Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa in terms exchange rates, kati ya Ksh 19 na Ksh 23 ni gani ndio ina unafuu? Shilingi ikipanda dhidi ta dollar sio vizuri kiuchumi ila ikishuka ni afueni kwa wananchi. Stop dragging yourself into matters you don't understand
Dalili za kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†..

Import bill inakuwa kubwa na public debt inaongezeka shilingi yenu anapoporomoka.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220629-080456.png
    109.6 KB · Views: 21
Hii issue inaenda kuwa campaign agenda huko Kunyaland!
Nategemea upepo na hali ya kisiasa itabadilika Kwa kiwango kikubwa sana katika historia ya siasa na chaguzi zao.

Kutakuwa na mabadiliko makubwa haswa. Tanzania ikiwa catalyst ya yote hayo. Sijui ni coincidence au mipangilio... Ila Kwa round hii tumuombee kheri jirani. Hii testing imekuja wakati ambao hawatakaa wasahau.

Shauri Yao, walikuwa wanabeza sana.
 
Facts, our hospitals are well equipped, that's why we are among the top countries in Africa in terms of health care.
Kazi inaendelea πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220703-181556.png
    186.2 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220703-203706.png
    160.7 KB · Views: 19
  • Screenshot_20220703-203630.png
    158 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220704-104559.png
    235.1 KB · Views: 22
πŸ˜…πŸ˜… ni mwendo wa mipasho tu.. she should be friendly na raia wake kwa maneno mazuri sio mipasho 🀣
Saiz imebidi nimuonee huruma tu 🀣
Mtanyooka tuu.Wenye akili ndogo kama wewe hapo ndio mnapewa dozi yenu.
 
Sasa Dar jiji la uswazi ina nini la kuiga? Makazi kama hayo yamejaa maeneo ya Ruai (which you ignorantly call a slum), Utawala, Athi River, Kitengela, Kamulu, Kiserian, Ngong, Garden Estate na maeneo mengine mengi
 
Order inayofuata inabidi iwe ya ndege 10. Dreamliners 5, max 3, turbo prop 2 ili kuweza kuserve masoko ya UK, US, France, Mumbai na Guanzhou plus regional na local routes.
 
Leta pictures tuone kama inaendana na ya muhimbili, we kichaa hujui kama ocean road cancer Institute nayo ni muhimbili wing lakini ni hospital kubwa hakuna mnafanowe kunyaland
unataka kucompare fully fledged Hospital for kids na Wing ya hospitali. 🀣 🀣 🀣 wewe primary school dropout wacha upumbavu.





 
Ongezea au ukilipa cash bei hupungua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…