2017?unajua hata unachoongea au unatafuta company ya kupoteza nayo wakati..yani reli ilioanzwa kujengwa 2016 testing ifanyike 2017?Kuna wakenya wengine humu ndani wapuuzi sanaTesting mmefanya tangu 2017, hadi magufala alibebwa na test train [emoji23][emoji23] kama siwezi tembea Danganyikaland na nitengenze video kama hii nkibebwa na SGR hamjamaliza kitu.
Mablogger watanzania nikuiba picha za SGR ya Kenya kila siku
View attachment 2281677
9.7 bil usd is just 13% Tax to GDP ratio...Hawa TRA NI sawa na $9.7B
Hii deal ya barabara ni ya upumbavu sana wacha nikuambie. Mimi niliipinga kuanzia siku ya kwanza na nilifurahi ilipoanguka. Sasa kwa nini tupoteze pesa kujenga expressway kutoka Mombasa hadi Nairobi and yet tayari tuna reli ya SGR, ya MGR, na lami kutoka Mombasa hadi Nairobi? Hii ni the most useless project ever. Mimi nipo against it kabisa na vizuri ilijifia. Ukifuata comments zangu za zamani utaona niliupinga huu mradi. Baadaye wakati idadi ya magari itaongezeka basi mradi huu utakuwa sawa lakini sio sasa. Halafu ilikuwa expensive kishenzi, eti ilikuwa inacost around $3.2 billion. Yaani same price na SGR ya Kenya. Halafu US contractors wako expensive sana, kama ingekuwa ni Mchina anajenga basi mradi ungecost pengine $2 billion.Do we really need outsiders to tell us what is good for us and what is not? Enemies of African development are our own incompetent self centred leaders.
Why U.S Contractor Pulled Out of Nairobi-Mombasa Expressway Construction - Nairobi Wire
Following the completion of the Nairobi Expressway, the Kenyan government has set the ball rolling on a colossal road infrastructure project, the Nairobi-Mombasa Expressway.nairobiwire.com
Why U.S Contractor Pulled Out of Nairobi-Mombasa Expressway Construction
Nairobi Wire
Jul 5, 2022 6:49 AM
Following the completion of the Nairobi Expressway, the Kenyan government has set the ball rolling on a colossal road infrastructure project, the Nairobi-Mombasa Expressway.
Similar to the 27-kilometre Nairobi Expressway, the 482 Kilometre Nairobi–Mombasa Expressway will be a Public-Private Partnerships (PPP) road project.
The Ksh318.25 billion project was set to be undertaken by a US contractor; Bechtel Engineering, but the firm and the Kenyan govt couldn’t reach an agreement.
It is understood that Bechtel declined the financing model proposed by the government. The State wanted a similar model to the Nairobi Expressway, where the American firm would source funding and then recoup its cost through toll fees.
Bechtel Eng. insisted on a contract model where the government would pay for the construction of the expressway.
The U.S contractor reasoned that the public-private partnership model would inflate the cost of the Ksh318 project to Sh1.6 trillion since it would involve borrowing and interest payments which it did not want to get involved in.
“Our approach will always set out to minimize building costs and pursue the fiscally responsible option,” the firm’s spokesperson Aileen Easton was quoted by Engineering News-Record.
“We are committed to providing the best possible value of money for the Kenyan people.”
As a result, the Kenyan government contracted a Korean firm, the Korean Overseas Infrastructure & Urban Development Corporation Africa (KIND).
The firm has since presented a pre-feasibility study report of the Nairobi-Mombasa Expressway to the government.
The study focused on demand projections, traffic projections, and affordability projections for the project.
The Nairobi-Mombasa Expressway will start from Machakos to Mariakani and will turn the current two-lane into a four-lane carriageway.
Tsh50bil for 5year au sijaelewa?
Halafu kuna kenge hapa wanasema uchumi wao ni mkubwa labda kwenye makaratasi tuu.Miradi yote ya Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, and DRC combined haifikii thamani ya miradi ya Tz, evidence [emoji116][emoji116]View attachment 2281139
Wacha ujinga, PET scanner mlipata mwaka Jana August 2021, soma hiyo article hapo, kabla ya hapo wagonjwa toka Kenya walikua wanakwenda India na Tanzania, Tanzania siku zote ipo mbele ya Kenya Kati suala Zima la huduma za Afya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tatizo la Wakenya wengi hawana akili, tunapata tabu sana kuwaelewesha, ukimuelewesha leo anakubali kmy kmy kesho anarudia tena yale yale ya jana yn hawana akili kabisa.Ndio sababu nikakuambia huna akili ya kuendesha mjadala unatupotezea muda bure.
Labda Kama hurojali tafadhali tuambie "level" yako ya Elimu, kwasababu tunaona Kuna "gap" kubwa jinsi unavyojibu naswali, tunashindwa kukuelewa na huendani na sisi, inabidi tutumie nguvu nyingi kukuelewesha, tumeanza kukuchoka.
