chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,688
- 45,946
Wezi hawa, wanasema kuna simu ya Samsung 😅😅😅
Sasa wewe umekwamilia hospitali moja hapo Dar wakati sisi tushakuletea zaidi ya hospitali nne sasa all in different parts of the country. Hiyo tu ni dhibitisho kwamba tupo mbele yenu.Dr.Kituyi said" we want to make these surgeries regular" that alone indicates these are not regular in Kenya.
In Muhimbili, about 10 to 15 surgeries are done per day by resident doctors.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
He keeps changing goal posts akishalemewa kwa hoja. Hata hiyo health cover utapata wako chini ya 10%😃. Vilaza wa mwishoUlianza na open heart surgeries tukakutandinka, ukarukia PET Scan tukakupiga kama mbwa, sasa umetorokea health cover. 🤣🤣🤣 Kesho pia ni siku.
Nimesema PET Scan usiwe mjinga, CT Scan hizo tunazo hadi kwa level 4 hospitals. Sasa niambie mkenya mgani anakuja bongo kufanya PET scan. In fact wabongo ndio munakuja Kenya kufanyiwa PET Scan ju line pale muhimbili at ''one facility'' sio mchezo. 🤣🤣🤣
View attachment 2281359View attachment 2281360
![]()
Mutomo Mission Hospital acquires the First PET-CT Scan in Eastern Region « Mauvoo News
Kitui county residents and those of neighboring counties have something to smile after Mutomo Mission hospital acquired PET-CT scannermauvoo.com
PET/CT – Imaging | IMIC Kenyatta University Hospital | KUTRRH
imaging.kutrrh.go.ke
Nyinyi bidhaa muhimu mnatuletea ambayo mmeproduce kama nchi ikawa finished product ni gani? Is it not rice? Is rice a finished product? Kenge weweKwahiyo Kenya hakuna bidhaa yoyote muhimu mnayotuletea zaidi ya sabuni na mafuta ya kupakaa mwilini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
How many people in Tanzania are covered by health insurance in terms of percentage?Why then only 20% are covered?, stop blah,,blah,, and face reality, hiyo bima ya Afya haisaidii wakenya kwasababu wengi hawana bima ya afya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jana umesainiwa mradi mungine tena wa sgr dola 900+ milioniMiradi yote ya Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, and DRC combined haifikii thamani ya miradi ya Tz, evidence [emoji116][emoji116]View attachment 2281139
Jambo la kwanza ninakuomba Kama huna uhakika na jambo Fulani, usijaribu kudanganya, huu ni utoto kuzungumzia vitu vya uongo, sipo hapa kupoteza muda.
1)Wakenya wenye bima ya Afya ni chini ya 20%, majority pay by cash from out of their pockets
2)PET scanner Kenya ni mbili tu, Moja ipo Agha Khan Hospital, na ule ya serikali ambayo imenunuliwa August 2021, kabla ya hapo serikali ya Kenya haikuwa nayo, ilikua ni Moja tu hapo Agha Khan.
3)Tafadhali Kama hujui mashine zinazotumika Hospitalini wacha kukurupuka, wewe ukiona neno CT scan unadhani vyote vina maanisha kitu kimoja
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha kutafuta pa kutorokea bongolala. Kwani unadhani nilitoa hizo picha za mashamba za mihogo wapi bila kufanya Google Search? Ni hekari ngapi hivi hizo shamba za mihogo?😂😂ingia google earth andika chanika naona ww chanika huijui bado vzr 😂😂😂
Unajua maana ya neno ya "regular medical procedures?. Kama unategemea baadhi ya wataalamu kutoka sehemu ingine wake kwako kufanya hiyo procedure kwa muda maalum, hiyo sio regularKama hingekua regular, ingekua ikifanyika Nairobi pekee ambapo inafanywa kwa hospitali mingi.
