Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

fabricators wakimaliza kuunda body wanafanya na assembling ndio wana assemble engine, gearbox, diff, pamoja na electronic equipments kwa ujumla

kwenye mambo yanayohusu magari bro achana nayo ntakuaibisha na ukweli ndio huo jamaa wako mbali sana
wakina nan hao wako mbali, because bmw wanaweza kufungua tawi tanzania but sio kiwanda 🤣🤣🤣 lakini pia huezi kusema bmw ni ya watanzania, sjui unaelewa mandonga?
 
Content creation… his prerogative…💯😜
kazi nzuri, BYUTIFICATION
1792617057348.png


1792617141478.png

1792617201049.png
 
Back
Top Bottom