Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heeh mmeachana na BRT mara hii?
Screenshot_20220703-160413~2.png
 
Baba will take this early in the morning. Ruto ain't bad but his appetite for corruption is what's worrying many voters, me included
Heheheheeee nilijua tu ukabila unaanzia hapa, mtaanza kupeana vitasa wenyewe kwa wenyewe soon
 
Wewe ukigeuka huku unasikia eco friendly electric sgr the longest in Africa connecting Rwanda, Burundi and Congo, mara julius nyerere hydro umeme wote wa kenya wanaotumia, kule $40bn lng, huku ports improvement and construction of marine vessels, kule fully functioning BRT, mara Dodoma modern city

Hapo lazima uchanganyikiwe mkuu.
ukigeuka over $4 bln EACOP project!
 
Ndiyo maana wako wengi kama mchwa, kanchi kadogoo kana watu over 60 million, yani wanapigana pipe kweli kweli hawana mchezo kwenye hilo eneo, wanakula mbususu mpk kwenye recreational parks.
Ni kweli bro 😀,yan hao hata abroad wanajulikana wakifika lazima waanzishe familia,binafsi nikiwaga na wakongo,wanigeria,waethiopia n.k uwa wanaongea sana kuhusu wakenya kupenda kuzaa zaa ovyo,si wa kike wala kiume,akiingia europe target yake kuzaa 😀,kumbe na kwao wako hivyo 😀
 
Ni kweli bro ,yan hao hata abroad wanajulikana wakifika lazima waanzishe familia,binafsi nikiwaga na wakongo,wanigeria,waethiopia n.k uwa wanaongea sana kuhusu wakenya kupenda kuzaa zaa ovyo,si wa kike wala kiume,akiingia europe target yake kuzaa ,kumbe na kwao wako hivyo
Waliokatazwa msizaane kina nani
 
Back
Top Bottom