWajaluo ndio slum masters, Kibera yote ni yao, yaani slum dwellers wamemfanya odinga akawa maarufu how many are they!
Kama Uganda kabisaa, nyama inauzwa wazi wazi kwa streets, wametandanza kwa meza 😂 😂 😂 😂 , Kenya ministry of health officers wanaku arrest., kwanza nyama!!Ushuru watoe wapi kama hizi ndio butchery zao. 🤣 🤣 🤣 Hadi machinga wanauza nyama.
![]()
![]()
bana uongo haitakuponya kilaza😂😂😂😂😂😂😂Kweli kabsa yule jamaa kajinufaisha sana kutoka kwa wajaluo toka akiwa mbunge pale kibera na watoto wake wana pesa chafu lakini ukitembelea kule kwao Ramogi hali ni mbaya sana,wapo karibu na ziwa Victoria lakini maji au chakula ni shida wanasubiria waaagize tanzania wapate kula
Be open minded....Hiyo jubilee ambayo unaizungumzia ndiyo inayo muunga mkono yule kiongozi wa wajaluo ili kuondoa kitu kinaitwa historical injustice ambayo wakikuyu wakiongozwa na baba ake Uhuru kenyatta aliwafanyia wajaluo miaka zaidi ya 50 sasa,inshort ni kwamba Odinga ni shati tu pale AZIMIO ila mgombea ni Uhuru pamoja na Martha karua(Wakikuyu)Kenya sio nchi ya CCM (Chama Cha Mafala) inayotegemea propaganda ili iendelee kukaa madarakani, na pia KRA ni taasisi huru, peleka ujinga na hasira mbali😂😂😂, Jubilee ambayo ndiyo iko mamlakani haina mgombea urais., siasa ni Raila wa muungano wa Azimio na Ruto aliekosana na Uhuru., wacha porojo, mko na uchumi hafifu, wewe jiliwaze na Kibera na propaganda za mitandao na media uwache uongo, jipende mlivyo, haubadilishi ukweli😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hawa wa hizi levels nchi yote watoe wapi pesa? watu wa maisha ya kati wanaoishi kwenye kitovu cha uchumi wa Tanzania, Dar wanaishi hizi 👇 👇 standards what do u expect for real? hawa sio slum dwellers.., hawa ni kama Eastlands ya Nairobi.,,Tanzania could never.
Ona ulivyo kilaza, I am very objective and open minded, I believe in truth, sio porojo za kujiliwaza ili nijiskie vizuri, la, fact is anaye tumia track record ya serikali ku campaign ni Ruto., Raila hatumii jubilee gov't achievements ku campaign ata kidogo., wacha kuanika kutokuelewa kwako wazi wazi.,Be open minded....Hiyo jubilee ambayo unaizungumzia ndiyo inayo muunga mkono yule kiongozi wa wajaluo ili kuondoa kitu kinaitwa historical injustice ambayo wakikuyu wakiongozwa na baba ake Uhuru kenyatta aliwafanyia wajaluo miaka zaidi ya 50 sasa,inshort ni kwamba Odinga ni shati tu pale AZIMIO ila mgombea ni Uhuru pamoja na Martha karua(Wakikuyu)
Ebu kwanza tuambie ni nani wanakaa tandale, vingunguti , manzese, mbagala, kipawa etc
Wanakaa watz wenye nyumba za matofali ndani kuna tiles na kiyoyozi kwa mbaaali ila pale mathare na kibera wanaishi wakenya kwenye nyumba za mbwa,vyoo au store kwa huku tanzaniaEbu kwanza tuambie ni nani wanakaa tandale, vingunguti , manzese, mbagala, kipawa etc
weka nairobi to guangzhou tuone
Nyinyi mnaabufu kiingereza,nyoko!
Naona unabishana na ukweli ila ipo hivi almost 80% ya wana jubilee wanamuunga mkono RAILA sasa wewe endelea kukaza fuvuOna ulivyo kilaza, I am very objective and open minded, I believe in truth, sio porojo za kujiliwaza ili nijiskie vizuri, la, fact is anaye tumia track record ya serikali ku campaign ni Ruto., Raila hatumii jubilee gov't achievements ku campaign ata kidogo., wacha kuanika kutokuelewa kwako wazi wazi.,
Ukweli unabaki pale pale, taifa lenu ni fukara zaidi, linadhihirika kila uchao
Hizi taarifa huwa wanapewa na nani? Angalia sasa aibu anayoipata, ila kwa kuwa ni Afrika atajiona hajafanya makosa.Huyu mal*ya wa Fox News kule USA amepigwa vita na KOT. Hatawahi kutaja Kenya tena maishani mwake. Eti anadanganya kwamba pregnant women in Kenya cannot vote. Ilhali hapa Kenya wakati wa kupiga kura wanawake wenye mimba huwa wanawachiwa wavuke line.


Huyu kumbe ni mwendawazimu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , jipe shughli kilaza, ukadanganye wenzako pale vijiweni😂😂😂😂.,Wanakaa watz wenye nyumba za matofali ndani kuna tiles na kiyoyozi kwa mbaaali ila pale mathare na kibera wanaishi wakenya kwenye nyumba za mbwa,vyoo au store kwa huku tanzania
Karibia 80% ya jubilee wako na Dr. William Ruto, yaani central na Rift valley.., kilaza wachana na bangi haikupeleki vizuri, ona sasa unajipiga risasi kwa mguu😂😂😂, afadhali unge google tu kisha utudanganye eti unajua 😂 😂 😂 😂 😂 😂Naona unabishana na ukweli ila ipo hivi almost 80% ya wana jubilee wanamuunga mkono RAILA sasa wewe endelea kukaza fuvu