Unaanzaje kutumia hela zako wakati kodi haujalipa..unafanya kama Magu alikuwa hakopi..cha maana nikufanyia kazi ya maana hela unayokopa..am not here kumtetea rais flani au kumponda..but kwa stage tuliyopo kuna neccesary mikopo ili kumalizia miradi
Magu alichukua mikopo naye tena commercial loans
1.Standard chartered 1.6bn
2.Credit suisse etc
2. Aslimia 60 ya wa Tz wanafanya kilimo unataka uanze kuwapeleka shule..kwann usitafute FDI itakayowanyaua wakulima huko nje
3.Walipa kodi hatuwezi ku foot bill ya miradi yote lazima ukope ila utumie hela vizuri kumaliza strategic projects ..mama hajaanzisha any big project mpya zaidi ya kumalizia za magu za SgR, na jnhpp
4.Kachukua mkopo IMF ..kaanza kujenga shule , huduma za maji na hospitali..kachukua 450mil usd usd kwa ajili ya vyuo world bank, kachukua mikopo afb ufaransa kwa ajili ya maji morogoro na shinyanga..unless hii mikopo haitafanya hizi huduma mm sioni baya
5.Cha maana ni kutumia Asia model kufanikiwa
cha kwanza kwa sasa ni kuimarisha Ajira kwa wa tz waliopo sasa hapa wengi ni wakulima na wana basic skills ili kutoa umaskini..kufungua sekta ya kilimo ambayo budget ime triple, kurudisha sector ya textile imdustries etc
cha pili kwa watoto wetu awamu ijayo kuwapa elimu ya masomo ya computer kuanzia wadogo ..maana dunia inaeleka huko .
cha tatu kwa wahitimu wetu kupeleka kuwasomesha nje ..hasa swala la madini , Gas extaction and processing na kuwa tie kwenye 5 to 10 year contact warudi ku develop nchi yetu ..hatuna ujanja..if you cant beat them join them
Tukijibana sana bila kuongeza wigo wa kodi..ambacho hicho ndo nalaumu Tz..hatutaweza kumalizia miradi haraka..na bado hatuna wasomi wakutengeneza hata machine za kuchimba..cha maana kusomesha watu nje warudi watengeneze vitu huku ndani