That's a protected/reserved land. The only one of its kind in the entire world. That's not some cassava plantation farms like those ones in Dar. How many acres are they by the way? 😂😂😂😂Wakati Nairobi kuna mpaka national park 😂😂😂 medieval primitive vibes 😂😂😂 metropolitan city na wilderness wapi na wapi? 😂😂😂😂
Wacha kukimbia swali, umesema huko Agha Khan wakenya walianza kutumia hiyo machine toka zamani kwa kutumia bima ya Afya, nimekuambia wakenya wengi hawana bima ya Afya, inaanza kubadilishia gear.[emoji1][emoji1][emoji1]Ulianza na open heart surgeries tukakutandinka, ukarukia PET Scan tukakupiga kama mbwa, sasa umetorokea health cover. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kesho pia ni siku.
Zimetapakaa mpaka cbd of courseUnazilinganisha na whole mabati shacks polluted your whole villages? 😂😂😂
Zike mud huts zenu je zilizotapakaa mpaka CBD?
Sasa kaka hauoni kama TRA wamesema wamefikia lengo lao la kodi kwa mwaka jana kwa asilimia 99.2 ..ambayo ni sawa na 10bilion usds..lakini budget yetu ni 18bilion usd ..Mkuu, umeandika kwa kirefu Sana, Mimi ninaomba nikujibu Kama ifuatavyo
1)Kukopa ni lazima na muhimu katika maendeleo ya mtu na nchi.
2)Hakuna rais duniani ambaye hajakopa, hata Nyerere alikopa Sana.
3)Pamoja na umuhimu wa mikopo ktk maisha, lakini mikopo sio mizuri, ukiweza kuishi bila mikopo ni Bora, ikishindikana, kopo kidogo, ukishindwa basi kopa Sana lakini ujue kwamba Hilo ni tatizo.
4) Nyerere, Mkapa na Magufuli, walikopa baada ya kuhakikisha kwamba huku Nyumbani hakuna tena uwezo wa kupata pesa. Mwinyi, Kikwete na Samia, wanakopa kwanza ndio baadae wanaangalia kinachopatikana Nyumbani.
Conclusion; Mkopo lazima ujazie pengo la uwezo wa ndani, sio uwezo wa ndani ndio ujazie pengo liloachwa na mikopo ya nje.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Rudi tena soma points namba 1 na 2 wacha kukurupuka. Magufuli inawezekana alikopa kuliko hata Samia, hiyo ninakubali lakini alifanya juhudi za makusudi za kupata pesa toka ndani ya nchi, ziwe za Kodi na zisizo za Kodi.Wewe unaandika utopolo hapa. Magu alianzisha miradi mingi bila kujali pesa itatoka wapi. Sasa usimlaumu mama kwa kukopa. Kama unatafuta mtu wa kumlaumu kwa sababu ya deni kuongezeka basi mlaumu Magufuli kwa kuanzisha miradi mingi bila kuongeza makusanyo ya kodi. Ulikuwa unategemea pesa ianguke kutoka mbinguni? Lazima mama atakopa tu mpende msipende. La sivyo miradi za Magu itabidi zikwame.
Nchi ya hovyo hiyo mkuuHivi daraja la Nyerere Kigamboni lina miaka zaidi ya 6 na hutowahi kusikia hata toll station imekwanguliwa rangi na bumper, lakini huku kwa vichaa sasa! Mpaka wafanyakazi kwenye hivyo vibooths/kiosk watakimbia kazi sababu ni kuhatarisha maisha yao kukaa humo ndani!
Wacheni ujinga, wakenya wote mnakimbilia KCMC, Moshi, mnaikubali kushinda KNH.Sasa wewe umekwamilia hospitali moja hapo Dar wakati sisi tushakuletea zaidi ya hospitali nne sasa all in different parts of the country. Hiyo tu ni dhibitisho kwamba tupo mbele yenu.
Kuhusu hayo madai yako, can you prove that Muhimbili does 15 heart surgeries in a day?
Itakua alikufanya ktu ambacho huwez kusimulia..Magufuli alikua rais wa kipuuzi na dictator
Wacheni ujinga, wakenya wote mnakimbilia KCMC, Moshi, mnaikubali kushinda KNH.
Bugando Hospital, inazidiwa na KNH pekee hapo Kenya
Benjamin Mkapa Teaching Hospital, Na Mloganzila Hospitals, ndizo Hospitali za kisiasa kuliko Hospitali zozote zile katika ukanda huu.
Kuhusu ushahidi wa kufanya Operations 10 kwa siku,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app