Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

.....
IMG_20220705_113550.jpg
IMG_20220705_113609.jpg
IMG_20220705_113738.jpg
 
Kwani hiyo ya Kibera and surrounding areas imekuwa zoomed?
Unataka tui zoom Kibera? Unaumizwa sn na ma slums yenu na kuyaondoa huwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mkunya na group lake alianza na kusema zanzibar ipo kama Lamu, baada ya kupiga hatua kumi aka change Gia angani akasema Mombasa has many to learn from zanzibar 😅😅😅 means hata Mombasa haifui dafu kwa zanzibar

 
The best president to me is the one who upholds the rule of law, human rights, respect democratic space, freedom of speech and association.

Sasa hapo nichagulie raisi wewe unayeona ananifaa.
Nani anayefuata hayo uliyoyasema kati ya hao wawili? Hakuna Rais wa Tanzania kutokea CCM atafuata hayo unayoyasema mark my words, kwanza mamlaka aliyonayo kikatiba hayampi hamu ya kufanya hayo uliyosema, narudia tena HAKUNA RAIS WA TZ KUTOKEA CCM ATAFUATA HAYO ULIYOSEMA hata Rais ungekuwa wewe.
 
Sasa hiyo $9bn ya ENi na paraphernalia zake ndio ime boost position ya Mozambique kwenye ile list uliyoshangaa kwanini Mozambique iwe juu.
Hakuna mambo ya paraphenalia wala nini. Eni lng ni $9 billion na Total lng ni $20 billion. Total valuation ndio hio $29 billion waliyopost hapo.
 
Back
Top Bottom