Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



FW98NgtXoAE8OeN



FW98OB5XgAEg3o1



FW98OOSXwAEEZmi



FW98OxGXkAAGavH



MY TAKE
Kuna Mpumbavu alikuwa anasema ati Mwanza port haina slipway! Sasa meli height ya 17-metre wide, 20-metre high (about 7 floors) na length nearly 93 m inatosha vipi na kind of slipway ya Mombasa?

FG4D0rmWYAApZ0q


FG4D0roXIAgl8yD


CC: Nicxie n nairobae
 
Nionyeshe nyumba hata moja hapo. Nionyeshe infrastructure yoyote kwenye hiyo picha. Ni nini kinaonyesha kwamba watu wanaishi hapo?

Sasa kwenye abandoned plot utaona kweli nyumba na infrastructure!!?
Be serious!!!
 
Sasa kwenye abandoned plot utaona kweli nyumba na infrastructure!!?
Be serious!!!
Abandoned? 😃😃😃😃
Is that how you call vichaka za Dar? Kwa hivyo hizo viwanja hazina wamiliki au argument yako ni nini haswa?
 
Back
Top Bottom