Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo testing inafanyika dar moro alafu uko apa unaongea matope
Kwani huyu jamaa huwa ana shida gani kichwani? Chuki yake ni kwanini Magufuli alianzisha ujenzi wa reli.

Likija suala la mradi wowote wa Magufuli anajisikia uchungu sana.Bado ninatafakari hasira na chuki yake ni nini, nitapata tu jibu la uhakika [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kuna takwimu zinasema watanzania 3.8M tu ndio wanalipa kodi...yani uchumi wetu sio standard kabisa,ziko nyanja nyingi zinazalisha pesa alafu wanashindwa kuokota uko kodi ..wale wataalamu wa mambo ya uchumi hapa hua mnasemaje? Ndio wanafaa kufanya rebasing ili waweze kuziingiza izo nyanja ama vp...kiki sifahamu mambo ya uchumi
Kama ndio hiyo takwimu bado ni ndogo sana. Kodi ya majengo nayo bado hawajaweza kuisimamia vizuri wanapoteza pesa nyingi sana.
 
🤣🤣🤣 Peleka upuuzi mbele wewe, nje ya DAR kuna Hospitali kubwa (hata ndani ya Nairobi huwezi pata) zenye facilities za kutibu magonjwa makubwa
Hospitali kubwa ambayo haina hata PET CT Scan, nchi mzima iko Muhimbili pekee. 🤣 🤣 🤣 Hospitali zenu hazina vifaa. Those are big dispensaries with beds for accommodation.
 
It's an affiliate of Muhimbili, anyway tulikua tunaongelea nje ya Dar.
Ocean Road Hospital ni autonomous National Cancer Institute
 
Kuna baadhi ya media zinaumiliki Kwa mbali kutoka huko nje na pia baadhi wa Watu wa juu wanatoka nje huu hivyo ku influence vitu kama hivyo ni rahisi.. Inaweza pia ikawa ni bahati mbaya tu au makusudi.
Yeah! Inawezekana kabisa.
 
Ocean Road Hospital ni autonomous National Cancer Institute


1657034049480.png
 
[emoji1][emoji8] safi.. the fact that kashauri hivyo it means zinaenda kujengwa kweli.. but still nawaza kuhusu Dodoma stadium.. stadium kaizungumzia leo?
Indoor na football stadium za Dodoma zote nane nane kasema.
 
Back
Top Bottom