Sioni mtanzania wa kawaida akiacha ustaarabu wa kuendesha gari lake binafsi akapande BRT na huu msongamano. I personally would not. Only in communist state ambako watu unalazimishwa. Expressway ya Kenya ina ustaarabu wa kutumia gari lako personal kila wakati unataka na bado basi na matatu zikitaka kupita express kama BRT bado zinaweza lipia na kupita. Kenya killed 2 birds with one stone building the Nairobi expressway
View attachment 2282715
View attachment 2282720
Alafu SGR ya tanzania haingii port kwa hiyo hakuna kupakia mzigo direct kutoka kwa meli hadi >>> SGR train hadi >> dry port kama Kenya. Kwa hiyo hakuna foleni ya malori SGR ya Tanzania inatoa kwa barabara sababu bado malori yatabeba mzigo kutoka dar port hadi pugu dry port 100km away from dar-is-a-slum
View attachment 2282719