Wewe ulitaka kuonyesha kwamba Mombasa port inapokea mizigo mingi kuliko Dar port, Mimi nimekuambia hata ktk biashara ya export Kenya ilikua juu ya Tanzania lakini hivi Sasa Tanzania ndio ipo juu. Nilitegemea utaelewa ninamaanisha kwamba, muda sio mrefu hata Mombasa port itazidiwa na Dar port, badala yake wewe unazungumzia mambo tofauti kabisa, wewe akili yako ni ndogo Sana, hata Ichoboy alivyokua anazungimzia Exchange rate ya Ksh vs Tsh, ulijibu vitu vya ajabu sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kila route moja mfano ya Dallas, London, Paris, Guanzhou, na labda Frankfurt, Amsterdam na Rome huko mbeleni. Kila route iwe na wide body moja.Ohk ni sawa nilikuwa naangalia plan yao ya kuwa na watalii 5 mln by 2025 na the currently signing of BASA Agreements ndo maana nika-suggest at least 4 wide bodies zinahitajika maana sioni wakifikia hiyo target ya 5 mln bila Air Tanzania kuanzisha direct flights to US na EU!
Ndiyo style yao hiyo yn ni hovyo hovyo, wanasiasa wanakula pesa wanayaacha majibwa yakihaha kwa njaa, wanajenga mighorofa low quality tofali ziko uchi yn Kenya ni nchi ya hovyo sn, ni aibu kukaa hapa ku battle Tz vs Kenya ni aibu sn kwetu cc Watz.Hata kupiga plaster kuta za majengo yenu mtihani, ishara ya Shoddy jobs
Mnawezaje kujenga na kuacha tofali uchi hivi?
Baghdad style
View attachment 2281214
moja haitoshi kwa major routes zenye daily flights! incase ya maintenance! Ndo maana nikasema wide bodies zitaleta matatizo kwa London na hiyo Dallas route zikianza kuna uwezekano pia wa second and third routes Europe! Kumbuka Guangzhou ipo tayari! Tunahitaji at least 7!Kila route moja mfano ya Dallas, London, Paris, Guanzhou, na labda Frankfurt, Amsterdam na Rome huko mbeleni. Kila route iwe na wide body moja.
Kwa Wakenya mzungu ni Mungu na ndiyo maana mtu akikosea kingereza kdg basi mkunya matako yatamcheza kweli kweli lkn kiswahili kikikosewa matako yenu hata hayatingishiki.Kwa hivyo mzungu ni mungu hafai kufanya kosa?
Hujui kiswahili wala kingereza.Wewe unafaa kuangaliwa hicho akili chako kibovu
M.P. Shah Hospital Performs 25 Free Heart Surgeries - M.P. Shah Hospital
25 children with heart-related defects have undergone free medical operations at M.P. Shah Hospital sponsored by the hospital in collaboration with a medical team from Healing Little Hearts Charity and Jain Social Group.During the 10-day initiative that began on November 8 and ended on November...mpshahhosp.org
That was in 2016 at MTRH Eldoret when they did their first open heart surgery, kumbuka Nairobi na Mombasa imekua ikifanyika. Today it's listed as part of the Hospital specialized treatments.Unajua maana ya neno ya "regular medical procedures?. Kama unategemea baadhi ya wataalamu kutoka sehemu ingine wake kwako kufanya hiyo procedure kwa muda maalum, hiyo sio regular
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Embu piga hesabu GDP ya UG divide by population. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.Sasa mbona huyo jamaa alikimbia kutangaza upuuzi halafu World Bank wamempinga wazi wazi?
Uganda far from middle income: World Bank
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | The World Bank has put the per capita income of Uganda at 850 dollars for the financial year end 2022, with the economy growing at an estimated 3.7 percent. According to the Bank, this average income by a Ugandan is far below the lower-middle-income threshold...www.independent.co.ug
Nimecheka sana hii lugha iliyotumika humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama alipoingia alitangaza kwamba corona ipo, mask ivaliwe, social distancing ifanyike. Sasa hivi mnapokea watalii kwa sababu mama alisafisha mambo ambayo mwendazake alikuwa ameharibu. Hamgepata watalii ikiwa bado mngekuwa mnashupaza shingo kwamba hakuna cha kufuata mawaidha ya wanasayansi kuhusu corona. Pia biashara kati ya Tanzania na Kenya imeimarika kwa sababu ya upole wa mama. Hapo namshukuru mama sana. Najua Wakulima wenu pia wanafurahia sana. Huyo mwendazake alikuwa anaichukia Kenya vinoma.
Umemjibu vzr sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mbona Kenya, Uganda na Rwanda hampati watalii wengi Kama Tanzania pamoja na kwamba mlifuata taratibu zote za kujikinga na Corona?.
Kuhusu biashara na Tanzania, mbona bado Kenya mnaendelea chokochoko huko mipakani, au hata mama pia anaichukia Kenya?.
Kuhusu biashara Kati ya Kenya na Tanzania, wakulima wa Tanzania wanapata pesa, ila wakenya wanaokoa maisha ya wakenya ambao bila chakula cha Tanzania, wanakufa kwa njaa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii road itauwa wakenya wengi sana kila uchao mana ni low standard road haijazingatia quality.tayari tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna mali hapa ndani yes but why maendeleo bado? Jibu sahihi ni kwamba hatuna capital na technical know-how ya ku exploit hizo resources. Sasa where do we source capital and technology kama sio kwa wenye navyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ingia google earth andika chanika naona ww chanika huijui bado vzr [emoji23][emoji23][emoji23]